0 00:00:00,131 --> 00:00:04,288 ikiwa watu watafahamu, katika nusu Shaabani ni lazima watu wote kuungana (kuwa na sauti moja). 1 00:00:04,702 --> 00:00:11,170 kadhia ya Imam Zamani akili zinashindwa kufahamu. 2 00:00:11,612 --> 00:00:25,956 ikiwa watu watafahamu, katika nusu Shaabani ni lazima watu wote kuungana (kuwa na sauti moja). 3 00:00:26,344 --> 00:00:32,301 katika dunia jambo hili halijawahi kutokea: 4 00:00:34,254 --> 00:00:46,051 wakati Mtume alipokuwa akimuelezea yeye, maelezo yake yalikuwa haya: 5 00:00:46,595 --> 00:00:51,668 Al_Mahdiy ni katika watoto wangu; 6 00:00:52,752 --> 00:01:00,312 kisha kile ambacho kinashangaza akili ni hizi sentensi mbili: 7 00:01:01,270 --> 00:01:08,943 Jina lake ni kama jina langu, na kuni-a yake ni kama kuni-a yangu. 8 00:01:10,119 --> 00:01:20,123 jina na kuni-a ya mtu haijuzishwa kwa mtu yeyote, 9 00:01:20,932 --> 00:01:26,613 ni makhsusi kwa Hujat bin Al_Hasan (Imam Zamani). 10 00:01:27,332 --> 00:01:36,053 jina (lake) ni kama la Mtume, na kuni-a yake ni kama ya Mtume. 11 00:01:36,503 --> 00:01:45,273 sentensi hii ni sentensi ambayo inamshangaza mtu kama Sheikh Answariy: 12 00:01:45,717 --> 00:01:53,399 Anashabihiana na mimi zaidi kuliko mtu yeyote kwa umbo na tabia; 13 00:01:53,813 --> 00:01:59,125 kila mtu ana roho, na ana kiwiliwili, 14 00:01:59,525 --> 00:02:16,199 mwili bora na roho bora katika ulimwengu kwa umbo na tabia, mtu wa kwanza wa duniani (A`lam Imkaan) 15 00:02:16,675 --> 00:02:20,493 na yeye ni Mtume wa mwisho. 16 00:02:20,921 --> 00:02:28,558 kisha mwenyewe anasema: Anashabihiana zaidi kuliko mtu yeyote; 17 00:02:30,483 --> 00:02:37,476 Anashabihiana zaidi kuliko mtu yeyote; 18 00:02:38,340 --> 00:02:48,658 katika maumbile kwa upande wa kiwiliwili , na pia katika ukamilifu wa kiroho, 19 00:02:49,158 --> 00:02:54,106 hakuna yeyote anayeshabihiana na mimi isipokuwa Mahdiy. 20 00:02:54,582 --> 00:03:03,377 kwa sababu hii ndio ikawa wasifu wa Imam Zamani uko nje ya upeo wetu. 21 00:03:03,832 --> 00:03:18,130 watu wana kipaji cha nuru katika usiku wa nusu Shaabani …., lakini ni nani mtu wa usiku huo. 22 00:03:18,566 --> 00:03:31,404 Seikh Tussiy katika kitabu chake Misbahul Mutahajjidu, ameitaja dua ya usiku wa nusu Shaabani, 23 00:03:31,615 --> 00:03:40,710 kwa kweli akili ya kila mwenye hikma na faqihi zinashindwa kufahamu. 24 00:03:41,158 --> 00:03:48,922 taabiri iliyotolewa kwa Imam Zamani, ni maneno mawili: 25 00:03:49,347 --> 00:03:56,616 nuru yako iliyowazi na mzuri na mwanga wako uang`azao kila kitu (kama mwezi wa usiku mwezi 14); 26 00:03:57,329 --> 00:04:08,927 Imam Zamani ni nuru ya Mwenyezi Mungu, ama ni nuru ya Mwenyezi Mungu iliyo wazi na mzuri, 27 00:04:09,350 --> 00:04:20,047 Imam Zamani ni mwanga wa Mwenyezi Mungu, ama ni mwanga wa Mwenyezi Mungu unaoangaza kila kitu (kama mwezi wa usiku mwezi 14) 28 00:04:20,531 --> 00:04:37,953 huo ndio ufafanuzi wa Hujat Allah, ambao pia umo katika kitabu cha Sheikh Tussiy (Misbahul Mutahajjud)) 29 00:04:38,437 --> 00:04:42,022 huyu ndiye Imam Zamani(a.s)