0 00:00:19,17 --> 00:00:38,08 Kuomboleza msiba wa Shahada ya Hazrat Zahraa(A.S), nafasi ya kizazi chake, Salamu zake kwao, na majukumu yao katika siku ya Shahada yake. 1 00:00:39,11 --> 00:00:47,14 Hotuba ya Ayatullah Wahiid Khorasani(Mwenyezi Mungu amuhifadhi) 2 00:00:51,24 --> 00:00:58,20 Jumanne 7-2-1389 Shamsy = 12-5-1431 Qamary 3 00:04:22,18 --> 00:04:27,02 Kwa Jina la Mwenyezi Mungu, Mwingi wa Rehema, Mwenye Kurehemu 4 00:04:28,15 --> 00:05:11,19 Kila sifa njema ni za Mwenyezi Mungu, Mola wa viumbe na Sala za Mwenyezi Mungu zimfikie Bwana Muhammad na jamaa zake waliotakasika hasa Imam Zamani na laana ziwashukie maadui zake hadi siku ya malipo. 5 00:05:12,13 --> 00:05:24,21 somo katika kukamilisha mafhumu ya aya[Tatw-hir] litafanyika siku nyengine. 6 00:05:26,18 --> 00:05:41,07 Natija ya somo lililopita yanapatikana katika muhutasari wa sentensi hii 7 00:05:42,11 --> 00:06:03,07 kulingana na sunna ya Musalamat Suduur, kutoka kwa Mtume wa mwisho: 8 00:06:05,21 --> 00:06:16,02 kukasirika kwa Zahraa, ndio kukasirika kwake 9 00:06:18,03 --> 00:06:29,02 na kufurahi kwa Zahraa, ndio kufurahi kwake 10 00:06:31,06 --> 00:06:37,09 na kwa mujibu wa maandiko ya kitabu: 11 00:06:42,14 --> 00:06:49,02 "Na anachokupeni Mtume basi pokeeni " 12 00:06:50,19 --> 00:07:05,09 makundi yote ya kiislamu ,ukiachia mbali madhehebu (fulani) 13 00:07:06,23 --> 00:07:23,21 kulingana na ukubwa wa msiba huu ni lazima wafanye maombolezo ya Fatimah Zahraa, 14 00:07:24,23 --> 00:07:30,01 na jambo hili, si jambo la wajibu 15 00:07:31,15 --> 00:07:41,12 Ukiachia mbali madhehebu na kanuni (ambayo) 16 00:07:42,02 --> 00:07:58,15 inapeleka Imani kwa Mwenyezi Mungu, na Imani kwa Mtume wa mwisho, 17 00:07:59,05 --> 00:08:04,13 kutokana na hukmu ya moja kwa moja, 18 00:08:05,06 --> 00:08:11,20 ni kusimamisha Sha`air Fatimieh. 19 00:08:12,13 --> 00:08:25,09 Natija ya jambo hili ni kwamba Fatimieh hahusiani na Shia pekee, 20 00:08:26,15 --> 00:08:41,23 lakini anahusiana na kila mtu ambaye ana Imani na Qur`ani na Sunnat za Mtume, 21 00:08:42,13 --> 00:08:52,05 Kwa kawaida anapokasirika Mtume, (naye pia ) anapaswa akasirike 22 00:08:52,23 --> 00:08:58,04 na anapofurahi yeye , (naye pia ) afurahi. 23 00:08:58,14 --> 00:09:10,08 jambo hili, ni katika mambo ambayo tunaweza kuyafanyia kiasi. 24 00:09:11,04 --> 00:09:23,22 lakini majukumu ya makundi mawili ni magumu zaidi: 25 00:09:24,15 --> 00:09:46,06 moja ni majukumu ya wanazuoni, na hasa waislamu ambao wanafahamu kwa undani kitabu na sunna 26 00:09:46,17 --> 00:09:57,15 na wanaufahamu ukweli kama (vile) ulivyo. 27 00:09:58,06 --> 00:10:07,07 kwa vyovyote vile majukumu ya kundi hili ni mazito zaidi. 28 00:10:07,15 --> 00:10:28,20 kundi la pili la watu ambao wana uhusiano wa kinasaba na Swadiqat Kubraa 29 00:10:29,17 --> 00:10:39,12 na wanahesabika katika kundi la watoto wake. 30 00:10:40,07 --> 00:10:54,02 na kundi hili lina majukumu maalum, ambapo ni lazima wajuilikane. 31 00:10:54,11 --> 00:11:02,22 ama kutukuza ukubwa wa msiba (huu): 32 00:11:03,11 --> 00:11:26,20 kwa maelekezo ya sunna iliyopo katika madhehebu ya Shia, kwa hapa hadithi moja tu inatosha. 33 00:11:28,04 --> 00:11:43,17 kwa sababu yametokea masiku ya Fatimieh, maombolezo haya yataanza kuanzia kesho[ 13 Jamad Awwal], 34 00:11:43,23 --> 00:11:54,06 [na] yatakamilika tarehe tatu Jamad Thani. 35 00:11:54,16 --> 00:12:10,17 Majlis na Mahfali ni lazima yajae katika kila mkoa 36 00:12:11,07 --> 00:12:25,16 kwa kubainisha fadhila za Hazrat,Sifa zake njema na yale yaliyomtokea. 37 00:12:26,15 --> 00:12:38,14 amri hii ni dharura kwa kila muislamu 38 00:12:39,03 --> 00:12:48,13 hasa kwa watu wanaofuata madhehebu haya. 39 00:12:50,24 --> 00:13:00,14 riwaya ambayo imeelezewa kwa upande wa Shia 40 00:13:01,00 --> 00:13:10,11 (riwaya) moja tu inatosha, na riwaya yenyewe ni hii: 41 00:13:20,03 --> 00:13:40,07 Baba yako, kutoka kwa Ibn Mahbub, kutoka kwa Abi Ra`ab, kutoka kwa Abi Ubayda, kutoka kwa Abi Abdillah. 42 00:13:41,09 --> 00:14:04,04 sanadi hii kwa mtazamo wa Kifiqh kwa mtu kama Sheikh Answari ni Hojat, katika umuhimu wa mas-ala za Fiqh 43 00:14:05,03 --> 00:14:38,16 upungufu na uchache wa wapokezi ni moja kati ya mambo muhimu katika ukweli wa hadithi, huu ni upande wa kwanza. 44 00:14:39,17 --> 00:14:54,08 upande wa pili: hali za wapokezi hawa katika Rijal na riwaya zao. 45 00:14:55,05 --> 00:15:19,19 Rijal Riwayat wote ni muwathika kwa makubaliano ya watu wakongwe, mfano Sheikh na Najashy. 46 00:15:21,13 --> 00:15:30,07 mtu mmoja akiwa ni nuwathika kwa tawthiki ghamat 47 00:15:31,06 --> 00:15:42,00 na tawthiki ghamat hio kutoka kwa Sheikh Tusii katika Uddeh 48 00:15:44,03 --> 00:15:50,09 na kutoka kwa Ali bin Ibrahim katika tafsiri. 49 00:15:52,05 --> 00:16:00,03 Rijal Riwayat pia wana vigezo kama hivi. 50 00:16:01,16 --> 00:16:05,18 maandiko ya riwaya ni haya: 51 00:16:07,04 --> 00:16:19,07 (imepokewa) kutoka kwa Abi Abdillah(A.S) anasema: 52 00:16:19,17 --> 00:16:25,09 alikuwa Mjumbe wa Mwenyezi Mungu …. 53 00:16:26,16 --> 00:16:34,15 (kitendo hii) kinaashiria kudumu na kuendelea kwa jambo. 54 00:16:36,11 --> 00:16:51,15 alikuwa Mjumbe wa Mwenyezi Mungu…., amali yake ya kudumu ilikuwa ni hii, si kwa kushtukia tu. 55 00:16:52,16 --> 00:17:03,16 alikuwa Mjumbe wa Mwenyezi Mungu akizidisha kumbusu Fatimah 56 00:17:05,03 --> 00:17:12,15 na Aisha alichukia (amali) hiyo, 57 00:17:16,21 --> 00:17:23,18 basi akasema Mjumbe wa Mwenyezi Mungu: Ewe Aisha! 58 00:17:26,06 --> 00:17:40,04 mimi nilipokwenda Israa mbinguni niliingia peponi 59 00:17:42,23 --> 00:17:54,00 Jibril akanisogeza katika mti wa Tuuba … 60 00:18:05,11 --> 00:18:06,11 na akanipa matunda ya ule mtii na nikayala 61 00:18:07,13 --> 00:18:24,16 vigezo vya riwaya ni hivi, ambapo virutubisho vilivyojenga mwili wake (ni hivi) 62 00:18:25,10 --> 00:18:43,01 "Na nikalala kwa Mola wangu (huku) akinilisha" ni lazima vionekane, 63 00:18:43,22 --> 00:18:59,10 na ukweli huu unashangaza, lakini si kwa kila mtu 64 00:18:59,17 --> 00:19:14,03 [bali] ni kwa wale ambao watasimama katika kuazimisha usiku huo 65 00:19:15,21 --> 00:19:23,05 na kwa ule ukaribu utakaotokea katika usiku huo 66 00:19:24,19 --> 00:19:32,05 na kisha wakafahamu ni nini Mti wa Tuuba, 67 00:19:33,13 --> 00:19:39,09 nini wasifu wa Mti huo, 68 00:19:40,05 --> 00:19:59,23 ni Mti ambao hakuna Qasri lolote peponi katika Maqasri yote ya Manabii na Maimam 69 00:20:00,02 --> 00:20:14,02 isipokuwa ndani ya Qasri hilo kuna mzizi utokanao na Mti wa Tuuba. 70 00:20:14,08 --> 00:20:30,01 kutokana na mti huu ndio imeumbwa mbegu ambayo 71 00:20:30,13 --> 00:20:42,05 ndio chanzo cha kuumbwa kwa mwili wake. 72 00:20:42,16 --> 00:20:54,09 kisha akasema kwamba: mimi nilipokuja duniani 73 00:20:54,15 --> 00:21:08,22 na Mwenyezi Mungu akanipa Fatimah, kutokana na matunda ya mti huo, 74 00:21:09,02 --> 00:21:23,21 maelezo ya Hazrat yalikuwa hivi: Sikupatapo kuubusu hata mara moja … , 75 00:21:24,03 --> 00:21:35,01 Haikuwahipo kutokea, hata mara moja, 76 00:21:35,07 --> 00:21:50,06 nikambusu yeye bila kunusa harufu ya mti wa Tuuba. 77 00:21:51,05 --> 00:22:03,00 mtu ambaye mwili wake ni kama huu, Je roho yake ni iko vipi. 78 00:22:03,05 --> 00:22:10,16 hapa kuna maelezo ya kina (kuhusiana) na mada (hili). 79 00:22:10,21 --> 00:22:26,12 katika mada (hii) pana kati ya uhusiano wa roho na mwili 80 00:22:26,16 --> 00:22:41,13 na uwiano wa mwili na roho kwa kuzingatia vipengele hivyo, 81 00:22:41,18 --> 00:22:56,03 ikiwa mwili unatokana na mti wa Tuuba [na] asili ya mwili (wake) ulitokea hapo 82 00:22:56,07 --> 00:23:00,02 (sasa) asili ya roho yake imetokea wapi? 83 00:23:00,05 --> 00:23:09,02 ikiwa mwili wenyewe ni huu, 84 00:23:09,06 --> 00:23:22,11 nafsi inayonasibiana na mwili huu, nafsi hiyo ni nafsi gani? 85 00:23:22,15 --> 00:23:29,16 wakati ukweli huu ukiwa wazi(ukifahamika) 86 00:23:29,20 --> 00:23:39,14 maana ya maneno ya Imam wa Sita kidogo yatakuwa wazi kwa kiasi fulani: 87 00:23:40,05 --> 00:23:52,03 Kwa nini Fatimah, ameitwa Fatimah? Kwa nini? 88 00:23:52,08 --> 00:24:03,19 Fatimah inatokana na Fa-t-m, 89 00:24:03,22 --> 00:24:10,04 akasema: Fatimah ndio akaitwa Fatimah 90 00:24:10,08 --> 00:24:17,04 kwa sababu kuubwa kwa maarifa yake ni mwisho wa kikomo 91 00:24:17,08 --> 00:24:30,03 akili zimezuiwa katika kufahamu cheo chake kitukufu 92 00:24:30,08 --> 00:24:35,02 dalili yake ni hii: 93 00:24:35,06 --> 00:24:47,19 ikiwa mwili wenyewe ni huu, ikiwa virutubisho vya mwili vimetoka kwa aliye juu (ya kila kitu), 94 00:24:47,23 --> 00:24:58,09 je virutubisho vya kiroho vimetokea wapi? 95 00:24:58,14 --> 00:25:13,07 hapa itakuwa wazi kwa maneno ya Imam wa Sita , kwamba roho [yake] imeumbwa kutokana na nini? 96 00:25:13,11 --> 00:25:19,05 mwili [wake] umetokana na mti wa Tuuba 97 00:25:19,08 --> 00:25:26,21 ama roho [yake] imetokana na nuru tukufu ya Mwenyezi Mungu. 98 00:25:26,24 --> 00:25:38,03 hii ndio asili ya roho (yake): imetokana na nuru tukufu ya Mwenyezi Mungu. 99 00:25:38,07 --> 00:25:47,04 zaidi ya hapa haiwezi kuandika kalamu ya mwandishi yeyote (yule) 100 00:25:47,09 --> 00:25:54,11 (hapa pia) hawezi kuelezea Faqihi yeyote (yule). 101 00:25:54,15 --> 00:26:04,01 mwili unatokana na mti wa Tuuba, roho inatokana na nuru tukufu ya Mwenyezi Mungu. 102 00:26:04,05 --> 00:26:13,08 wakati mwili huu ulipoenda kuzikwa katikati ya usiku, 103 00:26:13,10 --> 00:26:23,23 na akasema shujaa ya ulimwengu pembeni mwa mwili huu: 104 00:26:24,02 --> 00:26:33,23 Ole wangu! Nisingekuwa hai, nisingeliweza kuona hali hii. 105 00:26:34,04 --> 00:26:41,17 tukio hili nihuishwe vipi. 106 00:26:41,21 --> 00:26:51,07 cha muhimu hapa, ni majukumu ya kizazi cha Fatimah. 107 00:26:51,11 --> 00:26:56,01 hii nayo ni sehemu ya pili. 108 00:26:56,05 --> 00:27:06,03 kizazi cha Fatimah, ni kila mtu ambaye ni mtoto wa kweli … 109 00:27:06,08 --> 00:27:16,21 kwanza: anuwani ya mtoto ni anuwani ambayo kwamba 110 00:27:16,23 --> 00:27:30,04 inakusanya watu ambao upande wa umamani kwake ni Fatimiyy, 111 00:27:30,08 --> 00:27:35,22 hawa pia wanakuwemo kwa hukumu ya Qur`ani: 112 00:27:36,01 --> 00:27:43,05 "na katika kizazi chake" huu ni ushahidi wa maneno haya. 113 00:27:43,08 --> 00:27:56,07 sio watoto wanaotokana na upende wa kiume peke yake, 114 00:27:57,00 --> 00:28:01,20 lakini pia upande wa kike pia ni watoto (wake), 115 00:28:01,23 --> 00:28:16,14 kwa hivyo watu wote ambao wanatokana na upande wa baba, ni kizazi cha Fatimah daraja wa kwanza, 116 00:28:16,17 --> 00:28:30,13 na watu wote ambao wanatokana na upande wa mama, ni kizazi cha Fatimah daraja ya pili, 117 00:28:30,17 --> 00:28:49,22 ni lazima katika usiku wa Shahada ya Hazrat katika siku ya tarehe tatu Jamad Thani, unapoingia usiku 118 00:28:50,01 --> 00:29:03,14 mwaka huu imekubalika kwamba kuwe na makundi ya Masayyid katika mikoa yote 119 00:29:03,18 --> 00:29:09,02 ni lazima wajitokeze (katika) chakula cha wageni 120 00:29:09,05 --> 00:29:21,07 na watekeleze majukumu yao kutokana na mama yao. 121 00:29:21,11 --> 00:29:35,12 hapa kuna mambo mawili: Jambo moja ni hili ambalo 122 00:29:35,15 --> 00:29:51,01 Sheikh Saduq amenakili riwaya katika Uyu`un, 123 00:29:51,07 --> 00:29:57,09 madhumuni ya riwaya hii ni kwamba: 124 00:30:00,12 --> 00:30:14,06 kuangalia uso wa kizazi cha Hazrat ni Ibada. 125 00:30:14,09 --> 00:30:26,08 maneno haya yanatokea wapi? 126 00:30:26,11 --> 00:30:32,11 kuangalia Kaaba ni ibada, 127 00:30:32,14 --> 00:30:38,05 kuangalia msahafu ni ibada, 128 00:30:38,08 --> 00:30:44,12 kuangalia uso wa mwanazuoni ni ibada, 129 00:30:44,15 --> 00:31:01,16 kuangalia uso wa kizazi cha Fatimah, chenye nasaba na yeye tu, (pia) ni ibada. 130 00:31:02,19 --> 00:31:13,17 kisha akaulizwa Imam wa Nane, kwamba kuangalia uso wa kizazi [chake] ni ibada, 131 00:31:13,20 --> 00:31:20,10 [je ina maana] ya kuwaangalia Maimam ndio kizazi (chake)? 132 00:31:20,15 --> 00:31:31,03 majibu ya Imam yalikuwa hivi kwamba kuangalia huku ni kwa kizazi chote cha Fatimah, 133 00:31:31,08 --> 00:31:41,09 yaani pia kwa Sayyid ambaye atakuja baada ya karne kumi na nne, 134 00:31:41,12 --> 00:31:46,02 pia kuangalia uso wake ni ibada. 135 00:31:46,06 --> 00:31:51,05 hii ni riwaya moja. 136 00:31:52,23 --> 00:32:02,14 riwaya nyengine katika A`amal ya Sheikh Saduq, na riwaya yenyewe ni hii 137 00:32:02,19 --> 00:32:10,19 siku ya Kiama kutatanda kiza katika Mahshar(uwanja wa hukumu), 138 00:32:10,22 --> 00:32:19,09 kisha kiza hiki kitapata uwezo wa hali ya juu, 139 00:32:19,12 --> 00:32:29,01 ghafla, itadhihiri nuru katika Mahshar, 140 00:32:29,05 --> 00:32:36,02 watu watashangaa hawa ni (watu) wa tabaka gani? 141 00:32:36,06 --> 00:32:43,06 [je] ni Malaika? Manabii? Mashahidi? 142 00:32:43,10 --> 00:32:53,09 atanadi mwenye kunadi: Hawa si Manabii, si Mashahidi, 143 00:32:53,11 --> 00:32:59,13 hiki ni kizazi cha Mtume wa mwisho (Khatam) 144 00:33:00,07 --> 00:33:08,09 kila Sayyid anapaswa kuwa na vigezo hivi viwili: 145 00:33:08,14 --> 00:33:17,21 Kwanza: Asitoke katika Mipaka ya Mjumbe wa Mwenyezi Mungu. 146 00:33:18,00 --> 00:33:26,12 Pili: asiambatane na uchafu wa madhambi, 147 00:33:26,17 --> 00:33:39,01 Sayyid (kama) huyu, ni ibada kuangalia uso wake, 148 00:33:39,14 --> 00:33:48,01 [na] siku ya Kiama ni taa itakayong`ara katika viwanja vya Mahshar 149 00:33:49,10 --> 00:33:54,20 lakini yote haya yanatokana na baraka za nani? 150 00:33:55,19 --> 00:33:58,24 ni lazima itafutwe asili yake. 151 00:33:59,23 --> 00:34:12,06 Masayyid Alawiyiina, Alawiyaat ni kizazi cha Mtume ambacho 152 00:34:12,19 --> 00:34:21,18 kinatoka upande wa Swadiqat Kubraa pekee 153 00:34:21,24 --> 00:34:25,08 na hii pia ni miongoni mwa maajabu ya dunia _ 154 00:34:25,17 --> 00:34:32,02 kizazi[hiki] kwa nini kikafika daraja hii? 155 00:34:32,08 --> 00:34:39,12 upendeleo huu asili yake ni nini? Asili yake ni hii: 156 00:34:39,17 --> 00:34:49,17 wakati Hazrat Zahraa alipoaga dunia 157 00:34:49,21 --> 00:34:53,10 ambapo haina haja ya kuyaongelea hapa _ 158 00:34:53,12 --> 00:35:04,09 ndani ya nyumba hakukuwa na mtu, isipokuwa Asmaa. 159 00:35:06,02 --> 00:35:33,15 akaoga. Kwa ufupi ….. 160 00:35:34,09 --> 00:35:55,10 kisha wakaja watoto wawili, wakauliza: 161 00:35:55,24 --> 00:36:32,06 Asmaa, nini kimemtokezea Mama (yetu)? 162 00:36:32,13 --> 00:36:39,18 wote wawili wakakimbilia kwenye Kaburi la Mtume : 163 00:36:40,06 --> 00:36:52,23 huku wakipiga mayowe Ewe Ahmad! Ewe Muhammad! Mpaka wakaingia msikitini …. 164 00:36:54,00 --> 00:37:01,01 Kile ambacho (Imam Ali) hakuweza kukivumilia ni hiki: 165 00:37:03,08 --> 00:37:06,18 ni nani Amiri Muuminiina? 166 00:37:07,14 --> 00:37:19,02 ni mtu ambaye alikuwa na makovu ya majeraha (zaidi ya ) elfu katika mwili yake, 167 00:37:19,15 --> 00:37:26,12 hakuwahi kusoneneka kwa jeraha hata moja, 168 00:37:32,18 --> 00:37:43,15 ama mtu kama huyu alitokwa na machozi pale alipowaona watoto hawa wawili. 169 00:37:50,16 --> 00:37:53,19 alitokewa na hali gani? 170 00:37:54,09 --> 00:38:03,13 ibara ni hii: alimwagiwa maji usoni mwake, 171 00:38:06,04 --> 00:38:15,00 (kwani) alikuwa ameanguka chini, kisha akanyanyuka, 172 00:38:15,24 --> 00:38:19,13 akaja, akaingia ndani (ya nyuma), 173 00:38:19,23 --> 00:38:33,16 baada ya kuingia ndani, akaondoa pazia nililokuwa katika uso (wake) 174 00:38:34,14 --> 00:38:38,23 asili ya jambo lenyewe ni hili: 175 00:38:40,07 --> 00:39:01,22 akamchunguza uso wake, na akakuta waraka kichwani kwake, 176 00:39:04,23 --> 00:39:10,24 akauangalia kisha akaufungua: 177 00:39:12,01 --> 00:39:21,20 Kwa Jina la Mwenyezi Mungu, Mwingi wa Rehema Mwenye Kurehemu, 178 00:39:22,14 --> 00:39:46,08 haya ndio aliyousiya Fatimah bint Muhammad, 179 00:39:47,15 --> 00:40:01,06 ameusiya na huku akishuhudia ya kuwa hakuna mola( wa haki) isipokuwa Allah 180 00:40:02,04 --> 00:40:10,13 na hakika ya Muhammad ni mja (wake) na Mtume (wake) 181 00:40:11,09 --> 00:40:18,23 na hakika ya Pepo ni haki, na moto ni haki 182 00:40:19,08 --> 00:40:28,13 na kwa hakika Kiama kitakuja hapana shaka ndani yake 183 00:40:28,19 --> 00:40:37,13 na kwa hakika Mwenyezi Mungu atawafufua walio makaburini 184 00:40:37,19 --> 00:40:51,07 Ewe Ali! Mimi ni Fatimah… Mimi ni Fatimah 185 00:40:52,03 --> 00:41:00,10 katika Mimi ni Fatimah, ameyazungumza yote kwamba mimi ni nani, 186 00:41:02,01 --> 00:41:05,24 mwili wangu unatokana na nini? Roho yangu inatokana na nini? 187 00:41:06,23 --> 00:41:14,05 mimi ni Fatimah bint Muhammad, 188 00:41:15,12 --> 00:41:28,10 Mwenyezi Mungu ameniozesha kwako, 189 00:41:28,17 --> 00:41:40,23 ili niwe pamoja nawe katika dunia na akhera, 190 00:41:42,04 --> 00:41:46,15 wewe ni bora kuliko mimi, 191 00:41:46,21 --> 00:42:01,08 nihaniti na unioshe, na unikafini … ama … usiku... 192 00:42:06,22 --> 00:42:17,10 na kisha unisalie … kulikuwa na nini? 193 00:42:17,21 --> 00:42:31,23 hata hunuti na kuosha, kukafini mpaka kufika kuzika, yote kufanyika usiku (wa manane). 194 00:42:33,04 --> 00:42:37,22 na wala asimjuilishe yeyote. 195 00:42:39,07 --> 00:42:51,09 kisha akasema Ewe Ali! Wewe ninakuweka dhamana kwa Mwenyezi Mungu, 196 00:43:00,12 --> 00:43:21,08 yaani wewe tu ndie uliyekuwa mhimili(supporter) wangu, wewe ndio nguzo yangu pekee, mimi nilikuwepo … nimeshatangulia. 197 00:43:24,02 --> 00:43:30,01 sentensi ya mwisho (ilikuwa) hii … 198 00:43:30,16 --> 00:43:37,02 Masayyid wafahamu ni majukumu gani waliyonayo? 199 00:43:37,10 --> 00:43:49,01 Kwanza: Maalawi, Maalawiyat, Fatimiyina, Fatimiyaat, katika nchi nzima, 200 00:43:49,08 --> 00:44:03,23 kwa ajili ya shahada ya Hazrat Zahraa katika siku ya mwezi tatu Jamad Thani ni lazima yadhaminiwe kupitia kwenu. 201 00:44:04,07 --> 00:44:14,23 usiku baada ya siku ya Shahada makundi ya Masayyid yajitokeze peke yao, 202 00:44:15,03 --> 00:44:18,19 [na] asiwepo yeyote nyuma yao zaidi ya Masayyid. 203 00:44:19,02 --> 00:44:25,16 kwa nini? Kwa sababu kuna tabligh moja (maalum), 204 00:44:25,22 --> 00:44:34,18 mtu amefanya tabligh, na kuna kitu anachotaka kukifikisha. 205 00:44:34,24 --> 00:44:41,09 ni jambo gani analotaka kuwafikishia? 206 00:44:41,15 --> 00:44:45,10 mwisho wa wasia ni huu: 207 00:44:45,17 --> 00:45:04,24 nifikishie salamu zangu kwa kizazi changu mpaka siku ya Kiama, 208 00:45:06,02 --> 00:45:11,06 maneno haya yana maana, yaani waambie: 209 00:45:11,17 --> 00:45:20,01 nilihanitiwa, nikakafiniwa, na nikazikwa usiku (wa manane). 210 00:45:20,07 --> 00:45:27,19 majukumu ya wote hasa Masayyid yameshaainishwa. 211 00:45:28,04 --> 00:45:37,11 Ewe Mola wetu! Tusamehe sisi kwa (kupitia) roho ya Swadiqat Kubra, 212 00:45:38,15 --> 00:45:47,21 sisi tuwe ni wenye kukiangalia kizazi chake.