0 00:00:08,15 --> 00:00:32,07 Matamshi ya Ayatullah Al-udhma Wahid Khorasani kuhusiana na siku ya kuuawa shahidi Imam Swadiq(A.S) 1 00:00:37,12 --> 00:00:50,10 Jumatano 22 Shawwal 1429 Hijria Qamaria inayosadifiana na 1/8/1387 Hijria Shamsia 2 00:04:55,10 --> 00:05:00,07 Mazungumzo yetu yalikuwa kuhusu jina la Mwenyezi Mungu. 3 00:05:05,21 --> 00:05:10,19 Majina ya Mwenyezi Mungu yako katika sehemu mbili: 4 00:05:11,20 --> 00:05:27,22 Aina moja ni majina ya kilafudhi na aina nyengine ni majina ya kimaumbile. 5 00:05:28,15 --> 00:05:53,10 Leo hii kwa mnasaba wa kuuawa shahidi moja kati ya majina mazuri ya kimaumbile litazungumziwa na 6 00:05:57,10 --> 00:06:13,02 jina hili zuri ni la yule mtu ambaye kabla ya kuja duniani, 7 00:06:13,18 --> 00:06:21,13 Mjumbe wa Mwenyezi Mungu aliainisha jina lake na 8 00:06:23,20 --> 00:06:29,14 yeye alimuita kwa jina la Swadiq. 9 00:06:32,10 --> 00:06:40,05 kutoa jina hili kuna maana pana sana. 10 00:06:44,15 --> 00:06:53,05 ((Enyi Mlioamini mcheni Mwenyezi Mungu na 11 00:06:53,07 --> 00:06:58,06 muwe pamoja na wakweli)). 12 00:07:00,00 --> 00:07:20,12 Huyu ni Swadiq ambaye ni mtu wa kwanza ulimwenguni kupewa jina la Swadiq, mtu ambaye 13 00:07:20,14 --> 00:07:29,11 Madhehebu ya leo yamepambika kwa jina lake, 14 00:07:29,14 --> 00:07:46,13 Cha kusikitisha ni kwamba, si Madhehebu yalifahamika, na wala si kiongozi wa Madhehebu haya. 15 00:07:48,10 --> 00:08:01,23 amma (adhama) na utukufu wa Madhehebu haya yalikuwa wazi pale 16 00:08:02,14 --> 00:08:17,18 yalipolinganishwa na Madhehebu yote yaliyopo 17 00:08:17,21 --> 00:08:29,07 wakati huo ilijulikana ya kuwa Madhehebu ya Imam Jaafari yana maana gani. 18 00:08:35,11 --> 00:08:58,22 Malik bin Anas ni mtu ambaye Shafii-Imam wa Madhehebu ya Shafii- 19 00:09:01,12 --> 00:09:09,10 anaashiria hivi kuhusiana na Malik 20 00:09:09,15 --> 00:09:18,16 katika mlolongo wa Maulama, basi Malik ni nyota. 21 00:09:21,06 --> 00:09:39,10 huu ndio utabiri wa Shafii kuhusiana na Malik bin Anas bin Malik, kwamba 22 00:09:39,20 --> 00:09:55,07 Imam Malik na Maulamaa wakubwa wote katika Darul Hijrat. 23 00:10:00,23 --> 00:10:20,06 Abu Hanifa ambaye ni Imam mkubwa kwa wote mbele ya Malik ni kama hivi… 24 00:10:23,17 --> 00:10:29,13 …leo maneno haya yanasemwa, 25 00:10:30,04 --> 00:10:47,24 angalau kwa upeo wa fikira chache kama vile Fakhrur Razi au Shamsuddin Dhahabi 26 00:10:50,11 --> 00:11:05,12 ikiwa ni watu wa insafu, na watu ambao wana elimu na hekima, 27 00:11:06,11 --> 00:11:21,13 katika sehemu hii zingatieni na mtafahamu ya kuwa mada hii ni nani ameileta. 28 00:11:22,04 --> 00:11:32,21 yale yote ambayo huwa yanasemwa kwa sasa basi yanapaswa kutolewa hukumu 29 00:11:32,23 --> 00:11:43,03 katika kipindi chote cha miaka 1400 hakuna hata mmoja aliyeweza kughushi, 30 00:11:43,07 --> 00:11:54,24 kwa sababu kile ambacho kwa sasa tunakisema, kiko chini ya mtazamo wa Imam wa wakosoaji 31 00:11:55,14 --> 00:12:04,24 ambaye yeye katika historia ya wote ni mkosoaji wa kwanza. 32 00:12:05,04 --> 00:12:11,02 yote hupitishwa kutokana na mtazamo wake. 33 00:12:11,09 --> 00:12:25,00 Mbele ya Malik, yeye Hanifa huonekana kama mtoto mdogo. 34 00:12:25,06 --> 00:12:34,04 hii ndio hali ya Abu Hanifa kwa Malik. 35 00:12:34,14 --> 00:12:56,20 Baada ya Shafii, na baada ya Abu Hanifa- inafika zamu ya Ahmad bin Hanbali-Imam Hanbali. 36 00:12:58,04 --> 00:13:08,07 Riwaya hii ninayoisoma sasa hivi ni riwaya ambayo kwamba 37 00:13:08,09 --> 00:13:40,02 Ahmad bin Habali-Imam wa Madhehebu ya Hanbali na Hanabila wote wa Hijaz na nje ya Hijaz.Anasimulia kutoka kwa Suraikh bin Nuuman. 38 00:13:40,14 --> 00:13:51,19 kwa sababu katika sehemu hii mada inaegemea kwa maulamaa wote 39 00:13:52,09 --> 00:14:05,21 kwa hivyo ninaongea kwa kile kilichokubaliwa na wote. 40 00:14:06,07 --> 00:14:20,15 mtu huyu ni mtu ambaye amepokea kutoka kwa Sheikh Bukhari-mwenye kitabu cha Sahih Bukhari, 41 00:14:20,17 --> 00:14:38,12 yaani mpokezi wake wa kwanza ni mtu ambaye ni mmiliki wa Sahih Bukhari. Na 42 00:14:38,13 --> 00:14:51,02 na taabiri ya nguzo hii wa upokezi kuhusiana na yeye ni huu 43 00:14:51,04 --> 00:15:02,04 "alikuwa ni mkweli" lakini ni ukweli upi? Ni mkweli kwao". 44 00:15:02,08 --> 00:15:12,01 mtu wa kwanza baada ya Imam Hanbal. 45 00:15:13,08 --> 00:15:22,10 yeye ananukuu kutoka kwa Abdullah bin Nafigh. 46 00:15:22,21 --> 00:15:41,17 Abdullah bin Nafigh ni mtu ambaye kwa utabiri wa Dhahabi alikuwa ni "Mkweli". 47 00:15:42,11 --> 00:15:49,02 na ananakili kutoka kwa Anas bin Malik. 48 00:15:49,09 --> 00:15:55,23 hebu watu wa fani zingatieni. 49 00:15:56,12 --> 00:16:15,17 Maulamaa wote kutoka katika kila pembe za mamlaka za Kiislamu wamezingatia katika sentensi hizi. 50 00:16:15,22 --> 00:16:22,15 Na wanataka kuona litaishia wapi? 51 00:16:22,19 --> 00:16:34,09 Ikiwa mtu anaamini Qur`an na ana imani na dini ya Kiislamu 52 00:16:34,21 --> 00:16:45,20 ((Wale ambao ni wenye kusikia maneno na kuyafatisha kwa wema)). 53 00:16:46,06 --> 00:16:58,17 Leo ni siku ya kulinganisha Madhehebu ya Jaafari na Madhehebu mengine yote. 54 00:16:58,21 --> 00:17:06,04 msimamo wetu ni wenye nguvu katika kiwango hiki. 55 00:17:10,01 --> 00:17:12,13 Malik alisema nini? 56 00:17:14,10 --> 00:17:41,04 Kile ambacho amekinakili Ahmad bin Hanbal kutoka kwa Sheikh Bukhari na yeye kutoka kwa Abdullah bin Nafigh na yeye kutoka kwa Malik ni hiki: 57 00:17:41,10 --> 00:17:52,20 ((Mwenyezi Mungu aliye mbinguni na elimu Yake imeenea kila mahala)). 58 00:17:53,00 --> 00:18:09,07 haya ndio maandiko ya hadithi. Na haya ndio maneno ya Imam wa Maimamu wote: 59 00:18:09,21 --> 00:18:22,07 Mwenyezi Mungu yuko mbinguni na elimu Yake imeenea kila mahala. 60 00:18:26,13 --> 00:18:39,14 Sentensi hii ni lazima ifanyiwe uchambuzi na uchanganuzi: Mwenyezi Mungu yuko mbinguni. 61 00:18:41,16 --> 00:18:56,21 mahusiano baina ya Mwenyezi Mungu na mbingu ni sawa na chombo na chenye kukaa ndani ya chombo. 62 00:18:58,09 --> 00:19:08,02 kila chombo kina mzingiro, na kila kilichopo kwenye chombo ni chenye kuzingirwa 63 00:19:09,05 --> 00:19:20,01 Natija inakuwa mbingu ni mzingiro na Mwenyezi Mungu ni mwenye kuzingirwa. 64 00:19:20,08 --> 00:19:27,10 Mbingu zinakuwa ni chombo, na Mwenyezi Mungu ni mwenye kukaa katika chombo. 65 00:19:28,10 --> 00:19:35,17 Hapa ni lazima ieleweke Madhehebu yana maana gani? 66 00:19:36,13 --> 00:19:42,22 Hapa ni lazima dunia iamke 67 00:19:42,24 --> 00:20:05,03 Ingekuwa hayapo maneno ya Jafar bin Muhammad na Madhehebu ya Jaafari, basi athari ya tawhid isingelikuwepo na 68 00:20:05,04 --> 00:20:09,08 alama ya tasbihi [Subhana Allah] na 69 00:20:09,10 --> 00:20:10,10 habari ya tahalili[Lailaha Illa Allah] na 70 00:20:12,23 --> 00:20:13,09 takbir [Allah Akbar] na 71 00:20:15,06 --> 00:20:15,18 tamhidi [Alhamdulil Allah] isingekuwepo. 72 00:20:18,07 --> 00:20:25,19 baada ya kuwa maudhui hii kuwa wazi, ilionekana ya kwamba 73 00:20:25,21 --> 00:20:32,04 kama asingekuwepo yeye basi Mwenyezi Mungu asingejulikana. 74 00:20:32,05 --> 00:20:45,11 "Mwenyezi Mungu yuko mbinguni". Neno hili liko katika dunia nzima, 75 00:20:45,13 --> 00:20:56,20 ikiwa hata Fakhrur Razi elfu moja watafufuka hawawezi kulikana neno hili. 76 00:20:56,21 --> 00:21:10,21 (neno) hili ni la msingi kwa Ahmad bin Hanbali na yeye anaegemea kwa wasita wawili kutoka kwa Malik bin Anas, 77 00:21:10,22 --> 00:21:27,05 yule Malik anayeonekana mbele ya Shafii a kuwa ni nyota ya Maulamaa wa Ahl Sunna. 78 00:21:27,20 --> 00:21:37,08 huyo Malik ambaye Abu Hanifa anaonekana mbele yake ni kama mtoto wa shule ya msingi, 79 00:21:37,19 --> 00:21:45,20 huyu ni yule ambaye imani yake kwa Mwenyezi Mungu iko hivi. 80 00:21:47,06 --> 00:22:03,13 Ikiwa Mwenyezi Mungu yuko mbinguni basi ni lazima atakuwa amefungamana na mahala, na ni kiwiliwili 81 00:22:03,17 --> 00:22:09,00 basi Mwenyezi Mungu atakuwa na kiwiliwili. 82 00:22:09,04 --> 00:22:14,02 ikiwa atakuwa na kiwiliwili, basi atakuwa ameunganika. 83 00:22:14,12 --> 00:22:30,02 ukitaka usitake kila kiwiliwili ni chenye kuunganika kutokana maada na umbo, au kutokana na viungo vyengine. 84 00:22:30,03 --> 00:22:38,06 Kwa vyovyote vile kiwiliwili huendana na kuunganika. 85 00:22:38,09 --> 00:22:43,17 kinachounganika huhitajia viungo vyengine. 86 00:22:43,19 --> 00:22:50,06 na viungo vilivyounganishwa huhitajia mtu wa kuviunganisha. 87 00:22:50,07 --> 00:22:56,07 [kwa hiyo] Mungu wa Imam Malik anakuwa ni muhitaji katika njia mbili. 88 00:22:58,08 --> 00:23:12,00 Mungu wa Imam Malik na Mungu wa Madhehebu manne, anakuwa ni muhitaji wa viungo na 89 00:23:12,01 --> 00:23:17,09 na pia anakuwa ni muhitaji wa mtengeneza viungo. 90 00:23:17,10 --> 00:23:22,04 basi hali hii humbadilisha muumba kuwa muumbwa, na 91 00:23:22,05 --> 00:23:26,24 na pia hali hii humbadilisha mwenye mamlaka kuwa ni mwenye kuyumkinika. 92 00:23:28,00 --> 00:23:35,03 hii ndio natija ya kuwa Mwenyezi Mungu yuko mbinguni. 93 00:23:35,05 --> 00:23:49,12 kila kilichopo ndani ya chombo huwa kimezingirwa katika chombo. Katika hili hakuna shaka. 94 00:23:49,15 --> 00:23:59,17 Ikiwa Mungu yuko mbinguni, ukitaka usitake basi atakuwa amezungukwa na mbingu. 95 00:24:00,02 --> 00:24:04,15 na wakati kitu kikizungukwa, basi huwa na mipaka. 96 00:24:04,16 --> 00:24:13,15 kila chenye mpaka huwa ni chenye kuhitajia nafasi na kila chenye mpaka huwa na mwisho. 97 00:24:13,18 --> 00:24:18,22 hapa tena imebadilisha muumba kuwa muumbwa, na 98 00:24:19,07 --> 00:24:24,07 pia inarudi tena mwenye mamlaka anakuwa ni mwenye kuyumkinika. 99 00:24:24,08 --> 00:24:31,18 hapa kuna mengi ya kuyajadili lakini hiki kidogo kinatosha. 100 00:24:31,19 --> 00:24:40,07 sentensi ya pili: ((Elimu yake imeenea kila mahala)). 101 00:24:40,08 --> 00:24:51,10 Mungu mwenyewe yuko mbinguni lakini elimu Yake imeenea kila mahala. 102 00:24:51,11 --> 00:24:54,12 maneno haya yana maana gani? 103 00:24:54,21 --> 00:25:01,16 maneno haya yametenganisha elimu na Mwenyezi Mungu. 104 00:25:01,17 --> 00:25:09,21 Mungu yuko mbingu na elimu Yake imeenea kila mahala!!! 105 00:25:10,11 --> 00:25:17,11 [hapa] kunakuja suali [lakini] ni nani ataweza kujibu suala hili? 106 00:25:19,11 --> 00:25:29,18 ikiwa mtu katika ulimwengu mzima wa Kiislamu ana uwezo ambao 107 00:25:29,20 --> 00:25:34,06 [wa kuweza] kukabiliana na mada hii basi aseme, 108 00:25:34,07 --> 00:25:38,05 [kwa vyovyote] huyo pia si kwa yeye mwenyewe [vitu] ameweza kujitengenezea [lakini] 109 00:25:38,08 --> 00:25:48,02 itabidi aje hapa ili jambo hili likae sawa au iwe vile au hivi. 110 00:25:48,09 --> 00:25:52,04 hii inawezekana au haiwezekani, 111 00:25:52,05 --> 00:26:00,10 ilikiwa ni kweli, Mungu yuko mbinguni na elimu Yake imeenea kila mahala. 112 00:26:02,11 --> 00:26:07,01 basi elimu Yake imejitenga na dhati Yake. Na 113 00:26:07,02 --> 00:26:16,08 Na ikiwa Mungu ndio elimu yenyewe basi Mungu yuko kila mahala, na si katika mbingu tu. 114 00:26:16,19 --> 00:26:24,08 lakini ikiwa Mungu ni mbali na elimu yake, basi dhati itakuwa imetenganishwa na elimu. 115 00:26:26,20 --> 00:26:31,09 [kwa hivyo] katika daraja ya dhati yake hakuna elimu. 116 00:26:31,20 --> 00:26:35,24 [ikiwa katika daraja hii ] hakuna elimu basi ni nini? Atakuwa ni mjinga 117 00:26:36,00 --> 00:26:48,20 basi Mungu wa Imam wa Maimamu anatuhumiwa kwa ujinga na kutokuwa na elimu. 118 00:26:51,05 --> 00:27:06,05 haya ni Madhebebu pekee katika ulimwengu wa Kiislamu yaliyotenganisha elimu ya Mungu na Mungu. 119 00:27:06,21 --> 00:27:19,17 Swali linakuja kwa Malik, swali linakuja kwa Abu Hanifa, na swali linakuja kwa Shafii. 120 00:27:19,18 --> 00:27:25,09 swali linakuja kwa Ahmad bin Hanbali, wewe ndie ambaye 121 00:27:25,10 --> 00:27:33,19 ni fahari kwa Malik na hadithi hii umeileta na 122 00:27:33,20 --> 00:27:37,08 [swali linakuja] kwa Shamsuddin Dhahabi, wewe ndie ambaye 123 00:27:37,10 --> 00:27:48,24 ni jinsi gani unavyopewa umuhimu katika duniani kwa upande wa nyota ya elimu basi ushangae: 124 00:27:49,01 --> 00:27:51,15 "unatoa jawabu gani?" 125 00:27:51,20 --> 00:28:00,11 ikiwa elimu itakuwa ni mbali na Mungu [basi elimu yake] itakuwa ni ya zamani au ni yenye kutokea. 126 00:28:00,12 --> 00:28:06,06 yote haya ni baina ya kukataa na kukubali. Na 127 00:28:06,19 --> 00:28:11,19 shaka ya tatu haitiliki akilini. 128 00:28:11,20 --> 00:28:18,05 ikiwa elimu yake ni ya zamani basi kutahitajika kujitokeza Waungu wawili: 129 00:28:18,15 --> 00:28:25,00 mmoja wa dhati, na mwengine wa elimu. Na hii ni shirki. 130 00:28:27,01 --> 00:28:38,15 na ikiwa ni yenye kutokea, basi elimu ya Mwenyezi Mungu si ya zamani. 131 00:28:39,00 --> 00:28:47,13 [Kwa hivyo] Mungu alikuwepo na elimu yake haikuwepo na baadaye ndio akapata elimu. 132 00:28:47,21 --> 00:28:52,05 Elimu hii aliipata wapi? 133 00:28:53,07 --> 00:28:59,20 [Je] Mungu mweyewe alijipatia elimu mwenyewe? 134 00:28:59,21 --> 00:29:05,14 asiyekuwa na kitu , hawezi kujipa kitu. 135 00:29:05,24 --> 00:29:12,10 [Je] mbali na Mungu kuna yeyote anayeweza kumpa Mungu elimu? 136 00:29:12,11 --> 00:29:18,07 basi elimu ya Mungu itakuwa imeumbwa na asiyekuwa Mungu. 137 00:29:18,09 --> 00:29:24,20 Haya ndio Madhehebu yao. Lakini Madhehebu ya Imam Jaafar … 138 00:29:25,05 --> 00:29:37,22 Hapa ndio pa kulia machozi ya damu kwa ugeni wa Madhehebu haya na kwa ugeni wa kiongozi wa Madhehebu haya. 139 00:29:40,23 --> 00:29:50,22 maneno haya machache yanatosha: "Ametakasika Mwenyezi Mungu …" 140 00:29:50,23 --> 00:30:00,07 Hayo yalikuwa ni maelezo ya Malik na haya ni maelezo ya Jafar bin Muhammad. 141 00:30:05,07 --> 00:30:11,02 Zingatieni kwa makini. Hakutohitajia ufafanuzi mwengine. 142 00:30:11,06 --> 00:30:20,12 kwa sababu baadhi yenu ni sehemu ya Maustadh wa elimu mjini Qum na 143 00:30:20,17 --> 00:30:28,20 na sehemu nyengine ni Maustadh wa daraja la juu wa Fiqh na Usuli. 144 00:30:28,24 --> 00:30:37,22 ((Ametakasika yule ambaye haijulikani namna yake isipokuwa Yeye)). 145 00:30:41,00 --> 00:30:44,10 Hakuna Mola anayepaswa kuabudiwa kwa haki isipokuwa Mwenyezi Mungu!!! 146 00:30:44,12 --> 00:30:52,22 ((Ametakasika yule ambaye haijulikani namna yake isipokuwa Yeye)). 147 00:30:53,14 --> 00:31:07,07 ametakasika Mola ambaye haijuilikani namna yake isipokuwa Yeye. 148 00:31:07,08 --> 00:31:19,12 Hapa hakuna njia , si kwa Mtume yeyote aliyetumwa na wala si kwa Malaika waliokaribu. 149 00:31:19,13 --> 00:31:22,17 huu ndio ukubwa na utukufu wa Madhehebu haya. 150 00:31:22,18 --> 00:31:31,08 "Hakuna mfano wake chochote na Yeye ni mwenye kusikia na kuona". 151 00:31:31,10 --> 00:31:35,19 Hapa kunahitajika neno moja. 152 00:31:35,20 --> 00:31:49,15 Ambalo ni kusudio la mazungumzo yangu na wala si ya Sheikh Azhar [lakini] ni lengo la mazungumzo yangu, mwenyewe Anas bin Malik. 153 00:31:50,19 --> 00:32:03,05 Zamu yangu sasa ni kwa Shafii mwenyewe na Abu Hanifa na Ahmad bin Hanbal mwenyewe 154 00:32:05,05 --> 00:32:14,20 ninawauliza wao na tunasema: Je, Mungu yuko mbinguni au hapana. 155 00:32:14,21 --> 00:32:26,14 Ikiwa yuko mbinguni …. Kama munavyokubali wenyewe, na 156 00:32:26,17 --> 00:32:34,16 Kwa mfano Dhahabi kwa mtazamo wake uliomahiri ameandika. 157 00:32:34,19 --> 00:32:41,15 Ikiwa Mungu yuko mbinguni, na jua[pia] liko mbinguni 158 00:32:41,19 --> 00:32:52,02 basi jua limekuwa kama vile Mungu, Mungu amekuwa kama vile jua [ na hali ya kuwa] hakuna chochote mfano wake. 159 00:32:55,03 --> 00:33:01,10 hii pia inapingana na akili na vile vile inapingana na wahyi. 160 00:33:01,14 --> 00:33:06,20 Je Madhehebu haya na watu hawa na 161 00:33:06,22 --> 00:33:14,07 huku ndio kumjua Mungu wa ulimwengu na Adam? 162 00:33:14,20 --> 00:33:22,09 [Lakini Imam Swadiq anasema:] ((""Hakuna mfano wake chochote na Yeye ni mwenye kusikia na kuona")) 163 00:33:22,10 --> 00:33:26,10 hakuzungukwa na chochote wala hahisiwi 164 00:33:26,19 --> 00:33:31,20 na wala si kiwiliwili na wala huwezi kumgusa 165 00:33:31,21 --> 00:33:35,15 na wala hafikiwi na hisia 166 00:33:35,16 --> 00:33:39,16 na wala hakuzungukwa na chochote)). 167 00:33:40,15 --> 00:33:44,04 hakuzungukwa na kitu chochote. 168 00:33:45,08 --> 00:33:52,01 Ewe Imam Malik fufuka. 169 00:33:52,19 --> 00:33:58,05 Wewe umezifanya mbingu kuwa ni mzingo kwa Mungu. 170 00:33:58,14 --> 00:34:05,09 Njoo na upate elimu. Uone Jafar bin Muhammad anasema nini. 171 00:34:05,12 --> 00:34:08,15 ((Na hakuzungukwa na chochote. 172 00:34:09,02 --> 00:34:19,01 Hakika Mwenyezi Mungu mtukufu hafanani na chochote 173 00:34:19,04 --> 00:34:23,19 na wala hakuna kitu chochote kinachofanana Naye)). 174 00:34:24,12 --> 00:34:30,18 Katika kila sentensi ni miujiza. 175 00:34:31,12 --> 00:34:42,15 hafanani na kitu na wala hakuna kitu kinachofanana Naye. 176 00:34:44,08 --> 00:34:49,14 ((na kila …)) vurumai ziko hapa: 177 00:34:49,22 --> 00:34:59,03 na kila kinachojitokeza katika mawazo ni kinyume na yeye)). 178 00:34:59,14 --> 00:35:04,05 kile ambacho kiko ndani ya akili za kila mwenye kuwaza na 179 00:35:04,06 --> 00:35:08,14 kile ambacho kiko ndani ya akili ya kila mwenye akili na 180 00:35:09,00 --> 00:35:20,01 kile ambacho kiko ndani ya ufahamu wa kila muelewa basi wakilete, yeye ni muumbwa wao na si muumba. 181 00:35:20,12 --> 00:35:30,00 yeye ni dhati ambayo ndani ya mawazo haingii na ndani ya akili haiji. 182 00:35:30,01 --> 00:35:39,02 akili ni kwa aya Zake zenye hekima tu na kwa alama Zake zenye nguvu na 183 00:35:39,04 --> 00:35:43,23 na kwa cheo alichokithibitisha yeye ndio anaweza akamfikia. 184 00:35:44,20 --> 00:35:52,03 [kwa vyovyote] ili kufikia hili inahitaji kidogo tutoke nje na tutumie tashbihi. 185 00:35:52,24 --> 00:35:56,17 muhimu ni kwamba[amesema]: 186 00:35:56,19 --> 00:36:04,08 ((hakuwacha kuwa Mwenyezi Mungu mtukufu elimu Yake kuwa ni dhati Yake)). 187 00:36:06,19 --> 00:36:10,04 huu ndio ujuzi. 188 00:36:10,05 --> 00:36:22,24 wao wanasema: Mungu yuko mbinguni na elimu yake imekuja Masjid Aa'dhwam na 189 00:36:23,02 --> 00:36:34,04 na imetawanyika katika mikoa mengine. Wao wanasema hivi, lakini huyu anasema: 190 00:36:34,05 --> 00:36:43,14 ((hakuwacha kuwa Mwenyezi Mungu mtukufu elimu Yake kuwa ni dhati Yake na haijuilikani)). 191 00:36:43,16 --> 00:36:56,01 muda hautoshi lakini ningelisema katika maneno haya yanaonyesha nguvu gani. 192 00:36:56,20 --> 00:37:11,05 Fikiria. Kile nilichokisema ndio chimbuko la kumjua Mungu kwa Madhehebu Manne na 193 00:37:11,06 --> 00:37:23,23 Kile ambacho nimekisema kutoka kwa Imam wa Sita ni tone tu ukilinganisha na bahari yenyewe isiyo na mwisho ambayo. 194 00:37:23,24 --> 00:37:28,16 yeye ameileta katika kumuelezea Mola. 195 00:37:28,18 --> 00:37:35,04 haya ndio madhehebu yake na hii ndio tawhidi yake. 196 00:37:36,05 --> 00:37:47,11 nyinyi ni watu wa elimu na ni watu wa fikra basi ifanyieni uchunguzi riwaya yake. 197 00:37:47,12 --> 00:37:52,23 nuru hizi ziangazieni katika dunia. 198 00:37:53,08 --> 00:38:02,10 Fanya kiasi kwa kile ambacho wengine wanacho na kile ulichonacho wewe. 199 00:38:02,12 --> 00:38:06,22 uje katika vita ukiwa mtu uliyejiandaa. 200 00:38:06,24 --> 00:38:12,17 Malik bin Anas mwenyewe anasema: 201 00:38:12,19 --> 00:38:24,17 Jicho langu halijawahi kupata kumuona mtu bora kuliko Jafar bin Muhammad. 202 00:38:32,20 --> 00:38:37,24 Madhehebu haya ni mfano wa kuigwa. 203 00:38:38,00 --> 00:38:44,19 mwenyewe alikuwa nani? 204 00:38:45,22 --> 00:38:54,12 hata akili yake ikawa hivi katika kumjua Mwenyezi Mungu, 205 00:38:54,14 --> 00:39:10,06 na utakaji wake ukawa hivyo katika kumuabudu Mwenyezi Mungu na katika matakwa ya Mungu ambayo 206 00:39:10,07 --> 00:39:22,09 "Wewe tu ndie tunayekuabudu na kwako tu ndio tunakoegemea" alisema hivyo mara kadhaa, mpaka mtu akaisikia aya hii. 207 00:39:23,02 --> 00:39:26,07 yeye alikuwa ni mtu wa aina hii. 208 00:39:26,09 --> 00:39:37,21 Safwan bin Yahya anasema: U'bayd aliniambia mimi kuwa 209 00:39:37,24 --> 00:39:49,07 mke wangu na jamaa zangu wanasema: Mimi ninatamani kumzuru Jafar bin Muhammad. 210 00:39:49,10 --> 00:39:55,13 Nikasema: mimi [kwa ajili ya kwenda katika ziyara hii] sina kitu cha kuuza. 211 00:39:55,14 --> 00:40:07,23 akasema:nitatoa mapambo yangu yote, andaa gharama za safari na unipeleke kumzuru Imam wa Sita. 212 00:40:09,02 --> 00:40:17,14 akasema: mimi pia urembo na mapambo ya mwanamke huyu ndivyo ninavyovitegemea kwa safari. 213 00:40:17,19 --> 00:40:28,22 wakati tulipofika karibu na Madina, yeye alianguka na akawa anataka kukata roho. 214 00:40:29,00 --> 00:40:34,05 mimi nilikwenda kwa Imam nikiwa katika hali ya mfadhaiko . 215 00:40:34,08 --> 00:40:39,16 akauliza: U'baid una hali gani? 216 00:40:39,18 --> 00:40:48,07 Nikajibu: Nilijitayarisha mimi na jamaa zangu kwa ajili ya kukuzuru wewe lakini kumetokea jambo hili. 217 00:40:48,10 --> 00:40:53,22 akasema: jambo hili ndio limekufanya wewe kuwa na huzuni? 218 00:40:53,24 --> 00:40:57,22 nikasema: ndio, ewe mtoto wa Mjumbe wa Mwenyezi Mungu. 219 00:40:58,12 --> 00:41:12,05 akasema: Nenda sasa, mke wako amekaa na mwanamke huyo anamhudumia kwa kumlisha chakula fulani. 220 00:41:13,18 --> 00:41:20,14 Ewe moyo wa ulimwengu na ewe mwenye roho ya mapambano … 221 00:41:21,05 --> 00:41:32,09 alisema: nilikwenda kwa mfadhaiko, na nikamkuta mke wangu amekaa akiwa mzima na 222 00:41:32,10 --> 00:41:41,20 na vile vile alivyosema, mhudumu alikuwa akimpa chakula kile kile alichokisema. 223 00:41:41,24 --> 00:41:44,19 nikasema: nini kinaendelea hapa? 224 00:41:44,20 --> 00:41:56,24 akasema: kumetokea hivi: Hali yangu unaiyona. Izrail alikuja ili kuitoa roho yangu, Mara ghafla 225 00:41:57,00 --> 00:42:01,19 nikamuona bwana mmoja[ na alama hizi] anaingia. 226 00:42:01,20 --> 00:42:06,08 [ubaid] akasema: wakati yule mwanamke alipozitaja alama, 227 00:42:06,09 --> 00:42:14,24 nikaona kuwa ni za yule yule niliyekuwa kwake. 228 00:42:15,00 --> 00:42:23,10 [mwanamke] kuanzia mavazi yake na sifa zake zote alizitaja. Alisema: 229 00:42:23,11 --> 00:42:30,02 yeye aliingia. Na alipoingia Izrail akamsalimia. 230 00:42:31,02 --> 00:42:39,00 wakati alipomsalimia, yule bwana akamwambia Izrail kuwa: 231 00:42:39,01 --> 00:42:43,21 kwani wewe si umeamrishwa ututii sisi? 232 00:42:44,01 --> 00:42:47,22 akasema: ndio ewe Imam. 233 00:42:48,04 --> 00:42:57,19 makusudio ya Izrail yalikuwa haya: Ndio ewe Imam mimi nimeamrishwa kukutii wewe. 234 00:42:57,24 --> 00:43:01,24 akasema: mimi ninakuarisha kuwa 235 00:43:02,00 --> 00:43:08,10 nenda na kabla ya miaka ishirini mengine usirudi kuchukua roho ya mwanamke huyu. 236 00:43:08,14 --> 00:43:11,22 huyu ndie mwenyewe na hayo ndiyo Madhehebu yake. 237 00:43:12,02 --> 00:43:22,20 siku ya kuuawa kwake shahidi, nchi hii ni lazima iwe na sauti ya bendera moja ya Jafar bin Muhammad na 238 00:43:23,00 --> 00:43:32,14 ni lazima kutekeleza haki ya Madhehebu haya na kiongozi wake kwa kadri inavyowezekana. 239 00:43:33,04 --> 00:43:43,15 yule mwanamke aliuza mapambo yake ili aweze kwenda kuzuru, na hivi ndivyo alivyopata malipo yake. 240 00:43:43,22 --> 00:43:58,00 Enyi waombolezaji wa kila pembe ya Iran, katika siku ya Shahada yake makundi ya kuomboleza yatoeni nje na 241 00:43:58,01 --> 00:44:06,12 kwa ajili ya ugeni wa lile kaburi lililoharibiwa pigeni vichwa na vifua 242 00:44:06,13 --> 00:44:11,13 kwani atakuombea dua gani? 243 00:44:11,20 --> 00:44:18,13 mrehemu yule ambaye analia kwa makele kwa ajili yetu.