0 00:00:02,11 --> 00:00:08,20 Maelezo ya Ayatullah Al_Udhma Wahdi Khorasani 1 00:00:09,20 --> 00:00:15,13 Safari ya Umra. Makka Tukufu. Mwezi wa Ramadhani 1427 Hijria Qamari 2 00:00:16,05 --> 00:00:20,18 Kwa jina la Mwenyezi Mungu, Mwingi wa Rehema, Mwenye Kurehemu 3 00:00:21,07 --> 00:00:35,22 anuwani yenyewe inahusiana na hawa vijana ambao 4 00:00:36,10 --> 00:00:46,19 ni viongozi wa misafara ya Hija ya nyumba ya Mwenyezi Mungu 5 00:00:47,04 --> 00:00:58,21 inatosha kuelewa umuhimu wa jambo (hili) 6 00:01:00,13 --> 00:01:13,16 Qur`an imekusanya ibara na ishara 7 00:01:14,00 --> 00:01:18,23 latwaif na haqaiq 8 00:01:21,05 --> 00:01:29,12 kitabu ambacho kimeshuka kwa ajili na nafsi zote 9 00:01:29,15 --> 00:01:38,15 ((Na tumekuteremshia kitabu kielezacho kila kitu)) 10 00:01:38,23 --> 00:01:47,09 Bila ya shaka ni kitabu ambacho ni muongozo kwa watu 11 00:01:47,15 --> 00:01:52,21 na hakuna ufahamu ambao uko nje ya watu 12 00:01:54,02 --> 00:02:00,19 watu wa aina zote na wa rika zote 13 00:02:00,24 --> 00:02:06,17 wameingizwa wote kwa maana ya watu. 14 00:02:06,22 --> 00:02:22,07 bila ya shaka kitabu ambacho kimeteremshwa kwa ajili ya watu ni lazima kiwe na mpangilio huu: 15 00:02:22,12 --> 00:02:29,03 ibara kwa ajili ya watu wote 16 00:02:29,08 --> 00:02:34,01 ishara kwa wanazuoni 17 00:02:34,06 --> 00:02:40,14 latwaif kwa Mawalii 18 00:02:40,17 --> 00:02:45,02 haqaiq kwa Manabii 19 00:02:45,04 --> 00:02:52,23 hadithi yenyewe ina sherehe yake kwa upana 20 00:02:53,02 --> 00:03:04,00 lengo ni kwamba maulamaa (ndio) wanaopaswa wazingatie ishara za Qur`ani 21 00:03:04,01 --> 00:03:16,21 maudhui ya Hija katika kitabu cha Mwenyezi Mungu yameekewa anuani hii ambayo 22 00:03:17,00 --> 00:03:25,10 ukifahamu undani wa maelezo yake inashangaza 23 00:03:25,13 --> 00:03:30,08 kwa mfano kuhusiana na funga: 24 00:03:30,11 --> 00:03:39,08 ((Mmelazimishwa kufunga saumu, kama walivyolazimishwa wa kabla yenu)) 25 00:03:39,10 --> 00:03:49,09 lakini kuhusiana na Hija kuna taabiri hii 26 00:03:49,12 --> 00:03:57,20 ((Na ni haki ya Mwenyezi Mungu juu wa watu kuhiji nyumba(hiyo) 27 00:03:57,23 --> 00:04:02,19 kwa mwenye kuiweza njia ya kwendea)) 28 00:04:02,22 --> 00:04:15,10 kisha akaja kwenye kadhia: ((na atakae kufuru)) 29 00:04:15,20 --> 00:04:22,17 imefanywa kuwa ni sababu wa dalili hii: 30 00:04:22,20 --> 00:04:28,16 ((Hakika Mwenyezi Mungu si muhitaji kwa walimwengu)). 31 00:04:28,20 --> 00:04:37,16 utabiri huu haupo popote katika yaliyofaradhishwa 32 00:04:37,23 --> 00:04:46,02 hii ni aya inayoweka wazi kuhusiana na asili ya Hija. 33 00:04:46,07 --> 00:04:53,00 aya inayohusiana na ukamilifu wa Hija. 34 00:04:53,08 --> 00:04:56,18 asili ya jambo (hili) ni amri 35 00:04:56,20 --> 00:05:00,13 ukamilifu wake ni amri nyengine 36 00:05:00,14 --> 00:05:04,22 na huu ndio undani wa Qur`ani 37 00:05:04,24 --> 00:05:12,12 kutokana na asili ya hali ya Hija, taabiri ni kwamba: 38 00:05:12,15 --> 00:05:17,19 ((Na ni haki ya Mwenyezi Mungu juu wa watu kuhiji nyumba(hiyo) 39 00:05:17,21 --> 00:05:22,11 kwa mwenye kuiweza njia ya kwendea)) 40 00:05:22,13 --> 00:05:32,12 kisha inaeleza kuwa kutokwenda Hija(kwa mwenye uwezo) ni kufru 41 00:05:32,14 --> 00:05:41,11 kisha inakuja sababu ya kuwa ((Hakika Mwenyezi Mungu si muhitaji kwa walimwengu)). 42 00:05:42,01 --> 00:05:48,19 kuhusiana na ukamilifu wa amali, pia (kuna) aya nyengine 43 00:05:49,01 --> 00:05:56,13 ((Na itimizeni Hija na Umra kwa ajili ya Mwenyezi Mungu)) 44 00:05:56,21 --> 00:06:03,15 mpangilo wa maneno ni wa hali ya juu 45 00:06:03,17 --> 00:06:16,21 kuhusiana na asili ya mfumo wa Haji imeanza na neno Allah, "Wa Allah" 46 00:06:16,22 --> 00:06:24,03 katika khitimisho pia imeishia kwa Allah 47 00:06:24,12 --> 00:06:31,00 lazima izingatiwe. (Wa) mwanzo, Allah 48 00:06:31,03 --> 00:06:33,14 (wa )Mwisho, Allah 49 00:06:33,15 --> 00:06:43,20 ((Na ni haki ya Mwenyezi Mungu juu wa watu kuhiji nyumba(hiyo) kwa mwenye kuiweza njia ya kwendea)) 50 00:06:43,21 --> 00:06:47,09 hii kwake ni amri 51 00:06:47,11 --> 00:06:54,23 khitimisho pia ni amri ((Na khitimisheni Hija na Umra kwa ajili ya Mwenyezi Mungu)) 52 00:06:55,01 --> 00:07:05,10 hali hii imeanza kwa Allah, na inaishia kwa Allah 53 00:07:05,11 --> 00:07:10,13 zote mbili kwa anuani ya ((Allah)) 54 00:07:10,15 --> 00:07:19,09 lakini Lamu ya kwanza ni Lamu ya dhamana, 55 00:07:19,11 --> 00:07:32,11 Lamu ya pili ni Lamu ya muombaji kuhusiana na amali. 56 00:07:32,14 --> 00:07:38,07 na katika Lamu hizi mbili kuna hali isiyo ya kwawaida. 57 00:07:38,08 --> 00:07:48,24 ((Na ni haki ya Mwenyezi Mungu juu wa watu kuhiji nyumba(hiyo)kwa mfano wa dhamana 58 00:07:49,01 --> 00:08:06,07 hupatikana dhamana na kubeba jukumu na kulipa dhima kwa mwenye deni 59 00:08:06,17 --> 00:08:18,08 kwa mtazamo wa ndani wa kielimu faradhi zote za Mwenyezi Mungu ni deni 60 00:08:18,12 --> 00:08:25,06 lakini utekelezaji wa faradhi, ni akili 61 00:08:25,09 --> 00:08:35,23 hasa katika Hija, utekelezaji wa kunakili umeshabainishwa, 62 00:08:36,00 --> 00:08:45,08 wewe kwangu unawajibu kadha, na mimi kwako ninawajibu kadha. 63 00:08:45,11 --> 00:08:52,22 ina maana kwamba wajibu wako kwa Mwenyezi Mungu. 64 00:08:52,24 --> 00:09:01,14 hii ina maana ya utambuzi wa kuwa na deni 65 00:09:01,17 --> 00:09:11,08 hiyo pia ni amri ya kiakili ambayo imefikiriwa kwa maelezo ya kunakili 66 00:09:11,11 --> 00:09:15,24 ili iweze kueleweka 67 00:09:16,02 --> 00:09:27,04 jambo hili, ni jambo la utekelezaji na watu walivyosahau majukumu 68 00:09:27,05 --> 00:09:35,03 kwa hukmu ya mwenye kuweza. 69 00:09:35,13 --> 00:09:42,23 kisha maelezo yaliyotolewa ni haya 70 00:09:43,00 --> 00:09:51,11 kuacha Hija inapelekea kufru. 71 00:09:51,16 --> 00:10:06,10 inavyonasibiana maana ya kufri katika vitabu na riwaya ni kama inavyonasibiana na sala 72 00:10:06,13 --> 00:10:13,09 kuacha sala kunapelekea kufru 73 00:10:13,12 --> 00:10:27,07 lakini muhimu ni kwamba katika Qur`ani yenyewe imekuja kwamba Hija inapelekea kufru 74 00:10:27,09 --> 00:10:41,17 Masheikh wanne: Mufid, Kulayni, Sheikh Taifeh na Sheikh Swaduq 75 00:10:41,20 --> 00:10:51,08 kila mmoja katika vigogo hawa wanne wameihifadhi riwaya hii 76 00:10:51,12 --> 00:11:04,00 na ukiachia mbali kunakiliwa na Masheikh wanne riwaya ina sanadi inayokubalika 77 00:11:04,01 --> 00:11:14,10 Faqih kwa kufata sanadi hii anatoa fatwa katika mas-ala ya ihtiyat 78 00:11:14,13 --> 00:11:20,20 wakati huo riwaya inasema hivi kuwa 79 00:11:20,23 --> 00:11:25,09 mtu atakayekuwa na uwezo na asende (Hija) 80 00:11:25,12 --> 00:11:31,11 anakhiari ya kuchagua aina ya kifo 81 00:11:31,14 --> 00:11:40,10 anapenda kufa akiwa ni myahudi au mnaswara. 82 00:11:40,17 --> 00:11:45,24 huu ndio ukubwa wa amri inayonasibiana na Hija 83 00:11:46,03 --> 00:12:00,09 moja kwa moja kutokana na maelezo ya ndani ya kitabu na sunna itafahamika kuwa 84 00:12:00,10 --> 00:12:09,24 jukumu la watu wenye dhima ya jambo hili ni muhimu kiasi gani. 85 00:12:10,06 --> 00:12:21,11 kwanza sisi hatuwezi kuelewa: hapa ni sehemu gani! 86 00:12:21,14 --> 00:12:27,21 jengo hili ni jengo gani! 87 00:12:28,00 --> 00:12:42,00 haya mawe yaliyopandanishwa moja baada ya jengine, si hali ya kawaida 88 00:12:42,03 --> 00:12:55,18 ((Na (kumbukeni) Ibrahim na Ismail walipoiinua misingi ya nyumba 89 00:12:55,24 --> 00:13:08,16 Ewe Mola wetu! Utukubalie, hakika wewe ndiye mwenye kusikia, mwenye kujua)) 90 00:13:08,20 --> 00:13:16,02 kwanza aliwachagua watu wawili: 91 00:13:16,04 --> 00:13:22,05 mmoja kipenzi cha Mwenyezi Mungu(Khalil Allah) 92 00:13:22,08 --> 00:13:26,21 na mwengine ni Zabih Allah 93 00:13:26,22 --> 00:13:40,06 baada ya kujaribiwa: ((Na Ibrahim alipojaribiwa na Mola wake kwa matamko, na akayatimiza)) 94 00:13:40,14 --> 00:13:46,19 mtu kama huyo na mkono wake huo, 95 00:13:46,23 --> 00:13:56,20 yeye ndie mjenzi wa jengo hili. 96 00:13:56,22 --> 00:14:02,20 yule Zabih ambaye wakati ule alisema: 97 00:14:02,23 --> 00:14:09,01 ((Hakika nimeona katika ndoto kuwa ninakuchinja)) 98 00:14:09,05 --> 00:14:13,03 maneno haya yanashangaza. 99 00:14:13,05 --> 00:14:17,23 picha yake ni rahisi 100 00:14:18,00 --> 00:14:25,08 uhakika wake ni mgumu kupita kiasi 101 00:14:25,09 --> 00:14:29,14 ((Ewe baba yangu fanya unavyoamrishwa 102 00:14:29,17 --> 00:14:35,16 utanikuta Insha Allah miongoni mwa wanao subiri )) 103 00:14:35,23 --> 00:14:42,19 kisha (hali) zote mbili ziletwe katika usadikishaji 104 00:14:42,22 --> 00:14:48,14 aliamrishwa kwamba asimamishe jengo hili 105 00:14:48,17 --> 00:14:56,14 nyumba hii ambayo haifahamiki wala haisifiki 106 00:14:56,17 --> 00:15:08,19 cha muhimu ni kwamba watu hao wawili, kwa unyenyekevu wanasema 107 00:15:08,20 --> 00:15:18,08 ((Ewe Mola wetu! Utukubalie, hakika wewe ndiye mwenye kusikia, mwenye kujua)) 108 00:15:18,12 --> 00:15:27,09 bila ya shaka siri ya nyumba hii baadae itafahamika. 109 00:15:30,13 --> 00:15:37,05 nyinyi ni watu wasomi, ishara ndogo tu itatosha. 110 00:15:37,15 --> 00:15:43,09 kisha fikirieni na muwaze itatosha. 111 00:15:43,15 --> 00:15:57,03 natija ya kuumbwa na matunda ya ulimwengu wote, ni elimu na ibada. 112 00:16:02,07 --> 00:16:06,08 kuubwa ni utangulizi. 113 00:16:09,12 --> 00:16:13,11 ulimwengu wote, ni ganda 114 00:16:13,15 --> 00:16:18,15 na kiini ni akili pekee, na 115 00:16:18,19 --> 00:16:23,07 mbebaji wa akili ni binadamu 116 00:16:23,08 --> 00:16:28,01 thamani ya binadamu ni akili. 117 00:16:28,05 --> 00:16:37,20 nyumba hii ilijengwa. Na Adam akawa ni mwenye nyumba hii 118 00:16:37,22 --> 00:16:45,00 ((Na amekuitishieni vilivyomo mbinguni, na vilivyomo ardhini)) 119 00:16:45,03 --> 00:16:53,17 taa ya akili katika ubongo wa mwenye nyumba hii uliwaka 120 00:16:53,20 --> 00:17:03,09 taa hii ni lazima iwake kwa elimu kwa upande wa nuru, 121 00:17:03,11 --> 00:17:10,13 (iwake) kama moto kwa upande wa Imani na Ibada. 122 00:17:10,16 --> 00:17:14,17 hili linakuwa ndio lengo la kuubwa. 123 00:17:14,19 --> 00:17:21,15 natija inayopatikana lini? Kwa kupewa utume. 124 00:17:24,18 --> 00:17:32,08 kupewa utume ni lazima uanzie mwanzo 125 00:17:32,11 --> 00:17:39,14 unafika katika ukamilifu na mwisho kwa cheo cha Mtume wa mwisho, 126 00:17:39,16 --> 00:17:48,00 Khatam, inakuwa ndio natija ya kuubwa, kiumbe bora 127 00:17:48,04 --> 00:17:54,17 na yeye anapewa utume ili 128 00:17:54,18 --> 00:18:01,12 kuwafikisha watu kwenye lile lengo kuu ambalo 129 00:18:01,13 --> 00:18:07,05 limeelezwa kuwa ni elimu, na ibada 130 00:18:07,08 --> 00:18:11,22 sasa muhimu ni kwamba 131 00:18:12,00 --> 00:18:21,20 hiyo mbegu matunda yake ni kuumbwa na natija ya utume 132 00:18:21,23 --> 00:18:28,14 mbegu hiyo ilioteshwa karibu na nyumba hii 133 00:18:28,15 --> 00:18:33,07 ukubwa wa nyumba hii upo katika hili. 134 00:18:33,09 --> 00:18:37,24 ni lazima ifahamike Kaaba ni nini? 135 00:18:38,02 --> 00:18:46,14 na hapa ni sehemu gani? Na ni nini jukumu letu kuhusiana na nyumba hii 136 00:18:46,16 --> 00:18:54,16 ((Ewe Mola wetu! Utufanye tuwe wenye kunyenyekea kwako, 137 00:18:54,18 --> 00:19:02,01 na katika kizazi chetu (uwafanye) kuwa umma wenye kunyenyekea kwako 138 00:19:02,04 --> 00:19:05,20 na utuonyeshe ibada zetu)) 139 00:19:05,22 --> 00:19:11,13 maelezo haya yanashangaza. 140 00:19:11,14 --> 00:19:19,23 baadae sheria ikapelekwa juu pamoja na ikh-lasi 141 00:19:19,24 --> 00:19:24,19 mwenyewe pamoja na Ismail, 142 00:19:24,20 --> 00:19:28,01 na hakusaidiwa katika kazi 143 00:19:28,03 --> 00:19:32,08 kwa sababu mikono ya wengine haikustahiki 144 00:19:32,10 --> 00:19:37,07 mkono wa Khalil tu na mkono wa Zabih 145 00:19:37,09 --> 00:19:41,22 kisha akaomba dua mbili 146 00:19:42,04 --> 00:19:47,10 ((Ewe Mola wetu! Utufanye tuwe wenye kunyenyekea kwako, 147 00:19:47,11 --> 00:19:54,22 na katika kizazi chetu (uwafanye) kuwa umma wenye kunyenyekea kwako 148 00:19:55,00 --> 00:19:58,06 na utuonyeshe ibada zetu)) 149 00:19:58,09 --> 00:20:05,24 zingatieni kwa makini ibada ya Hija musiichukulie kirahisi 150 00:20:06,13 --> 00:20:13,01 Ibrahim katika eneo kama hilo alisema 151 00:20:13,03 --> 00:20:17,10 kisha Ewe Mola! utuonyeshe ibada zetu 152 00:20:17,11 --> 00:20:25,15 jukumu letu kuhusiana na nyumba hii, toa rai yako mwenyewe 153 00:20:25,17 --> 00:20:34,16 baada ya mbegu ya tunda la ulimwengu kusiwa sehemu hii: 154 00:20:34,17 --> 00:20:43,14 Ewe Mola wetu! Wapelekee Mtume katika wao 155 00:20:43,17 --> 00:20:48,08 awasomee aya zako 156 00:20:48,09 --> 00:20:53,22 na kuwafunza kitabu na hekima 157 00:20:53,23 --> 00:21:01,08 na kuwatakasa, hakika wewe ndiye Mwenye nguvu, Mwenye hekima)). 158 00:21:01,09 --> 00:21:06,21 dua hii inayotoka kwa muombaji kama huyo 159 00:21:06,23 --> 00:21:11,15 inayotoka kwenye mikono kama hiyo iliyochoka 160 00:21:11,16 --> 00:21:15,15 kutoka kwa nafsi yenye ikh-las, 161 00:21:15,21 --> 00:21:25,06 wakati jengo hili lilipomaliza kusimamishwa 162 00:21:25,07 --> 00:21:31,21 mbegu ya ukamilifu wa ulimwengu ikasiwa hapa. 163 00:21:31,22 --> 00:21:35,23 kisa hiki kimekuja katika surat baqarat … 164 00:21:36,04 --> 00:21:45,08 zingatieni kwa makini. Kile nilichokisema angalia ishara za Qur`ani 165 00:21:45,10 --> 00:21:53,10 kisa hiki katika surat baqarat. Dua imeisha 166 00:21:53,12 --> 00:21:59,06 kisha nenda mwisho wa Qur`ani, surat Jumaa 167 00:21:59,10 --> 00:22:03,09 Kwa jina la Mwenyezi Mungu, Mwingi wa Rehema, Mwenye Kurehemu 168 00:22:03,11 --> 00:22:09,19 Vinamtukuza Mwenyezi Mungu vilivyomo mbinguni na ardhini 169 00:22:09,24 --> 00:22:15,11 mfalme,mtakatifu,mwenye nguvu, mwenye hekima)) 170 00:22:15,15 --> 00:22:20,05 jambo hili ni muhimu sana 171 00:22:20,09 --> 00:22:25,08 Kwanza: linapoanza: 172 00:22:25,09 --> 00:22:33,23 Vinamtukuza Mwenyezi Mungu vilivyomo mbinguni na ardhini 173 00:22:34,02 --> 00:22:41,06 katika aya, yameletwa majina matano: 174 00:22:41,10 --> 00:22:52,16 mfalme,mtakatifu,mwenye nguvu, mwenye hekima)) 175 00:22:52,20 --> 00:22:58,15 katika Qur`ani sehemu mbili kimeletwa kisa hiki: 176 00:22:58,21 --> 00:23:01,02 sehemu moja akasema: 177 00:23:01,03 --> 00:23:08,06 ((Yeye ndiye aliyeleta Mtume katika watu wasiojua kusoma, anayetokana na wao 178 00:23:08,10 --> 00:23:11,18 anawasomea aya zake 179 00:23:11,21 --> 00:23:13,17 na kuwatakasa 180 00:23:14,15 --> 00:23:18,17 na kuwafunza kitabu na hekima 181 00:23:18,19 --> 00:23:23,06 sehemu nyengine akasema tena: 182 00:23:23,09 --> 00:23:27,11 ((Bila shaka Mwenyezi Mungu amewaneemesha waumini 183 00:23:27,13 --> 00:23:32,19 aliowapelekea Mtume miongoni mwao 184 00:23:32,21 --> 00:23:38,20 akiwasomea aya zake na akiwatakasa 185 00:23:38,23 --> 00:23:43,14 na akiwafunza kitabu na hekima)) 186 00:23:43,17 --> 00:23:49,08 cha muhimu ni kuwa: dua kutoka kwa Ibrahim ilikuwa hii. 187 00:23:49,09 --> 00:23:55,08 kujibiwa kwa dua kulibainishwa ndani ya aya hizi mbili. 188 00:23:55,12 --> 00:24:03,13 katika surat Jumaa na yale majina matano pamoja na ((Huwa Llazi)). 189 00:24:03,15 --> 00:24:08,01 sehemu nyengine pia ((Laqad Manna Allah)). 190 00:24:08,04 --> 00:24:10,10 Natija ni hii: 191 00:24:10,13 --> 00:24:14,02 nyumba ni nyumba ambayo kwamba 192 00:24:14,03 --> 00:24:22,10 ukamilifu wa kwanza wa walimwengu uliasisiwa hapa 193 00:24:22,13 --> 00:24:25,22 jambo jengine ni hili. 194 00:24:25,24 --> 00:24:32,05 muhimu ni kwamba. Natija inakuwa hivi: 195 00:24:32,07 --> 00:24:41,20 Utume wa Mtume wa mwisho mbegu yake ilisiwa hapa 196 00:24:41,22 --> 00:24:48,19 na matunda yake yakaonekana sehemu hii. 197 00:24:51,24 --> 00:24:58,18 na sehemu hii ndio lile jua, alilosema 198 00:24:58,20 --> 00:25:03,03 Naapa kwa jua na mwanga wake, (hapa ndio) lilichomoza 199 00:25:03,04 --> 00:25:10,16 ((Ewe Nabii! Hakika sisi tumekutuma (ili uwe) shahidi 200 00:25:10,18 --> 00:25:13,17 na mtoaji wa khabari nzuri na muonyaji 201 00:25:13,20 --> 00:25:17,18 na muitaji (wa watu) kwa Mwenyezi Mungu kwa idhini yake 202 00:25:17,20 --> 00:25:20,06 na uwe taa itowayo nuru)) 203 00:25:21,03 --> 00:25:27,16 Natija ikawa hii: Kaaba yaani 204 00:25:27,18 --> 00:25:41,00 ni kituo ambacho lengo la kuubwa na natija ya utume umelindwa kwa baraka ya nyumba hii. 205 00:25:41,02 --> 00:25:50,00 kile ambacho kinashangaza akili ni kwamba 206 00:25:50,08 --> 00:25:59,15 dua kutoka kwa Ibrahim, majibu kutoka kwa Mwenyezi Mungu. Ikaishia(hapo) 207 00:25:59,17 --> 00:26:05,19 lakini lengo la mwisho ni lipi? 208 00:26:06,18 --> 00:26:15,08 lengo la mwisho ni kwamba Utume huu yaani 209 00:26:15,12 --> 00:26:18,09 hizi aya zinazosomwa, 210 00:26:18,11 --> 00:26:20,10 tazkiyah hizi, 211 00:26:20,11 --> 00:26:25,01 haya mafunzo ya Kitabu na hekima, 212 00:26:25,04 --> 00:26:30,06 yanafika ulimwengu mzima 213 00:26:31,06 --> 00:26:37,09 yanaleta athari, kwa hali zote 214 00:26:37,14 --> 00:26:42,14 na hicho ni nini? Katika wakati gani? 215 00:26:42,16 --> 00:26:44,12 ule wakati ambao kwamba 216 00:26:44,14 --> 00:26:54,11 ((Yeye ndiye aliyemtuma Mtume wake kwa muongozo na kwa dini ya haki 217 00:26:54,14 --> 00:26:58,09 ili ishinde dini zote)) 218 00:26:58,10 --> 00:27:06,01 ni lazima ianzie katika nyumba hii. 219 00:27:06,02 --> 00:27:14,15 utukufu wa Kaaba utakapojuilikana 220 00:27:14,18 --> 00:27:24,10 itafahamika mbegu ya Utume wa mwisho, ilisiwa karibu na mawe haya 221 00:27:25,09 --> 00:27:31,19 ukamilifu wa Utume huu pia kwa kudhihiri Waliul Asr 222 00:27:31,20 --> 00:27:35,04 ni lazima uwe karibu na nyumba hii 223 00:27:35,07 --> 00:27:40,21 sehemu nyengine jambo hili halistahili kutokea 224 00:27:40,22 --> 00:27:45,07 mwenyewe jenga picha maneno haya mawili yanatosha. 225 00:27:45,09 --> 00:27:57,09 kile ambacho Sunni na Shia wameafikiana na wamekinakili 226 00:27:57,14 --> 00:28:05,15 na cha kushangaza ni kwamba riwaya hii inakubalika 227 00:28:05,18 --> 00:28:11,06 wote wamenakili [na] pia baadhi wamenakili. 228 00:28:11,09 --> 00:28:17,00 {Waliul Asr] atatoka katika Kaaba [katika hali ambayo] 229 00:28:17,03 --> 00:28:23,02 Jibrili akiwa kuliani kwake, 230 00:28:23,07 --> 00:28:27,06 Mikaili akiwa kuchotoni kwake, 231 00:28:27,10 --> 00:28:31,16 juu ya kichwa chake (kutakuwa na) mawingu. 232 00:28:31,19 --> 00:28:36,21 Atanadi mwenye kunadi kutoka kwenye mawingu hayo: 233 00:28:36,24 --> 00:28:44,03 Huyu Mahdi ni khalifa wa Mwenyezi Mungu, basi mfateni. 234 00:28:49,02 --> 00:28:54,05 Jibrili kuwa kulia ina maana gani? 235 00:28:54,06 --> 00:28:58,07 Mikaili kuwa kuchoto ina maana gani? 236 00:28:58,10 --> 00:29:05,05 Msingi wa elimu, Jibrili Amini 237 00:29:05,09 --> 00:29:10,06 Msingi wa riziki, Mikaili 238 00:29:10,07 --> 00:29:17,06 Mihimili ya binadamu ni mambo mawili: 239 00:29:17,09 --> 00:29:22,17 kwa upande wa kimwili, ni ziriki 240 00:29:22,19 --> 00:29:29,17 kwa upande wa kiroho, elimu na ukamilifu wa binadamu. 241 00:29:29,20 --> 00:29:35,07 Jibrili kuliani kwake yaani 242 00:29:35,10 --> 00:29:42,02 mwenye misingi ya elimu yuko kuliani kwake. 243 00:29:42,06 --> 00:29:47,00 Mikaili kuchotoni kwake yaani 244 00:29:47,02 --> 00:29:50,08 riziki za ulimwengu ziko mikononi mwake. 245 00:29:50,11 --> 00:29:56,08 atadhihiri katika nyumba hii akiwa katika hali hii. 246 00:29:57,09 --> 00:30:01,20 natija ya jambo hili itakuwa nini? 247 00:30:01,22 --> 00:30:13,24 natija ni hii kwamba jukumu lenu nyote litafahamika kwa maneno mawili. 248 00:30:14,03 --> 00:30:17,14 na maneno hayo mawili ni haya 249 00:30:17,15 --> 00:30:24,21 kila ruhani ambaye anahusika katika msafara huu, 250 00:30:25,00 --> 00:30:29,11 jukumu lake ni hili, kwanza: 251 00:30:29,13 --> 00:30:36,16 awafahamishe mahujaji utukufu wa nyumba hii 252 00:30:36,18 --> 00:30:43,06 sisi katika Majlisi moja- si katika Majlisi moja - 253 00:30:43,11 --> 00:30:50,15 hatuwezi kusema hapa ni wapi hata katika Majlisi zaidi ya mia 254 00:30:50,23 --> 00:30:57,13 kila aya utakayoiyona, kila sentensi 255 00:30:57,15 --> 00:31:04,05 ((Hakika nyumba ya kwanza waliyowekewa watu(kwa ajili ya ibada) )) inashangaza 256 00:31:05,04 --> 00:31:13,00 ((na waizunguke nyumba ya kale)) mshangao mwengine 257 00:31:13,04 --> 00:31:19,06 ((na utangaze kwa watu habari za Hija )) kile kisa ambacho 258 00:31:20,04 --> 00:31:27,02 kila moja kati ya aya hizi, zina mada ya kushangaza. 259 00:31:27,06 --> 00:31:35,19 ni lazima muwaelimishe watu juu ya utukufu wa Hija hii 260 00:31:36,00 --> 00:31:38,16 Haji, ni kusudio 261 00:31:39,05 --> 00:31:44,04 kusudio, ni mafuhumu inayotaka sehemu ya kurejea 262 00:31:44,15 --> 00:31:48,16 inahitaji mkusudiwaji, inahitaji kinachokusudiwa 263 00:31:48,19 --> 00:31:52,04 mkusudiwaji huyu na yule[ikiashiria watu waliopo] 264 00:31:52,08 --> 00:31:56,09 kinachokusudiwa ni nini? Ni nyumba hii 265 00:31:56,12 --> 00:32:01,07 lazima kinachokusudiwa kieleweke 266 00:32:01,09 --> 00:32:07,12 jukumu lenu mtu mmoja mmoja ni hili 267 00:32:07,13 --> 00:32:18,17 waelewesheni utukufu wa kinachokusudiwa ambacho ni Kaaba- Kama Kaaba. 268 00:32:18,20 --> 00:32:34,06 itafuteni natija ya kusudio na natija ya kinachokusudiwa, na muifanyie kazi. 269 00:32:34,07 --> 00:32:38,07 natija ni nini? Natija ni hii 270 00:32:38,08 --> 00:32:43,12 kuanzia [siku] ya kwanza ambapo msafara utaondoka 271 00:32:43,13 --> 00:32:47,12 mpaka wakati unaporudi 272 00:32:47,14 --> 00:32:55,22 jukumu lenu mmoja mmoja ni kuwa watu ambao 273 00:32:55,23 --> 00:33:03,00 wako chini ya uangalizi wenu wafafanulieni maneno mawili 274 00:33:03,01 --> 00:33:10,20 msemo wa maneono mawili tu. Si zaidi ya hayo 275 00:33:10,24 --> 00:33:13,16 maneno hayo mawili ni yepi? 276 00:33:13,18 --> 00:33:17,19 moja ni ((Man Minhul-ujud)) 277 00:33:17,21 --> 00:33:19,21 naye ni Mwenyezi Mungu 278 00:33:19,23 --> 00:33:24,03 jengine ni ((Man Bihil-ujud)) 279 00:33:24,04 --> 00:33:26,24 naye ni Waliul Asr(Imam Zamani) 280 00:33:27,00 --> 00:33:36,21 wakati sisi tutakapoelewa nyumba hii imejegwa kwa ajili gani 281 00:33:36,24 --> 00:33:42,12 na nyumba hii mwanzo na mwisho wake ni nini 282 00:33:42,15 --> 00:33:51,20 ni lazima tufahamu wakati Hujaji akija na kurudi Makka 283 00:33:51,22 --> 00:33:56,02 arudi akiwa amejuwa maneno mawili: 284 00:33:56,05 --> 00:34:02,04 moja ni kwamba kuwepo kwa Mwenyezi Mungu anatoa vilivyopo duniani 285 00:34:02,06 --> 00:34:08,08 na jengine ni kuwa kuwepo Imam Zamani vilivyopo duniani vinabaki 286 00:34:08,09 --> 00:34:16,05 kwa baraka zake kila kilichopo, kipo. 287 00:34:16,07 --> 00:34:22,18 Majlisi zitakazofanya … mujitahidi 288 00:34:22,19 --> 00:34:31,04 kila mutaifanyia kazi ratiba hii katika kila Majlisi 289 00:34:31,06 --> 00:34:37,00 nyinyi wenyewe baadae mutaonja ladha yake 290 00:34:37,02 --> 00:34:40,20 sisi pia tunakumbushia 291 00:34:40,21 --> 00:34:49,06 Alameh ana vitabu viwili, Alameh Fahli. 292 00:34:51,06 --> 00:34:55,16 majina ya vitabu vyake pia yana mantiki 293 00:34:55,19 --> 00:35:03,16 ni kweli kuwa wakubwa wa Shia wanauwezo usiojuilikana 294 00:35:03,20 --> 00:35:09,13 wote kuhusiana na Alameh Hilli wanasema: 295 00:35:09,15 --> 00:35:12,16 alikuwa akiandika akiwa juu ya kipando 296 00:35:12,19 --> 00:35:17,00 na akizizahimu nyota kwa utukufu wake. 297 00:35:17,04 --> 00:35:21,08 kwa ufupi ni Fahl Alfuhul 298 00:35:21,10 --> 00:35:29,04 mwanamme huyu ana kitabu kwa jina la Tabswirat. 299 00:35:29,07 --> 00:35:36,10 alikiandika kwa ajili ya wanaomkalidi yeye. 300 00:35:36,11 --> 00:35:43,15 akaweka jina la Tabswiratul Awaam 301 00:35:43,18 --> 00:35:51,24 na wakubwa wa dini Tabswirat hii wameisherehesha 302 00:35:52,00 --> 00:36:03,01 kuanzia wa kwanza mfano Muhakiki, ameisherehesha Tabswirat 303 00:36:03,02 --> 00:36:08,03 mpaka katika zama za mwishoni, mfano Aqa Dhiaa 304 00:36:08,05 --> 00:36:17,01 kitabu chengine cha Alameh ni Tazkirat. Tazkiratul Fuqahaa 305 00:36:17,03 --> 00:36:22,11 kitabu hiki amekiandika kwa ajili ya Fuqahaa 306 00:36:22,13 --> 00:36:32,00 sasa maneno yetu kwako si tabswira lakini ni tazkirat 307 00:36:32,03 --> 00:36:38,18 ninawakumbusheni na wala siwafundishi 308 00:36:38,21 --> 00:36:41,07 kuna tofauti baina ya mambo haya mawili 309 00:36:41,10 --> 00:36:49,11 kufundisha ni jambo jengine, na kukumbusha ni jambo jengine 310 00:36:49,14 --> 00:36:56,20 yale ambayo munapaswa kuyajua ni haya ambacho ninayasema 311 00:36:56,21 --> 00:37:04,18 haya ni madondoo ya umri mzima, lakini kama mutayafanyia kazi 312 00:37:04,20 --> 00:37:08,05 ili muweze kuifahamu natija yake 313 00:37:08,06 --> 00:37:12,12 kila Majlisi itakayoanzishwa 314 00:37:12,13 --> 00:37:20,09 anza kwa Ziyara ya Salamu Ala Aal Yasiin 315 00:37:20,10 --> 00:37:27,09 Si lazima muisome dua yote, someni ziyara yenyewe 316 00:37:27,11 --> 00:37:32,04 ziyara hiyo ina utukufu mubwa. 317 00:37:32,05 --> 00:37:34,23 kwa sababu Hazrat mwenyewe amesema: 318 00:37:35,01 --> 00:37:43,15 wakati wowote unaotaka kuwa karibu na Mwenyezi Mungu kwa kupitia kwetu 319 00:37:43,17 --> 00:37:51,01 soma hivi: Salamu Ala Aal Yasiin. 320 00:37:51,02 --> 00:38:02,00 mwisho wa Majlisi zenu pia leteni dua kwa Imam Zamani 321 00:38:02,03 --> 00:38:11,14 ili baraka ya nuru yake ibadilike na kuingia kwenye Majlisi hiyo 322 00:38:11,16 --> 00:38:17,03 haiwezekani nyinyi kusimama juu ya jua 323 00:38:17,04 --> 00:38:20,16 kama jua litakuwa halijakuelekea 324 00:38:20,20 --> 00:38:27,17 Ikiwa nyinyi mutamuelekea yeye, na yeye pia atawaelekea nyinyi 325 00:38:27,18 --> 00:38:33,14 nuru yake inaakisi na inahamia 326 00:38:33,17 --> 00:38:47,20 kila Majlisi ya wasafiri itakayokusanyika, igaweni sehemu tatu 327 00:38:47,21 --> 00:38:52,16 sehemu moja mafunzo ya Ahkam. 328 00:38:52,18 --> 00:38:59,11 sehemu nyengine ni Akhlaq, 329 00:38:59,13 --> 00:39:04,03 sehemu nyengine Akaida 330 00:39:04,09 --> 00:39:10,24 Majlisi zenu ni lazima ziwe na mambo haya matatu 331 00:39:11,01 --> 00:39:13,24 kama itakuwa hivyo, basi: 332 00:39:14,00 --> 00:39:17,08 faradhi 333 00:39:17,10 --> 00:39:20,19 sunna 334 00:39:20,23 --> 00:39:32,13 mumekusanya baina ya faradhi, baina ya sunna, baina ya aya Muhkam. 335 00:39:32,17 --> 00:39:39,19 Aya Muhkam huwa inahukumu sheria kwa watu 336 00:39:39,22 --> 00:39:46,20 faradhi za kimatiki huwa zifundisha hukumu za sheria 337 00:39:46,22 --> 00:39:51,24 suna hutakasa tabia na mwenendo 338 00:39:52,02 --> 00:40:03,07 mujitahidi kile munachowasomea watu, kisiwe nje ya moja kati ya hivi. 339 00:40:03,12 --> 00:40:12,14 ama aya ya Qur`ani au riwaya ya Ahl_Bayt waliotakasika 340 00:40:12,17 --> 00:40:20,03 ((lolote lile ambalo halikutoka katika nyumba hii basi ni batili)) 341 00:40:21,02 --> 00:40:22,21 jitahidini … 342 00:40:22,24 --> 00:40:35,14 kutakasa na kulea kunawezekana kwa aya na riwaya tu, si zaidi ha hivi. 343 00:40:37,14 --> 00:40:41,21 huu ndio utaratibu wa Majlisi. 344 00:40:41,24 --> 00:40:50,20 kama itakuwa hivi, basi kwa watu walio chini ya mikono yako 345 00:40:51,00 --> 00:40:58,03 hawa baadae, kwa upande wa itikadi 346 00:40:58,06 --> 00:41:01,10 na pia kwa upande wa amali 347 00:41:01,12 --> 00:41:04,15 na pia kwa upande wa tabia 348 00:41:04,17 --> 00:41:07,04 watafaidika 349 00:41:07,07 --> 00:41:13,22 mzizi, shina, tawi wakati umefika 350 00:41:14,00 --> 00:41:17,13 ni wazi kuwa tunda limezaliwa 351 00:41:17,15 --> 00:41:24,24 ((Je, hukuona jinsi Mwenyezi Mungu alivyopiga mfano wa neno zuri? 352 00:41:25,02 --> 00:41:28,05 kama mti mzuri(ambao) 353 00:41:28,09 --> 00:41:30,01 mzizi wake ni imara 354 00:41:30,03 --> 00:41:33,09 na (kila) tawi lake liko juu )) 355 00:41:33,13 --> 00:41:42,11 kwa hivi mutakuwa mumefanya biashara kwa Hija hii 356 00:41:42,12 --> 00:41:46,11 haiwezi ikasemwa faida yake ni kubwa kiasi gani 357 00:41:46,13 --> 00:41:49,15 inaweza ikasemwa kwa ujumla: 358 00:41:49,17 --> 00:41:57,08 biashara mzuri inayowapeleka kwa Mola wenu)) 359 00:41:57,17 --> 00:42:00,24 ufahamuni ukubwa wa neema hii. 360 00:42:01,09 --> 00:42:09,15 kuwa msomi, kuwa Hujaji si jambo rahisi 361 00:42:09,19 --> 00:42:15,14 mimi siwezi kuelezea katika Majlisi moja au mbili 362 00:42:15,15 --> 00:42:19,03 kazi hii ni muhimu kiasi gani 363 00:42:19,06 --> 00:42:23,12 na kuna athari anayoipata 364 00:42:23,13 --> 00:42:28,20 lakini nyinyi ni watu munaoelewa, ninasema maneno mawili kwenu. 365 00:42:28,22 --> 00:42:32,10 neno moja kutoka kwa Mwenyezi Mungu: 366 00:42:32,12 --> 00:42:38,07 ((Na uwaonye kunako siku nzito pindi watakapo hukumiwa mambo(yao) )) 367 00:42:38,09 --> 00:42:42,15 na neno jengine ni kutoka kwa Amiri Muuminiina: 368 00:42:42,17 --> 00:42:50,19 ((imekusanyika juu yao hasara ya mauti, na mateso ya mauti)) 369 00:42:51,17 --> 00:42:54,02 ni hasara gani hii? 370 00:42:54,04 --> 00:43:02,17 ni hasara ambayo inakuja fursa mkononi mwangu 371 00:43:09,13 --> 00:43:09,13 na ile faida ya fursa ambayo nilikuwa niipate, sikuipata 372 00:43:11,00 --> 00:43:17,03 siku ya Kiama itakuwa wote wamekula hasara 373 00:43:17,10 --> 00:43:26,03 wale ambao wamekataza kielimu na kiamali wamekula hasara 374 00:43:26,06 --> 00:43:32,10 na wale ambao hawakukataza pia wamekula hasara hii 375 00:43:32,13 --> 00:43:38,13 wale ambao hawakukataza wamo hasarani kwanini hatukufanya 376 00:43:39,12 --> 00:43:45,16 wale waliofanya wamo hasarani kwanini tumefanya kidogo 377 00:43:46,00 --> 00:43:52,00 utumieni muda wenu wote 378 00:43:52,06 --> 00:44:01,14 wafundisheni watu njia ambazo, zitawapatia mafunzo mazuri. 379 00:44:01,19 --> 00:44:06,22 ziko njia za kufunza watu. 380 00:44:07,01 --> 00:44:10,03 zina matatizo. 381 00:44:14,07 --> 00:44:18,18 njia ambazo ninazisema 382 00:44:18,21 --> 00:44:24,01 na Mwenyezi Mungu akipenda nyinyi wenyewe muzifanyie kazi 383 00:44:24,03 --> 00:44:27,07 na musiziwache 384 00:44:27,11 --> 00:44:34,12 waelekezeni Mahujaji wote. Anzeni kesho 385 00:44:34,15 --> 00:44:44,14 kila siku juzuu moja ya Qur`ani, kila mwezi khitimisho moja, lakini kwa utaratibu huu: 386 00:44:44,16 --> 00:44:49,17 mwezi wa kwanza-mwezi huu, ni mwezi wa Ramadhani 387 00:44:49,21 --> 00:44:54,07 fanyeni hivi. Ikiwatoka! 388 00:44:54,11 --> 00:45:01,05 mutakuwa ni wenye kula hasara, ambayo haina kikomo 389 00:45:01,08 --> 00:45:05,04 anzeni katika mwezi huu wa Ramadhani 390 00:45:05,07 --> 00:45:10,21 ninawapongeza wale ambao wameshaanza 391 00:45:11,00 --> 00:45:16,08 wale ambao hawajaanza mwezi huu 392 00:45:16,11 --> 00:45:25,12 kila siku juzuu moja ya Qur`ani itoweni zawadi kwa Mtume wa mwisho 393 00:45:25,18 --> 00:45:31,22 mwezi wa pili someni Qur`ani hiyo hiyo 394 00:45:32,00 --> 00:45:36,01 itoweni zawadi kwa Hazrat Amiri Muuminiina 395 00:45:36,05 --> 00:45:39,22 hivyo hivyo mpaka mufike kwa Imam Zamani 396 00:45:40,01 --> 00:45:42,14 anzeni tena 397 00:45:42,16 --> 00:45:46,12 fanyeni hivi wenyewe 398 00:45:46,16 --> 00:45:51,04 na pia waingizieni Mahujaji ambao 399 00:45:51,05 --> 00:45:54,09 mara zote wanakuja kwa kazi hii 400 00:45:54,12 --> 00:45:56,22 wakati huo athari yake itakuwaje? 401 00:45:57,20 --> 00:45:59,15 athari yake ni hii … 402 00:45:59,16 --> 00:46:03,20 riwaya hii ambayo ninainakili 403 00:46:03,24 --> 00:46:12,00 ni riwaya ambayo kwa upande wa sanadi 404 00:46:12,02 --> 00:46:16,01 faqihi kwa kuifata (riwaya hii) anatoa fatwa 405 00:46:16,04 --> 00:46:23,05 tofauti baina ya riwaya inayonakiliwa amabayo ni mur-sali 406 00:46:23,11 --> 00:46:32,11 au riwaya iliyokatika au sanadi yake si yenye kukubalika 407 00:46:32,14 --> 00:46:41,00 na riwaya ambayo sanadi yake ina nguvu 408 00:46:41,08 --> 00:46:48,20 na awe na uwezo usipungua Muhtat 409 00:46:48,24 --> 00:46:57,12 huyo ni kama Sheikh Answari kwa kufata sanadi hii anatoa fatwa. 410 00:46:57,16 --> 00:47:08,21 riwaya ni hii kwamba , alikuja kwa Imam(A.S) akasema: 411 00:47:09,00 --> 00:47:15,00 mimi katika mwezi wa Ramadhani nimekhitimisha Qur`ani nyingi 412 00:47:15,04 --> 00:47:24,12 nimewasomea babu yako, na baba yako, na wewe mwenyewe 413 00:47:25,16 --> 00:47:33,09 mimi nitapata nini kwa hili? Je kuna malipo gani kwangu kwa amali hii? 414 00:47:33,13 --> 00:47:43,20 baada ya kusema mimi nitapata nini? Hazrat akasema: 415 00:47:43,24 --> 00:47:48,17 faida yako ni kwamba utakuwa pamoja nao 416 00:47:48,22 --> 00:48:00,22 hakuamini. Kuna inaweza ikawa ((faida yako ni kwamba utakuwa pamoja nao)) 417 00:48:01,01 --> 00:48:08,13 kile utakachokipata kutokana na amali hii ni kuwa pamoja nao 418 00:48:08,15 --> 00:48:15,15 kuwa pamoja na Mtume wa mwisho ni jambo linaloshangaza akili 419 00:48:15,18 --> 00:48:23,24 kuwa pamoja na Mussa bin Jaffar akili inashangaza akili 420 00:48:24,03 --> 00:48:29,00 kuwa pamoja na Imam Ridha kunashangaza 421 00:48:29,02 --> 00:48:33,19 kwa vyovyote ni rehema, rehema kubwa 422 00:48:33,23 --> 00:48:45,20 tunatarajia akipenda Mwenyezi Mungu nyinyi wenyewe na Mahujaji wote mutaitumia safari hii ipasavyo 423 00:48:46,07 --> 00:48:51,14 muda hamna na hiki kidogo kinatosha 424 00:48:51,18 --> 00:49:02,05 na sisi tunamuomba Mwenyezi Mungu atuwezeshe tuwe miongoni mwa Mahujaji wa nyumba hii 425 00:49:02,09 --> 00:49:07,03 na atujaalie tuwe katika watu wema 426 00:49:07,06 --> 00:49:13,04 na murudi hali ya kuwa Umra zenu zimekubaliwa 427 00:49:13,11 --> 00:49:23,10 na tunatarajia mutakhitimisha Majlisi zenu kwa Mwenyezi Mungu na Imam Zamani 428 00:49:23,14 --> 00:49:33,24 na zawadi hii ibaki milele kwenu na kwa maiti wenu na kwa jamaa zenu 429 00:49:34,04 --> 00:49:40,14 Ewe Mwenyezi Mungu mfanye kiongozi wako Mahdy 430 00:49:40,18 --> 00:49:45,10 Rehema zako ziwe juu yake na kwa baba yake 431 00:49:46,13 --> 00:49:51,02 katika zama hizi na katika kila zama 432 00:49:51,04 --> 00:49:54,00 kuwa ni walii na mlinzi 433 00:49:54,04 --> 00:49:57,16 kuwa kiongozi na mwenye kunusuru 434 00:49:57,19 --> 00:50:00,20 kuwa ni hoja na muokozi 435 00:50:00,23 --> 00:50:05,19 mpaka hapo atakapodhihiri 436 00:50:05,22 --> 00:50:10,13 na umjaalie awepo kwa muda mrefu. 437 00:50:10,16 --> 00:50:17,17 Ewe Mwenyezi Mungu tengeneza kila kilichoharibika katika mambo ya waislamu 438 00:50:17,21 --> 00:50:27,10 Sala za Mwenyezi Mungu ziwe juu ya Muhammad na Aal Muhammad 439 00:50:27,14 --> 00:50:35,19 na sala na amani ziwafikie Manabii na Mitume wote 440 00:50:35,22 --> 00:50:42,24 na mawasii na mashahidi na wakweli 441 00:50:43,03 --> 00:50:46,17 na waja wako wema 442 00:50:46,20 --> 00:50:53,02 Ewe Mwenyezi Mungu wasamehe waumini wa kiume na wa kike 443 00:50:54,02 --> 00:50:57,14 na waislamu wa kiume na wa kike 444 00:50:57,21 --> 00:51:02,09 waliohai na pia waliotangulia 445 00:51:02,12 --> 00:51:08,20 Ewe Mwenyezi Mungu tufuatishe baina yetu na wao kwa mambo ya kheri.