0 00:00:01,23 --> 00:00:07,11 Mawaidha ya Ayatullah al_Udhmaa kuhusu Fadhila za Imam wa Zama(a.s) na umuhimu wa kusambaza hilo 1 00:00:09,03 --> 00:00:16,00 17-04-1389 Hijria Shamsia = 25/7/1431 Hijria Qamaria 2 00:00:17,02 --> 00:00:20,20 Kwa Jina la Mwenyezi Mungu, Mwingi wa Rehema, Mwenye Kurehemu 3 00:00:23,12 --> 00:00:33,10 (siku ya) Kiyama katika Qur`ani ina majina 28, 4 00:00:33,11 --> 00:00:42,05 moja katika majina hayo ni siku ya khasara. 5 00:00:43,18 --> 00:00:47,24 aya tukufu inasema: 6 00:00:49,14 --> 00:00:58,14 Na uwaonye siku ya majuto shauri litakapokatwa. 7 00:00:59,00 --> 00:01:06,04 kwa mtazamo wetu aya hii pekee inatosha. 8 00:01:08,03 --> 00:01:17,04 mtu kama atafahamu kauli hii anahutubiwa nani? 9 00:01:18,08 --> 00:01:28,22 (ana hutubiwa) Mtume wa mwisho, na kauli hiyo ni katika sura ya kuonywa. 10 00:01:29,15 --> 00:01:40,18 kisha kinachohusiana na kuonywa, jina lake ni siku ya khasara. 11 00:01:41,20 --> 00:01:50,13 kisha pia Mwenyezi Mungu anasema: ni kazi iliyokwisha pita. 12 00:01:51,04 --> 00:02:05,17 sisi tulighafilika na tukazembea ambapo 13 00:02:06,07 --> 00:02:15,15 kama Mwenyezi Mungu atatupa taufiqi basi tutalipa na kufidia (tulipozembea) 14 00:02:22,05 --> 00:02:30,21 wakati Hazrat Hidh-ri pamoja na Alexander walipokuwa katika giza, 15 00:02:33,18 --> 00:02:45,04 Hidh-ri akasema: chini ya kwato za farasi huyu kuna kitu ambacho 16 00:02:45,21 --> 00:02:59,00 yeyote atakayekichukuwa basi atajuta, na pia kila atakayekosa kukichukuwa atajuta. 17 00:02:59,16 --> 00:03:09,23 kundi moja likasema: nini mwisho wa majuto 18 00:03:10,14 --> 00:03:17,08 sisi kwa nini tujihangaishe kushuka (katika vipando vyetu). 19 00:03:17,24 --> 00:03:23,02 kundi moja likashuka na likachukuwa (kitu chini ya kwato). 20 00:03:24,00 --> 00:03:33,18 wakati gisa lilipoisha, wakaangalia, na wakaona vito vya Zumaridi (maadini) 21 00:03:34,06 --> 00:03:44,13 wale waliochukuwa walijuta kwa sababu kwanini wamechukuwa kidogo, 22 00:03:44,24 --> 00:03:51,02 hasara yao ilikuwa ndogo, 23 00:03:51,10 --> 00:03:59,21 wale ambao hawakuchukuwa kabisa, pia walijuta. 24 00:04:00,05 --> 00:04:09,00 Na uwaonye siku ya majuto shauri litakapokatwa, uhakika wake ni huu 25 00:04:09,04 --> 00:04:14,11 katika dunia hii (tupo) katika giza … 26 00:04:14,16 --> 00:04:20,18 kwa kweli Qur`ani inashangaza. 27 00:04:22,01 --> 00:04:33,07 Mwenyezi Mungu ni mwenye kuwatawala wale walioamini, huwatowa katika giza na kuwapeleka kwenye mwangaza. 28 00:04:34,08 --> 00:04:44,12 katika gisa hili, johari zimejificha, 29 00:04:45,04 --> 00:04:56,05 mtu yeyote atakayechukuwa, siku ya Kiyama atakuwa ni mwenye kula khasara, kwa sababu kachukuwa kidogo. 30 00:04:56,13 --> 00:05:03,22 wale ambao hawakuchuwa hata kidgo 31 00:05:04,03 --> 00:05:11,13 watakuwa katika khasara isiyokuwa na mfano, 32 00:05:11,19 --> 00:05:16,24 kwa sababu si jambo lenye kufahamika, 33 00:05:17,00 --> 00:05:37,03 kwa mfano katika siku ya Shahada ya Hazrat Zahraa tunaweza kuwajenga watu (kiimani na kiitikadi), lakini ikawa hatukufanya, 34 00:05:37,08 --> 00:05:43,15 khasara yake inakuwa ni ya milele, 35 00:05:44,15 --> 00:05:54,20 kwa sababu Shahada ya mwaka uliopita haiwezi kurudi, 36 00:05:55,00 --> 00:06:06,22 wakati huo huo kama katika kijiji linaweza kutoka kundi (kwa ajili ya maombolezo), 37 00:06:07,02 --> 00:06:16,20 na wakalikuza na kulihuisha jina la Hazrat Zahraa, natija yake itakuwa hii. 38 00:06:16,24 --> 00:06:21,20 Imam wa sita anafafanua. 39 00:06:21,21 --> 00:06:38,06 kufahamu hayo na kufikia malengo ya maneno haya yanahitaji uwe na kiwango cha Faqihi, kama vile Sheikh Aswariy, 40 00:06:38,12 --> 00:06:43,00 maelezo ya Imam ni haya: 41 00:06:43,01 --> 00:06:49,20 Mwenyezi Mungu ameshamrehemu yule ambaye anahuisha jambo letu; 42 00:06:52,00 --> 00:07:06,22 sentensi hii inatoka kwa Imam, nayo imeshaondoa tatizo la siku ya khasara. 43 00:07:09,01 --> 00:07:16,11 Kwanza: Dua imekuja katika kitendo kilichopita: 44 00:07:17,05 --> 00:07:22,22 Mwenyezi Mungu ameshamrehemu - na wala si Mwenyezi Mungu atamrehemu- 45 00:07:23,03 --> 00:07:28,07 hii yenyewe ina ufafanuzi wa kina. 46 00:07:28,10 --> 00:07:42,09 kuna nisbati gani ya tofauti baina ya kuja kwake katika kitendo kilichopita na nisbati ya kitendo cha sasa, 47 00:07:42,15 --> 00:07:46,19 hilo ni somo pana la kielimu. 48 00:07:46,23 --> 00:07:57,02 hiyo pia ni dua ya mtu ambaye , kwanza alama ya Imam ni hii: 49 00:07:57,06 --> 00:08:06,19 Hakika Imam anajuilikana kwa elimu yake na kukubaliwa dua kwake dua; 50 00:08:06,23 --> 00:08:13,17 dua yake ni muhali kurejeshwa (kutokubaliwa dua yake). 51 00:08:13,21 --> 00:08:16,01 wakati huo dua yake ilikuwa hii: 52 00:08:16,08 --> 00:08:24,21 Mwenyezi Mungu ameshamrehemu, sio Mwenyezi Mungu atamrehemu, 53 00:08:25,00 --> 00:08:34,24 Mwenyezi Mungu ameshamrehemu mtu ambaye anahuisha jambo letu, 54 00:08:35,24 --> 00:08:45,17 muda huo kuhuisha jambo ni nini? Na hizo rehma ni zipi? 55 00:08:48,22 --> 00:08:56,07 Kwanza: Rehma alizozitaka Imam …., 56 00:08:56,11 --> 00:09:02,05 ni lazima urejee katika Qur`ani yenyewe. 57 00:09:02,09 --> 00:09:06,12 maneno ya Qur`ani ni haya: 58 00:09:06,17 --> 00:09:15,24 Na rehema za Mola wako ni bora kuliko wanayoyakusanya 59 00:09:16,02 --> 00:09:32,15 kama yatakusanywa mambo yote ya watu kuanzia mwanzo wa kuubwa mpaka mwisho 60 00:09:32,19 --> 00:09:37,09 hayawezi kuwa na thamani ya rehma hata moja 61 00:09:37,14 --> 00:09:52,14 hii ndio rehma aliyoikusudia Imam, ambayo ni kwa ajili ya yule anayehuisha jambo lao. 62 00:09:52,17 --> 00:10:01,04 hii inaonesha wazi ni kwa kiasi gani tumepoteza mpaka sasa. 63 00:10:01,07 --> 00:10:11,13 miaka ya nyuma hakukuwa na chochote kuhusiana na Shahada ya Hazrat Zahraa 64 00:10:11,18 --> 00:10:19,17 mambo gani yalifanywa , na kama sisi tukiyafanya , (maombolezo ya Shahada yake) yataondoka, 65 00:10:19,20 --> 00:10:31,22 sasa ni lazima tuamke, tuitumie kila fursa kwa ukamilifu. 66 00:10:32,00 --> 00:10:38,20 Mwenyezi Mungu ameshamrehemu yule ambaye anahuisha jambo letu 67 00:10:39,00 --> 00:10:50,13 khasara hiyo inaweza kufidiwa na kulipwa , kwa sababu ndani yake kila kitu kinapatikana. 68 00:10:50,18 --> 00:11:00,23 kundi hilo ambalo maisha na kuubwa ni kwa ajili yao, 69 00:11:01,01 --> 00:11:09,12 baadhi ya watu hawakuwa ni wenye kudumu kwa Mwenyezi Mungu, 70 00:11:10,12 --> 00:11:20,17 yaani katika kukabiliana na matakwa ya Mwenyezi Mungu. 71 00:11:20,22 --> 00:11:33,12 Na huwalisha chakula masikini na mayatima na wafungwa hali ya kuwa wanakipenda, 72 00:11:33,17 --> 00:11:39,09 (husema) tunakulisheni kwa ajili ya radhi za Mwenyezi Mungu tu. 73 00:11:39,13 --> 00:11:43,21 huu ni mfano wa kazi na matendo yao. 74 00:11:44,00 --> 00:11:53,09 muda huo viumbe vyote vitatokewa kwa matakwa ya Mwenyezi Mungu. 75 00:11:54,13 --> 00:12:03,04 huyu ni yule Mwenyezi Mungu ambaye ((Hakika amri yake anapotaka chochote 76 00:12:03,05 --> 00:12:07,14 hukiambia: kuwa na kikawa, 77 00:12:07,21 --> 00:12:12,17 matakwa yake, huwa matakwa yao. 78 00:12:14,21 --> 00:12:27,18 Ziyara hii, ni ziyara ambayo Sheikh Swaduq anasema: 79 00:12:27,22 --> 00:12:31,03 Ziyara Sahihi zaidi. 80 00:12:31,05 --> 00:12:34,08 usahihi huo Mafaqihi wanaufahamu. 81 00:12:34,10 --> 00:12:40,04 Sheikh, pia katika kitabu chake Man La Yah-dhur, 82 00:12:40,07 --> 00:12:50,24 katika ziyara zote, ziyara hii aliichaguwa kuwa ni ziyara sahihi zaidi, 83 00:12:51,02 --> 00:12:54,10 katika ziyara hiyo, kuna: 84 00:12:54,13 --> 00:13:02,01 matakwa ya Mwenyezi Mungu yamo katika makadirio ya mambo yake 85 00:13:02,04 --> 00:13:08,14 hushuka kwa ajili yenu na hutokea katika majumba yenu 86 00:13:08,16 --> 00:13:22,20 mtu ambaye anafanya amali kwa ajili yao, kazi hiyo haiwezi kukadiriwa. 87 00:13:22,22 --> 00:13:30,06 hii ni kwamba sisi tuko katika hijabu, kwani hatafahamu (haya), 88 00:13:30,09 --> 00:13:35,17 kwa sababu mambo haya yako nje ya ufahamu wetu. 89 00:13:35,20 --> 00:13:41,03 Kwanza: ni lazima tuelewe kazi kwa ajili ya nani? 90 00:13:41,07 --> 00:13:47,05 kwa mfano imejitokeza mwezi kumi na tano Shaabani, 91 00:13:47,09 --> 00:13:56,04 mwezi kumi na tano Shaabani ni nini? Nini kilitokea, 92 00:13:57,03 --> 00:14:07,20 mwenye siku hii ni nani, kwa kweli akili haiwezi kufahamu, 93 00:14:07,22 --> 00:14:13,14 Huwezi kumsifia Imam Zamani(a.s) 94 00:14:13,16 --> 00:14:24,16 mimi mwenyewe nikifika katika jambo hili basi akili yangu inashidwa kuelewa. 95 00:14:24,18 --> 00:14:31,00 sunni na Shia wamenakili …. Na cha ajabu ni hiki. 96 00:14:31,04 --> 00:14:41,15 sasa kama Mwenyezi Mungu atatuwezesha kutupa fursa basi nitaisherehesha hadithi hii, 97 00:14:41,18 --> 00:14:44,18 hadithi (yenyewe) ni hii: 98 00:14:44,21 --> 00:14:56,17 wafuasi wake ni idadi wa watu wa Badri, 99 00:14:56,20 --> 00:15:04,00 kila mmoja wao ana upanga. 100 00:15:04,24 --> 00:15:05,24 hapa zingatieni kwa makini. 101 00:15:09,02 --> 00:15:21,07 kama wafuasi (wake) wana nafasi hii, yeye mwenyewe ana nafasi gani? 102 00:15:22,12 --> 00:15:28,06 kila mmoja wao ana upanga, 103 00:15:28,18 --> 00:15:38,00 pembeni mwa upanga huo, kumeandikwa maneno elfu, 104 00:15:38,05 --> 00:15:48,17 na kila neno linafunguwa milango elfu moja ya elimu, 105 00:15:48,22 --> 00:15:54,16 huu ni utukufu wa wafusi wa Imam Zamani(a.s). 106 00:15:54,20 --> 00:16:02,07 kisha sentensi ambayo inashangaza akili ni hii: 107 00:16:02,10 --> 00:16:15,06 wa mwanzo hawajawahi kuwashinda na wala hawawadiriki wa mwisho 108 00:16:15,09 --> 00:16:26,24 watu hawa 313 wana vyeo na utukufu ambao watu wote mwanzo …., 109 00:16:27,02 --> 00:16:30,23 mwanzo ina maana gani? 110 00:16:31,01 --> 00:16:44,20 Mawalii wote wa Mwneyezi Mungu waliopita, na Mawalii wa Mwenyezi Mungu wote wa mwishoni, 111 00:16:45,00 --> 00:16:59,00 kuanzia mwanzo mpaka mwisho, kama utawakusanya Mawalii wote wa Mwenyezi Mungu, basi hawawezi kuwafikia watu hawa 313. 112 00:16:59,06 --> 00:17:11,08 hivi ni vyeo vya wafuasi wake, yeye mwenye ni nani? Cheo chake ni kipi? 113 00:17:11,12 --> 00:17:19,17 kadhia ya Imam Zamani akili zinashindwa kufahamu. 114 00:17:19,20 --> 00:17:34,14 ikiwa watu watafahamu, katika nusu Shaabani ni lazima watu wote kuungana (kuwa na sauti moja). 115 00:17:34,18 --> 00:17:41,02 katika dunia jambo hili halijawahi kutokea: 116 00:17:43,06 --> 00:17:54,11 wakati Mtume alipokuwa akimuelezea yeye, maelezo yake yalikuwa haya: 117 00:17:54,14 --> 00:17:59,19 Al_Mahdiy ni katika watoto wangu; 118 00:17:59,23 --> 00:18:08,19 kisha kile ambacho kinashangaza akili ni hizi sentensi mbili: 119 00:18:09,18 --> 00:18:17,21 Jina lake ni kama jina langu, na kuni-a yake ni kama kuni-a yangu. 120 00:18:18,04 --> 00:18:28,13 jina na kuni-a ya mtu haijuzishwa kwa mtu yeyote, 121 00:18:28,16 --> 00:18:35,01 ni makhsusi kwa Hujat bin Al_Hasan (Imam Zamani). 122 00:18:35,04 --> 00:18:44,07 jina (lake) ni kama la Mtume, na kuni-a yake ni kama ya Mtume. 123 00:18:44,11 --> 00:18:54,01 sentensi hii ni sentensi ambayo inamshangaza mtu kama Sheikh Answariy: 124 00:18:54,04 --> 00:19:02,00 Anashabihiana na mimi zaidi kuliko mtu yeyote kwa umbo na tabia; 125 00:19:03,01 --> 00:19:08,00 kila mtu ana roho, na ana kiwiliwili, 126 00:19:08,01 --> 00:19:25,12 mwili bora na roho bora katika ulimwengu kwa umbo na tabia, mtu wa kwanza wa duniani (A`lam Imkaan) 127 00:19:25,15 --> 00:19:29,09 na yeye ni Mtume wa mwisho. 128 00:19:29,11 --> 00:19:37,09 kisha mwenyewe anasema: Anashabihiana zaidi kuliko mtu yeyote; 129 00:19:37,11 --> 00:19:46,05 Anashabihiana zaidi kuliko mtu yeyote; 130 00:19:46,08 --> 00:19:57,04 katika maumbile kwa upande wa kiwiliwili , na pia katika ukamilifu wa kiroho, 131 00:19:57,06 --> 00:20:02,02 hakuna yeyote anayeshabihiana na mimi isipokuwa Mahdiy. 132 00:20:02,06 --> 00:20:12,05 kwa sababu hii ndio ikawa wasifu wa Imam Zamani uko nje ya upeo wetu. 133 00:20:12,07 --> 00:20:27,03 watu wana kipaji cha nuru katika usiku wa nusu Shaabani …., lakini ni nani mtu wa usiku huo. 134 00:20:27,06 --> 00:20:40,02 Seikh Tussiy katika kitabu chake Misbahul Mutahajjidu, ameitaja dua ya usiku wa nusu Shaabani, 135 00:20:40,05 --> 00:20:49,06 kwa kweli akili ya kila mwenye hikma na faqihi zinashindwa kufahamu. 136 00:20:49,09 --> 00:20:57,00 taabiri iliyotolewa kwa Imam Zamani, ni maneno mawili: 137 00:20:57,04 --> 00:21:05,11 nuru yako iliyowazi na mzuri na mwanga wako uang`azao kila kitu (kama mwezi wa usiku mwezi 14); 138 00:21:05,15 --> 00:21:17,02 Imam Zamani ni nuru ya Mwenyezi Mungu, ama ni nuru ya Mwenyezi Mungu iliyo wazi na mzuri, 139 00:21:17,06 --> 00:21:28,17 Imam Zamani ni mwanga wa Mwenyezi Mungu, ama ni mwanga wa Mwenyezi Mungu unaoangaza kila kitu (kama mwezi wa usiku mwezi 14) 140 00:21:28,20 --> 00:21:46,14 huo ndio ufafanuzi wa Hujat Allah, ambao pia umo katika kitabu cha Sheikh Tussiy (Misbahul Mutahajjud)) 141 00:21:47,19 --> 00:21:51,03 huyu ndiye Imam Zamani(a.s) 142 00:21:51,07 --> 00:21:56,03 someni surat Shams: 143 00:21:56,07 --> 00:22:00,02 Naapa kwa jua na mwanga wake 144 00:22:00,03 --> 00:22:03,16 Na kwa mwezi unapoliandama 145 00:22:03,17 --> 00:22:09,08 Na kwa mchana unapolidhihirisha. 146 00:22:09,10 --> 00:22:13,03 maneno matatu yamefuatana: 147 00:22:13,05 --> 00:22:20,23 hilo jua, taawili yake ni Mtume wa mwisho, 148 00:22:21,00 --> 00:22:25,18 na huo mwezi, taawili yake ni Amiril Muuminiina, 149 00:22:25,22 --> 00:22:34,15 na mchana huo, taawili yake ni Hujat bin Al_Hassan. Na kwa mchana unapolidhihirisha. 150 00:22:34,19 --> 00:22:45,03 nyote tiyeni nia, na kazi hii ipeni kipaumbele: 151 00:22:45,05 --> 00:22:55,07 anzeni kila mwezi kukamilisha kisomo kizima cha Qur`ani 152 00:22:55,11 --> 00:23:02,04 na hitimisho hilo la Qur`ani ifanye zawadi kwa Imam Zamani (a.s). 153 00:23:02,07 --> 00:23:10,03 kazi hii, baadae itakuwa wazi athari yake ni nini? 154 00:23:10,04 --> 00:23:21,09 hii ni Xsiri nyeupe lakini sisi tumeamka wakati kazi imeshapita. 155 00:23:21,11 --> 00:23:27,17 mimi miaka mingi iliyopita nimekutana na riawaya hii 156 00:23:27,19 --> 00:23:38,10 ambayo sanadi ya riwaya hii imefikia daraja ya kukubalika na faqihi ambaye, 157 00:23:38,14 --> 00:23:44,05 si faqihi yeyote tu kama tunavyosema . 158 00:23:44,09 --> 00:23:57,16 sisi faqihi tunayemjua ni Sheikh Answariy, Mirzai Shiraziy, Shahid Awwal, Shahid Thaniy. 159 00:23:57,20 --> 00:24:09,16 hadithi ambayo tumekutana nayo akili zetu zinashindwa kufahamu, na natika yake ni: 160 00:24:09,18 --> 00:24:13,15 mtu ambaye elimu yake ni kama hii 161 00:24:13,18 --> 00:24:22,18 yaani kwa kadri utakavyoweza kusoma Qur`ani, na itowe zawadi kwake, 162 00:24:22,21 --> 00:24:31,18 malipo yake ya kweli- hayana mfano- ambayo ni: Atakuwa pamoja nasi; 163 00:24:31,21 --> 00:24:37,12 kwa kweli malipo yake yanakuwa ni ushirika (upamoja) 164 00:24:37,15 --> 00:24:43,23 hapa tena hapana habari ya pepo, pepo (hapa) haina thamani. 165 00:24:44,01 --> 00:24:47,23 mtu ambaye kazi yake itakuwa hii: 166 00:24:48,01 --> 00:24:57,06 lile ambalo linawezekana soma Qur`ani na uitoe zawadi kwa Imam Zamani(a.s), 167 00:24:57,10 --> 00:25:05,15 kile ambacho unampa ni hiki kwamba utakuwa pamoja naye katika dunia na akhera. 168 00:25:07,21 --> 00:25:18,17 ina maana gani kuwa pamoja naye? Ule upamoja na Imam Zamani …… 169 00:25:18,21 --> 00:25:21,08 huyu ndiye Imam Zamani(a.s): 170 00:25:21,11 --> 00:25:30,23 anayetaka kumuona Adam na Sheath wake, basi mimi ni Adam na (mimi ni ) Sheath 171 00:25:31,02 --> 00:25:35,19 wakati atakapodihiri atasema: 172 00:25:35,23 --> 00:25:41,20 kila anayetaka kumuoda Adam na Sheath wake 173 00:25:41,24 --> 00:25:45,19 mimi ni Adam na mimi ni Sheath, 174 00:25:45,23 --> 00:25:49,18 mimi ni Nuhu na mimi ni Sam, 175 00:25:49,22 --> 00:25:56,11 mimi ni Ibrahim na mimi ni Ismael, 176 00:25:56,15 --> 00:26:01,20 mimi ni Mussa na mimi ni Harun, 177 00:26:01,24 --> 00:26:05,20 mimi ni Issa na mimi ni Sham-ghun, 178 00:26:06,00 --> 00:26:08,17 mpaka ifike sehemu hii: 179 00:26:08,21 --> 00:26:18,13 mwenye kutaka kumuangalia Muhammad na Alliy, basi mimi ni Muhammad na (mimi ni ) Alliy. 180 00:26:18,17 --> 00:26:30,20 Imam Zamani ni kiziduo na krimu ya Manabii wote na Mawasii wote. 181 00:26:30,24 --> 00:26:40,15 kumuhudumia yeye, na kufanya kazi kwa ajili yake, 182 00:26:40,16 --> 00:26:47,23 kueneza sifa na utukufu wake, kusambaza fadhila zake, 183 00:26:48,00 --> 00:26:54,18 kuhuisha jambo lake, jambo lenyewe katika kipindi cha kughibu kwake, 184 00:26:54,22 --> 00:27:02,21 hii ndio johari ambayo siku ya Kiyama utakula khasara kwamba 185 00:27:02,24 --> 00:27:11,02 tuliweza zaidi ya hatua moja nyengine kwa ajili yake lakini hatukuchuwa, 186 00:27:11,06 --> 00:27:23,20 kwa vyovyote vile! Tunatarajia ya kuwa jina lako limeandikwa katika daftari hilo, 187 00:27:23,23 --> 00:27:26,21 lakini si kunadikwa tu bure bure 188 00:27:26,24 --> 00:27:38,01 ni kwa sababu ya athari ya tonge ya halali ya baba yenu, au mazima ya mama yenu, 189 00:27:38,08 --> 00:27:46,11 au mulikuwa na amali mzuri Mwenyezi Mungu akakuchaguweni 190 00:27:46,20 --> 00:27:57,23 lakini si kila mtu anaweza kuandikwa jina lake katika daftari la Swadiqatul Kubraa. 191 00:27:58,01 --> 00:28:13,14 na kwa ule usiku ambao Amiril Muuminiina aliyatamani (hata) mauti, uhuisheni usiku huo. 192 00:28:13,18 --> 00:28:24,09 hiki ni cheo kisichoweza kusifika. Ni (cheo) kilichobarikiwa na Mwenyezi Mungu. 193 00:28:24,15 --> 00:28:31,17 jitahidini majina yenu yasije yakafutwa na fanyeni kazi. 194 00:28:31,19 --> 00:28:35,15 na wapeni shauku watu wengine pia 195 00:28:35,18 --> 00:28:42,01 kwa sababu kazi hii ni ngumu sana, na kundi (mubalighiina) ni dogo 196 00:28:42,04 --> 00:28:57,14 kila watu wakivutika, wakafahamu ukubwa wa jambo hili, basi (kazi) hii huwa na mvuto, 197 00:28:57,17 --> 00:29:06,11 na jitahidini kuifanya minasaba hii kwa upeo wa juu, 198 00:29:06,15 --> 00:29:20,13 wakati huo athari yake itakuwa sehemu mbili, sehemu ambazo hazina haja ya kuzitaja: 199 00:29:20,14 --> 00:29:24,19 moja ni ule wakati wa kutoka roho ambapo 200 00:29:24,21 --> 00:29:34,07 Imewakusanyikia juu yao adhabu ya mauti na khasara ya kupoteza; 201 00:29:34,10 --> 00:29:40,08 muda huo bila ya shaka: 202 00:29:40,10 --> 00:29:45,10 Ewe joto la Hamadani nani anayekufa akaniona 203 00:29:45,15 --> 00:29:55,16 kila mtu atakayekufa ataniona mimi. Haina umakhsusi. 204 00:29:55,19 --> 00:30:01,16 wakati huo, Amiril Muuminiina atakuja upavuni kwako, 205 00:30:01,17 --> 00:30:05,02 kisha ataangalia na kuona: 206 00:30:05,06 --> 00:30:14,18 wewe ni yule ambaye mke wako alivunjwa mbavu, wewe unatolewa roho namna hii, 207 00:30:14,23 --> 00:30:20,17 tena Israil (Malaika wa Mauti) hatokaa. 208 00:30:20,20 --> 00:30:32,07 nyengine, ni siku ya Kiyama kikubwa ambapo Manabii wote watasema: Na nafsi zetu: 209 00:30:32,10 --> 00:30:42,13 mara atakuja Fatimah Zahraa, na kanzu yake inayomwagika damu aliyojifunga nayo kichwani, 210 00:30:42,15 --> 00:30:48,00 kisha atasema: Ewe Mola wangu na Mashia wangu. 211 00:30:48,04 --> 00:30:51,23 Jibril atashuka, na kusema: 212 00:30:52,02 --> 00:31:00,03 Ewe mjakazi wa Mwenyezi Mungu! Mwenyezi Mungu anakufikishia salamu, anasema: 213 00:31:00,06 --> 00:31:07,20 chochota utakachotaka basi sema, leo kila utakacho utapewa. 214 00:31:07,23 --> 00:31:16,10 riwaya ni hii: kama vile kuku anavyokusanya mbegu (chakula) 215 00:31:16,14 --> 00:31:23,02 basi na yeye atawakusanya Mashia na wahudumu wake kama hivyo. 216 00:31:23,07 --> 00:31:27,24 huu ndio ujira wa kazi yenu. 217 00:31:28,04 --> 00:31:39,06 kwa ufupi! Mufahamu kadri ya neeema, katika njia hii musichoke, na mufanye jitihada za kila aina …. 218 00:31:39,10 --> 00:31:49,14 Haiwafikii kiu wala taabu wala njaa katika njia ya Mwenyezi Mungu. 219 00:31:49,18 --> 00:31:55,18 njia ya Mwenyezi Mungu ni ipi? Katika Ziyarat Jaamiat : 220 00:31:55,22 --> 00:32:02,13 Nyinyi ni njia iliyo adhimu na ni siratwi 221 00:32:02,16 --> 00:32:05,24 hii ndio kazi yenu. 222 00:32:06,03 --> 00:32:11,13 Isipokuwa huandikiwa matendo mema 223 00:32:11,15 --> 00:32:15,07 huu ndio ujira wa kazi yenu. 224 00:32:15,12 --> 00:32:55,21 Ewe Mwenyezi Mungu mfanye kiongozi wako Mahdy Rehema zako ziwe juu yake na kwa baba yake katika zama hizi na katika kila zama kuwa ni walii na mlinzi kuwa kiongozi na mwenye kunusuru kuwa ni hoja na muokozi mpaka hapo atakapodhihiri na umjaalie awepo