0 00:00:01,23 --> 00:00:08,22 Maelezo ya Ayatullah Al_Udhma Wahid Khorasani 1 00:00:09,22 --> 00:00:13,16 Safari ya Umra. Madina Munawarat. Ramadhani Tukufu 1427 Hijria Qamari 2 00:00:14,16 --> 00:00:19,14 Kwa Jina la Mwenyezi Mungu, Mwingi wa Rehema, Mwenye Kurehemu 3 00:00:20,00 --> 00:00:31,23 Watu wenye kazi, ni muhimu kwamba 4 00:00:32,02 --> 00:00:43,00 huyo mfanyakazi, ni lazima aijue kazi yake. 5 00:00:43,12 --> 00:00:50,22 mkusanyiko wenu uliopo hapa 6 00:00:51,10 --> 00:01:15,05 Nyinyi wenyeweni lazima kuzingatia juu ya ukubwa na utukufu wa kazi zenu 7 00:01:16,01 --> 00:01:22,20 ujuzi wa kila jambo una nguzo tatu 8 00:01:23,12 --> 00:01:33,01 ikiwa unataka ujuzi huo kuwa kamili: 9 00:01:33,19 --> 00:01:44,04 moja mtazamo wa jambo wenyewe, pili ni mtazamo wa msingi na asili ya jambo lenyewe. 10 00:01:44,17 --> 00:01:51,15 na tatu ni mtazamo kwa matawi na faida ya jambo lenyewe. 11 00:01:52,03 --> 00:02:00,14 shughuli yako ni lazima uijue kuwa ni shughuli gani 12 00:02:01,00 --> 00:02:04,22 asili ya shughuli hii ni nini 13 00:02:05,02 --> 00:02:15,09 ni mambo gani yanayokusanya shughuli na kazi hii? 14 00:02:15,23 --> 00:02:19,22 huenda kazi yako: 15 00:02:24,12 --> 00:02:29,02 ikawa ni idhafat inayobadisha. 16 00:02:32,16 --> 00:02:44,22 idhafat yenyewe hupata heshima ya mudhaf kutoka kwa mudhaf ilaih 17 00:02:45,11 --> 00:02:55,13 na kwa utaratibu huu huu nakareh huwa maarifat inapofanyiwa idhafat. 18 00:02:55,23 --> 00:03:10,23 ikiwa daraja ya utukufu wa mudhaf ilaih haina kikomo 19 00:03:11,02 --> 00:03:19,09 moja kwa moja kwa hukumu ya burhani huacha athari kwa mudhaf. 20 00:03:19,22 --> 00:03:29,00 nyinyi ni walimu wa Hija 21 00:03:29,11 --> 00:03:35,13 neo hili ni dogo kiasi hicho. 22 00:03:35,23 --> 00:03:43,08 lakini kile ambacho tunakisema leo , baadae nenda 23 00:03:43,17 --> 00:03:51,24 ukasoma juu ya jambo hili usiku na mchana 24 00:03:52,10 --> 00:04:00,13 mpaka ufahamu umuhimu wa kazi yako 25 00:04:00,24 --> 00:04:08,01 na wakati utakapojua, mambo mawili yatakuwa wazi (kwako): 26 00:04:08,12 --> 00:04:15,13 moja kiasi gani majukumu (haya) ni mazito, na 27 00:04:15,22 --> 00:04:21,09 pili malipo ni makubwa kiasi gani. 28 00:04:21,18 --> 00:04:27,14 nyingi ni waongozaji wa jamii ambayo 29 00:04:27,15 --> 00:04:37,03 ni makundi ya muhajirina kuelekea kwa Mwenyezi Mungu na Mjumbe wake. 30 00:04:37,06 --> 00:04:42,14 mahujaji ambao hutoka majumbani 31 00:04:42,20 --> 00:04:52,20 hawa huwa muhajirina. Wanahama. 32 00:04:52,23 --> 00:04:56,11 wanahama kwenda wapi? 33 00:04:56,12 --> 00:05:01,24 kwenda kwa Mwenyezi Mungu, ambako ni Makka. 34 00:05:02,07 --> 00:05:06,11 kwenda kwa Mtume, ambako ni Madina. 35 00:05:06,12 --> 00:05:20,15 moja kwa moja nyinyi ni viongozi wa umati wa muhajirina kwa Mungu na Mjumbe wake. 36 00:05:20,18 --> 00:05:27,10 kazi hii, ni kazi tukufu. 37 00:05:27,13 --> 00:05:36,10 huwezi kufahamu utukufu wa kazi hii. 38 00:05:36,15 --> 00:05:47,22 ikiwa sisi tunataka kulifahamu jambo hili 39 00:05:48,02 --> 00:05:52,06 ni lazima tujuwe Makka ni nini 40 00:05:52,09 --> 00:05:54,09 na Madina ni nini. 41 00:05:54,12 --> 00:06:03,08 kule ina Idhafat na nini. Na hapa imekuwa Mudhaf na nini. 42 00:06:03,24 --> 00:06:17,07 ama kule, ni ile Kaaba ambayo nyinyi ni waongozaji wa mahujaji wa nyumba hiyo 43 00:06:17,16 --> 00:06:21,22 Kaaba ambayo kwamba 44 00:06:22,02 --> 00:06:30,11 ameijaalia Mwenyezi Mungu kwa waislamu kuijua 45 00:06:30,20 --> 00:06:35,11 na kuwa haramu kwa wenye kunyenyekea, 46 00:06:35,20 --> 00:06:41,20 amefaradhisha hija yake na amewajibisha haki yake 47 00:06:42,03 --> 00:06:46,19 na mumeandikiwa juu yenu kuitekeleza 48 00:06:46,21 --> 00:06:55,14 akasema: Na Mwenyezi Mungu amewafaradhishia kuhiji nyumba 49 00:06:55,19 --> 00:07:00,08 kwa mwenye uwezo hiyo ni njia. 50 00:07:00,12 --> 00:07:09,00 maneno haya yanatetemesha akili 51 00:07:09,04 --> 00:07:14,14 na ni chaguo kwa viumbe wake wasikivu 52 00:07:14,18 --> 00:07:18,01 walioitikia wito wake 53 00:07:18,02 --> 00:07:22,19 na waliosadikisha neno lake 54 00:07:22,22 --> 00:07:28,12 na wakasimama katika nafasi walizosimama Manabii 55 00:07:28,15 --> 00:07:32,14 hapo ni sehemu kama hii. 56 00:07:32,17 --> 00:07:44,09 jukumu zito kwenu kufundisha ahkamu za nyumba hii. 57 00:07:45,07 --> 00:08:00,01 wakati Zurarat alipotoa fatwa katika Hija, miaka arobaini. 58 00:08:00,10 --> 00:08:04,21 mtu kama Zurarat bin Aghyun! 59 00:08:05,00 --> 00:08:10,17 Zurarat ni vigogo katika dini. 60 00:08:10,21 --> 00:08:15,20 viguzo vya ardhi ni vinne: 61 00:08:15,22 --> 00:08:28,12 Zurarat, Muhammad bin Muslim, Burayd bin Muawiyat, Abu Baswir Laythu Al-Muradi. 62 00:08:28,14 --> 00:08:33,24 Zurarat ana nafasi ya juu katika kundi hili. 63 00:08:34,01 --> 00:08:41,08 alitoa fatwa miaka arobaini, baadae akashangaa kwamba 64 00:08:41,10 --> 00:08:47,02 katika hakuweza kufika mwisho kwa kipindi chote cha miaka arobaini. 65 00:08:47,04 --> 00:08:51,20 Imam akamwambia Zurarat maneno haya: 66 00:08:52,22 --> 00:09:01,18 nyumba ambayo kwa miaka elfu mbili kabla ya Adam inafanywa tawafu 67 00:09:02,00 --> 00:09:08,11 wewe unataka suala lake limalize kwa miaka arobaini. 68 00:09:08,14 --> 00:09:12,10 huu ndio utukufu wa nyumba hii. 69 00:09:12,13 --> 00:09:22,11 hukumu za nyumba hii ni muhimu sana ukilinganisha na nyumba yenyewe. 70 00:09:22,13 --> 00:09:31,01 ((Na itimizeni Hija na Umra kwa ajili ya Mwenyezi Mungu)) 71 00:09:31,03 --> 00:09:36,00 Hija na Umra ni nguzo mbili. 72 00:09:36,08 --> 00:09:41,21 Milango tofauti, siri ya kufunga Ihram, 73 00:09:42,02 --> 00:09:51,04 zile dakika zinazotumika katika kuzunguka Kaaba 74 00:09:51,17 --> 00:09:56,23 zile siri zilizopo katika Sagh 75 00:09:57,01 --> 00:10:02,16 ule unyenyekevu uliopo katika visimamo viwili 76 00:10:03,01 --> 00:10:12,08 na ule ukarimu unaokuwa katika masiku ya tashriki(mwezi 11, na 12, na 13) 77 00:10:12,15 --> 00:10:17,05 hii ndio shughuli yenu. 78 00:10:17,13 --> 00:10:24,23 natija ni hii kwamba: nyinyi ni watu ambao 79 00:10:25,04 --> 00:10:35,10 muna jukumu kuwaongoza muhajirina kuelekea kwa Mungu na Mtume wake. 80 00:10:35,19 --> 00:10:47,14 jukumu lenu gumu ni mambo matatu, zingatieni kwa makini: 81 00:10:47,21 --> 00:10:56,03 Kwanza: watu wote walio katika msafara 82 00:10:56,04 --> 00:11:03,04 na nyinyi ni walimu ya kundi hilo 83 00:11:03,05 --> 00:11:07,16 hawa ni mayatima wa Al_Muhammad. 84 00:11:13,01 --> 00:11:19,19 na nyinyi ni wenye kinga ya mayatima hawa. 85 00:11:20,02 --> 00:11:33,22 kwa ufupi, hali ya kuwapa kinga yatima ina umuhimu, ambapo Mtume wa mwisho … 86 00:11:34,05 --> 00:11:47,18 Khatam yaani mwisho wa nukta ya safari ya ulimwengu. 87 00:11:48,06 --> 00:11:55,06 yule mtu ambaye hapa ni mapumziko yake, ni Khatam 88 00:11:55,09 --> 00:11:59,19 Maana ya Khatam ni hii: 89 00:11:59,21 --> 00:12:16,06 yeye amekhitimisha natija yote ya kuumbwa na sil-sila ya Manabii 90 00:12:16,09 --> 00:12:25,21 mfumo wa kimaumbile na kisheria umekamilishwa na yule aliyelala hapa. 91 00:12:25,24 --> 00:12:47,21 mtu huyu alisema: Mimi na mwenye kuwakinga mayatima ni kama vidole vyetu hivi viwili. 92 00:12:48,05 --> 00:12:50,21 hatuwezi kutengena navyo. 93 00:12:51,03 --> 00:12:53,16 haya ni maneno ya Mtume. 94 00:12:54,00 --> 00:12:59,05 hadithi ambayo inatoka kwa Sayyid Shuhadaa … 95 00:13:02,12 --> 00:13:14,19 ni zaidi ya kuwapa kinga yatima, kazi ya mtu ambaye anawapa kinga mayatima wetu. 96 00:13:15,04 --> 00:13:19,15 Sayyid Shuhadaa anasema: 97 00:13:19,19 --> 00:13:27,24 Mayatima wetu ni watu ambao wamekatikiwa na Imam wao 98 00:13:29,00 --> 00:13:35,03 kinga yao, ni kuwafundisha dini. 99 00:13:35,10 --> 00:13:40,20 basi kazi yenu imefahamika: 100 00:13:41,02 --> 00:13:50,16 moja ni viongozi wa muhajirina kuelekea kwa Mungu na Mtume wake. 101 00:13:51,00 --> 00:13:58,00 pili ni watunzaji wa mayatima wa Al_Muhammad. 102 00:14:03,11 --> 00:14:08,13 neema ambazo zinapatika zimefahamika 103 00:14:09,00 --> 00:14:19,06 ukweli ni kwamba asiyefahamu neema, 104 00:14:19,08 --> 00:14:24,05 hawezi kushukuru neema hizo. 105 00:14:24,10 --> 00:14:32,08 neema ambazo mumezichuma zina thamani hii: 106 00:14:32,12 --> 00:14:40,20 sasa fikirieni, riwaya inashangaza sana. 107 00:14:41,07 --> 00:14:47,12 Mwenyezi Mungu alimwambia Mussa bin Imran. 108 00:14:50,14 --> 00:14:58,03 Mzungumzaji wa Mwenyezi Mungu, ni mzungumzaji wa maneno ya Mwenyezi Mungu. 109 00:14:58,15 --> 00:15:05,24 ama mazungumzo ni haya, alisema: 110 00:15:06,00 --> 00:15:17,14 Ewe Musa ikiwa utamleta Abqa mmoja mbele ya Mwenyezi Mungu 111 00:15:17,24 --> 00:15:31,10 au ukamuongoza mpotevu aliyepotea katika njia yetu, 112 00:15:31,20 --> 00:15:40,14 ni bora kwako kuliko ibada ya miaka mia, (ibada) ambayo 113 00:15:40,23 --> 00:15:54,06 uwe ni mwenye kufunga miaka yote mia 114 00:15:54,11 --> 00:15:58,21 na usimame usiku wote kwa sala 115 00:15:59,02 --> 00:16:04,17 na ibada yako ikubaliwe miaka yote mia. 116 00:16:04,22 --> 00:16:10,20 zingatieni kwa makini, nyingi ni watu wa fadhila. 117 00:16:11,01 --> 00:16:19,03 miaka mia ya ibada… nayo ibada kama hiyo, ni kubwa zaidi. 118 00:16:19,09 --> 00:16:27,08 funga ikiwa batili, basi inakuwa si ibada. 119 00:16:27,12 --> 00:16:34,10 sala ikiwa batili, basi inakuwa si ibada. 120 00:16:34,12 --> 00:16:39,22 katika sentensi yenyewe inaonesha kusihi kwake. 121 00:16:40,00 --> 00:16:50,03 kwanza, sisi wapi tutaipata funga iliyokubaliwa, au sala iliyokubaliwa. 122 00:16:50,06 --> 00:16:59,09 saumu na sala ya miaka mia (tena)iliyokubaliwa mbele ya Mwenyezi Mungu , 123 00:16:59,11 --> 00:17:06,10 Ewe Musa ikiwa utamleta Abqa mmoja mbele ya Mwenyezi Mungu 124 00:17:06,13 --> 00:17:14,02 au ukamuongoza mpotevu aliyepotea katika njia yetu, 125 00:17:14,03 --> 00:17:20,03 ni bora kuliko miaka mia ya ibada inayokubaliwa. 126 00:17:20,05 --> 00:17:23,18 akauliza ni nini hiyo Abaka? 127 00:17:23,20 --> 00:17:27,08 na huyo mpotevu duniani ni nani? 128 00:17:27,10 --> 00:17:38,10 Mwenyezi Mungu akasema: Huyo Abaka ni yule muovu muasi ambaye 129 00:17:38,16 --> 00:17:46,19 ikiwa atamsamehe, na akamrejesha mbele yetu 130 00:17:46,20 --> 00:17:50,17 ni bora kuliko ibada ya miaka mia. 131 00:17:50,19 --> 00:17:55,12 akauliza huyo mpotevu duniani ni nani? 132 00:17:55,13 --> 00:18:02,10 akasema: ni yule mtu ambaye hakumfahamu Imam wa zama zake 133 00:18:02,12 --> 00:18:08,14 ikiwa utamuongoza kumjua Imam wa zama zake 134 00:18:08,17 --> 00:18:14,01 na ukamfundisha sheria zetu 135 00:18:14,03 --> 00:18:18,16 ni zaidi ya miaka mia ya funga na sala. 136 00:18:18,17 --> 00:18:21,01 kazi yenu ni hii. 137 00:18:21,02 --> 00:18:31,24 nyinyi muda huo katika msafara huu, mutaweza kubadilisha watu kiasi gani. 138 00:18:32,02 --> 00:18:38,08 kwanza, ni lazima muzingatia muda wenye athari 139 00:18:38,09 --> 00:18:41,10 sehemu yenye athari. 140 00:18:41,11 --> 00:18:49,02 hizi zote ni dalili. Si hotuba 141 00:18:49,04 --> 00:18:53,10 wakati mtu anapokuja Madina 142 00:18:53,13 --> 00:18:57,24 sehemu humbadilisha. 143 00:18:58,03 --> 00:19:00,17 wakati akienda Makka 144 00:19:00,18 --> 00:19:05,11 ile sehemu ambayo ni matufu ya Manabii 145 00:19:05,13 --> 00:19:12,09 na ni sehemu waliyosimama Mitume ishirini na nne elfu 146 00:19:12,13 --> 00:19:17,10 utakuta mabadiliko katika nafsi, 147 00:19:17,12 --> 00:19:23,02 wakati huo nasfi hizi zitakuwa chini ya mikono yenu 148 00:19:23,05 --> 00:19:30,19 wakati wakija hapa, ni kama ardhi ambayo kwamba 149 00:19:30,23 --> 00:19:35,14 imepigwa na upepo wa vuli. 150 00:19:35,17 --> 00:19:39,14 utake usitake iko tayari 151 00:19:39,16 --> 00:19:46,14 ikiwa mutapanda mbegu, basi mbegu ile itatoa matunda 152 00:19:46,15 --> 00:19:50,06 zingatieni haya kwa makini 153 00:19:50,08 --> 00:19:54,20 musiupitishe usiku na mchana kiholela. 154 00:19:54,23 --> 00:19:59,13 hamujui mutapata bahati gani 155 00:19:59,16 --> 00:20:08,14 mukirudi safari moja na mukawa mumemfundisha mjinga mmoja ahkam za dini 156 00:20:08,18 --> 00:20:18,07 mukamuelimisha mtu mmoja ambaye hana elimu ya Waliul Asr 157 00:20:18,09 --> 00:20:23,07 thamani ya kazi hii ni kubwa kiasi gani? 158 00:20:23,10 --> 00:20:29,00 thamani ya kazi hii kwamba itakapofika siku ya Kiama 159 00:20:29,04 --> 00:20:33,18 atafufuliwa juu ya mkubwa wa Malaika 160 00:20:33,19 --> 00:20:45,13 Malaika watakuwa wanapiga mbawa zao kwenye kaburi lake na katika makazi yake peponi. 161 00:20:46,12 --> 00:20:49,01 hatokumbana na hesabu ngumu. 162 00:20:49,03 --> 00:20:58,13 baadae anasema: hongera! Hongera. 163 00:20:58,15 --> 00:21:10,20 wewe ni yule ambaye mmoja wa mayatima wa Al_Muhammad kutokana na uchafu 164 00:21:10,23 --> 00:21:16,09 ulimuhifadhi (kutokana na uchafu) aliotaka kuuchuma. 165 00:21:16,12 --> 00:21:25,23 jukumu lenu katika safari hii ni mambo matatu: 166 00:21:26,01 --> 00:21:30,15 moja ni kufundusha Ahkam za Hija. 167 00:21:30,16 --> 00:21:35,00 kwa undani wa hali ya juu 168 00:21:35,03 --> 00:21:42,21 mas-ala kwa mazingatio, na uthabiti na uimara, musifanye haraka 169 00:21:43,03 --> 00:21:49,10 towa jawabu kwa uangalifu wa hali ya juu. 170 00:21:49,12 --> 00:21:54,07 inawezekana ukakosea katika mas-ala moja 171 00:21:54,11 --> 00:22:00,22 yule mtu aliyekuja, mtu huyo … 172 00:22:00,24 --> 00:22:10,18 Hija ina umuhimu mkubwa kiasi kwamba katika maandishi sahihi ya fiqhi 173 00:22:10,20 --> 00:22:14,23 ikiwa mtu ana uwezo na asende Makka 174 00:22:15,00 --> 00:22:22,21 akifa basi atakuwa akiwa ni myahudi au mnaswara. 175 00:22:22,23 --> 00:22:26,15 utukufu ya Hija ni huo 176 00:22:26,18 --> 00:22:32,02 kisha kama fatwa inasema 177 00:22:32,04 --> 00:22:35,13 ikiwa mas_ala hazikufikiwa 178 00:22:35,15 --> 00:22:38,08 Hija hiyo itakuwa ni batili. 179 00:22:38,12 --> 00:22:40,16 Natija gani inapatikana? 180 00:22:40,19 --> 00:22:52,12 Natija ni hii kwamba kila Mufti ana jukumu. 181 00:22:52,14 --> 00:22:58,01 dhambi yake inakuja kwa msemaji. 182 00:22:58,02 --> 00:23:00,23 umuhimu wa jambo hili ni huu. 183 00:23:01,01 --> 00:23:05,01 moja ni kufundisha Ahkam za Hija. 184 00:23:05,03 --> 00:23:11,08 kabla ya kuchoka mutayaona malipo yake: 185 00:23:11,09 --> 00:23:20,19 Mwanamke mmoja alikuja kwa Swadiqatul Qubra. Fatemah Zahraa? 186 00:23:20,24 --> 00:23:25,24 Fatemah Zahraa ni mtu ambaye … 187 00:23:26,02 --> 00:23:32,15 Bila shaka daraja yake ya umaasuma ni kwamba mtu hufika sehemu ambayo 188 00:23:32,20 --> 00:23:40,03 hughadhibika anapoghadhibika Mwenyezi Mungu na huridhia anaporidhia Mwenyezi Mungu 189 00:23:40,05 --> 00:23:44,07 hii ni zaidi ya ukamilifu wa binadamu 190 00:23:44,09 --> 00:23:51,12 Fatemah Zahraa ni mtu ambaye Mwenyezi Mungu hughadhibika kwa kughadhibika kwake 191 00:23:51,14 --> 00:23:54,04 huridhia kwa kuridhia kwake 192 00:23:54,07 --> 00:23:57,13 yeye anathamani kiasi hiki 193 00:23:57,15 --> 00:24:03,13 Hakika Mwenyezi Mungu hughadhibika kwa ghadhabu zako 194 00:24:03,15 --> 00:24:05,23 na huridhia kwa kuridhia kwako. 195 00:24:05,24 --> 00:24:18,14 Miaka elfu na mia nne wanahadithi wote wangekusanyika 196 00:24:18,15 --> 00:24:24,13 ili wabadilishe sanadi ya hadithi hii, basi wasingeliweza. 197 00:24:24,15 --> 00:24:33,19 hadithi hii ni moja kwa moja imethibiti kutoka kwa Mtume wa mwisho. 198 00:24:33,21 --> 00:24:36,24 na hazungumzi kutokana na matamanio. 199 00:24:37,01 --> 00:24:45,20 hazina hii ndio iliyokuwepo katika siku yaMubahila ya Nabii wa mwisho 200 00:24:45,22 --> 00:24:48,02 Amiri Muuminiina 201 00:24:48,06 --> 00:24:55,14 wale watu wawili[Hassanayni] ni mapambo mawili ya Arshi ya Mwenyezi Mungu 202 00:24:55,15 --> 00:25:08,18 lakini dua yote na Mubahila ni lazima iishie kwa wanawake wetu na wanawake wenu 203 00:25:08,19 --> 00:25:14,21 na wingi huu wa wanawake pia umeambatana na mtu huyu[Fatemah] 204 00:25:14,22 --> 00:25:22,22 Kwa hali yoyote ile hii ni ile hazina ambayo ilizikwa katikati ya usiku 205 00:25:22,24 --> 00:25:29,11 na ulimwengu na Adam walitia alama ya milele. 206 00:25:30,10 --> 00:25:38,08 Kwa hali yoyote ile. Alikuja mwanamke akauliza mas-ala fulani 207 00:25:38,11 --> 00:25:46,03 Mtume akajibu. Mwanamke huyu asiyesoma, hakuelewa. 208 00:25:46,07 --> 00:25:51,01 akarudi tena. Mtume akatoa jibu tena 209 00:25:51,03 --> 00:25:57,07 akarejea mara kumi Mtume kusema mas-ala hii kwa mwanamke huyu. 210 00:25:57,08 --> 00:26:04,08 baadae mwanamke akataka udhuru kuwa mimi nimekuchosha. 211 00:26:04,09 --> 00:26:10,04 maneno aliyoyasema siku hiyo, kwako wewe 212 00:26:10,08 --> 00:26:15,06 kwa kweli ni yanashangaza. Alisema: 213 00:26:15,09 --> 00:26:22,09 mimi ninapaswa kukushukuru wewe, halafu wewe unataka msamaha kwangu? 214 00:26:22,12 --> 00:26:30,08 [je] ikiwa mtu utaekewa mzigo, kisha aambiwe: 215 00:26:30,09 --> 00:26:35,07 beba mzigo huu kuanzia tabaka hii na uupeleke juu, 216 00:26:35,09 --> 00:26:44,22 nyumba hii ikajazwa johari na vito, kisha akapewa yeye, je atahisi machofu? 217 00:26:45,01 --> 00:26:48,00 akajibu: hapana. Akasema: 218 00:26:48,02 --> 00:26:54,08 wewe kila mara ulipouliza mas-ala mimi nilikujibu 219 00:26:54,10 --> 00:27:00,12 mimi nimejengewa majohari kwa ajili yangu kuanzia ardhini mpaka mbinguni. 220 00:27:00,14 --> 00:27:03,02 huu ndio ujira wenu. 221 00:27:04,00 --> 00:27:13,18 hili mulizingatie. Mufafanue mas-ala kwa utafiti. 222 00:27:13,20 --> 00:27:17,17 nguzo ya pili ambayo ni muhimu: 223 00:27:17,19 --> 00:27:30,20 ni lazima uwe na sheria ya kutumia shubuhati ambazo zitawaongoa wapinzani 224 00:27:30,22 --> 00:27:44,01 muzifahamu kwa undani mtu mmoja mmoja shubuhati zote ambazo zimepambanuliwa. 225 00:27:44,04 --> 00:27:47,17 wakati huo kutakuwa na natija gani? 226 00:27:47,19 --> 00:27:51,20 tukio hili ujira wake ni kiasi gani? 227 00:27:52,00 --> 00:27:54,09 ujira wake ni huu … 228 00:27:54,13 --> 00:28:03,22 huo, ndio ukubwa na utukufu wa kwanza wa kazi yako. Hii pia ndio matunda yake. 229 00:28:04,00 --> 00:28:06,21 hii pia ndio kazi yenu ya pili. 230 00:28:06,23 --> 00:28:11,19 utukufu wake ni wa kiasi gani? Na matunda yake ni makubwa kiasi gani? 231 00:28:11,21 --> 00:28:17,14 Kwanza shubuhati amabzo zimechambuliwa … zingatieni kwa makini. 232 00:28:17,16 --> 00:28:25,12 mtu mzima wakati mwili wake unapoingia vimelea 233 00:28:25,15 --> 00:28:34,20 ikiwa mashine ya kujilinda ya mwili ina nguvu, basi itajilinda 234 00:28:34,21 --> 00:28:37,23 ikiwa mashine hiyo ni dhaifu, itakuwaje? 235 00:28:38,00 --> 00:28:43,15 utake usitake vimelea vile vitatawala 236 00:28:43,17 --> 00:28:48,07 kidogo kidogo kama vile ukoma huenea sehemu zote 237 00:28:48,08 --> 00:28:56,23 shubuhati katika roho na nafsi ni mfano wa vimelea katika miili. 238 00:28:56,24 --> 00:29:02,19 nafsi hizi safi zinakuja kutoka Iran 239 00:29:03,00 --> 00:29:12,06 watu hawa na mioyo yao iliyoepukana na shubuhati zote, wakishambuliwa 240 00:29:12,07 --> 00:29:20,04 Ikiwa athari mbaya ya shubuhati itaingia katika nafsi 241 00:29:20,05 --> 00:29:26,03 na nafsi hiyo kutokana na athari ya udhaifu, basi itaathirika 242 00:29:26,04 --> 00:29:31,01 majukumu ya kikundi hiki, 243 00:29:31,03 --> 00:29:38,23 ni kutaka kinga kutoka kwa Mwenyezi Mungu, ikiwa katika hili watafanya uvivu. 244 00:29:38,24 --> 00:29:42,05 shubuhati iko hivi. 245 00:29:42,06 --> 00:29:48,12 ni lazima katika kipindi chote cha mwaka ni lazima uwe mjuzi wa hali ya juu 246 00:29:48,13 --> 00:29:54,15 kwa shubuhati zitakazo jadiliwa, na ujibu mashambulizi ya shubuhati hizi 247 00:29:54,17 --> 00:29:58,02 ujira wa kazi yako utakuwa ni wa kiasi gani? 248 00:29:58,03 --> 00:30:03,13 ujira wa kazi hii ni ….. Zingatieni kwa makini. 249 00:30:03,14 --> 00:30:11,03 alisema hadithi hii: Siku ya Kiama ikifika 250 00:30:11,04 --> 00:30:20,24 mwanazuoni atamtangulia Mcha Mungu kwa daraja sabiini. 251 00:30:21,01 --> 00:30:32,20 masafa ya cheo cha Mcha Mungu na cheo cha mwanazuoni ni daraja sabiini 252 00:30:32,24 --> 00:30:48,15 [masafa] baina ya daraja moja na jengine pia ni miaka sabiini, mwendo wa farasi anayekimbizwa. 253 00:30:48,20 --> 00:30:53,15 huu ndio ukubwa wa masafa baina ya vyeo viwili. 254 00:30:53,18 --> 00:30:57,22 wakati huo itatokea. 255 00:30:58,00 --> 00:31:07,23 kile ambacho Imam amekisema, pia ametaja sababu yake. 256 00:31:07,24 --> 00:31:15,04 huyo Mcha Mungu amefanya ibada miaka mingi, 257 00:31:15,05 --> 00:31:22,23 na pia sio ibada batili, ibada zenye kukubalika mbele ya Mwenyezi Mungu. 258 00:31:22,24 --> 00:31:33,00 sasa pia ujira wa mwanazuoni ni huu na daraja yake ina ukubwa huu. 259 00:31:33,03 --> 00:31:35,07 baadae sababu yake ni nini? 260 00:31:35,08 --> 00:31:41,23 sababu ambayo Imam anaitaja ni hii, anasema: 261 00:31:41,24 --> 00:31:49,09 sababu yake ni hii kwamba huyo Mcha Mungu amejichumiya mwenyewe 262 00:31:49,11 --> 00:32:02,16 lakini huyu mwanazuoni amejibu shubuhati moja kutoka kwa aliyepotea. 263 00:32:02,20 --> 00:32:06,18 kama atajibu Shubuhati moja 264 00:32:06,22 --> 00:32:18,04 kama utamlinda mtu mmoja kutokana na maradhi, ujira wake ni huu. 265 00:32:18,06 --> 00:32:23,24 Kwa vyovyote vile ujuweni ukubwa wa neema hii 266 00:32:24,01 --> 00:32:27,10 majukumu yake ni makubwa kiasi hiki 267 00:32:27,11 --> 00:32:30,07 pia ujira wake ni mkubwa kiasi hiki 268 00:32:30,10 --> 00:32:36,22 watu hawa wafahamisheni kuwa wamekuja wapi 269 00:32:36,24 --> 00:32:39,06 hapa kuna nini 270 00:32:39,09 --> 00:32:43,18 mimi siwezi kusema hapa kuna nini 271 00:32:43,19 --> 00:32:48,10 ninasema neno moja, nalo ni: 272 00:32:48,11 --> 00:32:53,23 hiyo Makka na hizo jazba 273 00:32:53,24 --> 00:32:57,06 na hicho cheo 274 00:32:57,18 --> 00:33:02,13 na hiyo Kaaba ambayo inatokea matukio haya 275 00:33:02,17 --> 00:33:05,09 nyinyi fikirieni 276 00:33:05,12 --> 00:33:12,16 musifikirieni siku moja tu, hata kama mutafikiria mwaka mzima 277 00:33:12,18 --> 00:33:17,03 kwa sasa hatuwezi kufikia kilele cha mada hii. 278 00:33:17,05 --> 00:33:26,24 cha muhimu ni kwamba hiyo Makka na hicho cheo, pamoja na hiyo Kaaba, pamoja na huyo Ibrahim 279 00:33:27,01 --> 00:33:33,07 Mwenyezi Mungu anamwambia mwenye kaburi hili: 280 00:33:33,08 --> 00:33:37,07 Naapa na mji huu 281 00:33:37,08 --> 00:33:50,05 Na wewe utashuka katika mji huu 282 00:33:50,09 --> 00:33:54,13 mimi ninaapa na Makka hii 283 00:33:54,14 --> 00:33:59,08 sababu ya kuapa na Makka hii 284 00:33:59,11 --> 00:34:04,06 ni kwa sababu wewe uko sehemu hii. 285 00:34:04,07 --> 00:34:08,08 haya ni maneno ya Qur`ani. 286 00:34:08,10 --> 00:34:14,06 huyu ni nani? Mwenye kaburi hili ni nani? 287 00:34:14,07 --> 00:34:18,13 Je, hatukukupanulia kifua chako? 288 00:34:18,15 --> 00:34:23,01 Isomeni Qur`ani, mutaona. 289 00:34:23,04 --> 00:34:27,05 na tukakufunza yale usiyo yakuwa 290 00:34:27,08 --> 00:34:32,06 na zikawa fadhila za Mwenyezi Mungu juu yake ni Tukufu 291 00:34:32,07 --> 00:34:40,07 huyo Mwenyezi Mungu mtukufu,mkumbukeni kwa , utukufu wake. 292 00:34:40,09 --> 00:34:43,17 mwisho anasema: 293 00:34:43,19 --> 00:34:53,05 ((Na tukakutukuzia sifa zako)) sisi tukapandisha daraja sifa zako 294 00:34:53,07 --> 00:34:56,02 wapi zilipopandishwa? 295 00:34:56,05 --> 00:35:00,09 liangalieni jina limefikishwa wapi? 296 00:35:00,11 --> 00:35:04,18 na mfahamuni aliyeitwa amefika wapi? 297 00:35:04,20 --> 00:35:07,19 Na tukakutukuzia sifa zako 298 00:35:07,20 --> 00:35:15,12 jina lake jinsi lilivyonyanyuliwa juu, mpaka akalifanya kuwa mzani sawa na jina lake 299 00:35:15,14 --> 00:35:19,06 Nashuhudia ya kuwa hapana Mola isipokuwa Mwenyezi Mungu 300 00:35:19,08 --> 00:35:23,20 Ninashuhudia ya kuwa Muhammad ni Mjumbe wa Mwenyezi Mungu 301 00:35:23,23 --> 00:35:30,13 ndani ya kila sala: nashuhudia hakuna Mola isipokuwa Mwenyezi Mungu 302 00:35:30,14 --> 00:35:32,24 ni mmoja pekee hana mshirika 303 00:35:33,01 --> 00:35:38,06 na ninashuhudia kuwa Muhammad ni mja wake na mjumbe wake. 304 00:35:38,09 --> 00:35:42,23 jina(lake) limekuwa kiungio cha jina la Mwenyezi Mungu. 305 00:35:43,00 --> 00:35:49,01 ni lazima muelewe kuwa mpewa jina na mtoa jina wananasibiana vipi 306 00:35:49,02 --> 00:35:51,03 mwisho wa maneno. 307 00:35:51,06 --> 00:36:29,19 Ewe Mwenyezi Mungu mfanye kiongozi wako Mahdy, Rehema zako ziwe juu yake na kwa baba yake,katika zama hizi na katika kila zama, kuwa ni walii na mlinzi, kiongozi na mwenye kunusuru, kuwa ni hoja na muokozi, mpaka hapo atakapodhihiri, na umjaalie awepo