0 00:00:01,08 --> 00:00:04,10 Umuhimu wa siku ya Ghadir 1 00:00:06,02 --> 00:00:09,10 Maelezo ya Ayatullah Al_Udhma Wahiid Khorasani Mwenyezi Mungu amuhifadhi 2 00:00:10,05 --> 00:00:11,07 Jumamosi 14-09-1388 Hijria Shamsia, 17-12-1430 Hijria Qamaria 3 00:00:11,23 --> 00:00:14,22 Kwa Jina la Mwenyezi Mungu, Mwingi wa Rehema, Mwenye Kurehemu 4 00:00:16,11 --> 00:00:58,09 Kila sifa njema ni za Mwenyezi Mungu, Mola wa viumbe na Sala za Mwenyezi Mungu zimfikie Bwana Muhammad na jamaa zake waliotakasika hasa Imam Zamani na laana ziwashukie maadui zake hadi siku ya malipo. 5 00:00:58,24 --> 00:01:09,06 Kesho ni siku ya kupewa(madaraka) Amiri Muuminiina. 6 00:01:09,23 --> 00:01:21,22 Uhakika wa Ghadir na tukio hili lilitokeo vipi. 7 00:01:22,24 --> 00:01:44,13 tukio lenyewe, chanzo cha jambo hili, mwisho wa jambo hili, ndio chimbuko la mada hii. 8 00:01:47,09 --> 00:01:55,05 ni kwa kiasi kikubwa imezungumzwa kuhusiana na Ghadir, 9 00:01:56,17 --> 00:02:20,15 lakini mpaka sasa ule ukweli mkubwa na ile siri yenyewe- kama ilivyo haki yake- bado haijagunduliwa. 10 00:02:23,16 --> 00:02:30,18 siri yake ni kwamba ina maana tofauti. 11 00:02:35,08 --> 00:02:47,23 kila jambo lenye kufahamika , hufahamika na kila mtu. 12 00:02:54,11 --> 00:02:59,23 kesho ni kuteuliwa, 13 00:03:01,00 --> 00:03:18,14 lakini uhakika wa jambo hili unasitishwa kwa kuelewa maana ya "ma" na kufahamu maana ya "man". 14 00:03:24,02 --> 00:03:35,14 kwa sababu kuteuliwa ni katika mambo yanayohusiana na jambo fulani. 15 00:03:37,05 --> 00:04:02,01 jambo la dhati ezafeh ni vigumu kulielewa kwa kufahami ezafeh na kufahamu kilicho karibu na ezafeh. 16 00:04:05,09 --> 00:04:12,06 kuteuliwa ni katika mambo yanayohusiana na jambo fulani. 17 00:04:13,03 --> 00:04:23,05 kuelewa kuteuliwa huku kunawezekana pale ambapo 18 00:04:23,16 --> 00:04:38,08 akili za mwanafalsafa, faqih, nayo pia si kila mwanafalsafa, na si kila faqih,[lakini] 19 00:04:39,04 --> 00:04:48,21 ni kwa wale wenye akili za hekima na elimu ya fiqh, 20 00:04:49,12 --> 00:04:54,18 ambao wanaweza kuichanganua nasab hii. 21 00:04:55,04 --> 00:05:05,11 katika nasb hii kuna mambo haya: 22 00:05:05,22 --> 00:05:10,09 mansub ni nani. 23 00:05:10,19 --> 00:05:15,22 mansab ni nini. 24 00:05:19,01 --> 00:05:21,17 nasb ni nini. 25 00:05:21,18 --> 00:05:24,12 naasib ni nani. 26 00:05:25,08 --> 00:05:37,05 mambo haya manne, yanahusiana na nasb yenyewe. 27 00:05:39,15 --> 00:05:46,07 kisha inakuja zamu ya asili na chanzo cha nasb hii, 28 00:05:52,16 --> 00:05:59,01 na hicho ni kisa chenye maelezo marefu. 29 00:05:59,18 --> 00:06:08,00 kisha inakuja zamu ya mwisho wa nasb hii. 30 00:06:08,14 --> 00:06:16,04 mti wenyewe huu twaiba ni nini. 31 00:06:16,07 --> 00:06:24,00 mizizi yake ni yepi. Matunda yake ni yepi. 32 00:06:25,16 --> 00:06:31,04 muda huo ndio itaweza kufahamika Ghadir. 33 00:06:36,18 --> 00:06:49,18 kwa kweli kwa kadri itakavyowezekana tutaingia kwa kina ndani ya mada hii. 34 00:06:50,06 --> 00:06:59,05 lakini jambo hili lina itibari mbili: 35 00:06:59,18 --> 00:07:05,23 moja katika kiwango chenye kuwezekana, 36 00:07:06,03 --> 00:07:15,02 nyengine katika kiwango cha uwelewa wetu wenyewe, 37 00:07:15,07 --> 00:07:23,00 wala si katika kiwango cha jambo lenyewe. 38 00:07:27,19 --> 00:07:37,22 kwanza ni lazima muwelewe mansub alikuwa ni nani. 39 00:07:38,15 --> 00:07:45,14 hili ni swali langu la kwanza. 40 00:07:49,04 --> 00:07:57,12 kisha inakuja zamu ya kuwa mansab alikuwa ni nani 41 00:07:58,01 --> 00:08:10,19 ambapo huyu mansub ikanasibiwa katika mansab . 42 00:08:17,04 --> 00:08:30,22 Amiri Muuminiina ni mwanafalsafa katika ulimwengu mzima, 43 00:08:31,08 --> 00:08:42,19 hii ndio haki yake, pia ni lazima iwe kwa misingi ya hekima. 44 00:08:43,04 --> 00:08:53,24 hekima ambayo inakusanya kitabu(Qur`ani) na sunna, 45 00:08:56,10 --> 00:09:09,11 kwa sababu viwili hivi vina dhamana ya kinga. 46 00:09:09,19 --> 00:09:25,15 zaidi ya hivi viwili kila kitakachokuja basi kitakuwa kina makosa na kasoro. 47 00:09:25,21 --> 00:09:39,08 sehemu ya kurejea, na sanad ni lazima iwe na hekima ya utakatifu. 48 00:09:46,18 --> 00:10:06,01 mansub ni lazima atoke kwa Mwenyezi Mungu na ajulikane na Mjumbe wa Mwenyezi Mungu. 49 00:10:09,11 --> 00:10:23,10 mazungumzo haya yanahusiana na madhehebu, si madhehebu duni. 50 00:10:23,13 --> 00:10:32,22 kila mtu[ambaye] anategemea misingi mitatu: 51 00:10:33,22 --> 00:10:41,13 akili, kitabu(Qur`ani), sunna, 52 00:10:41,19 --> 00:10:51,23 ni lazima mukifikirie kile ambacho kinasemwa leo. 53 00:10:52,03 --> 00:11:04,09 "Ambao husikiliza kauli(nyingi) kisha wakafuata zilizo mzuri zaidi 54 00:11:07,19 --> 00:11:14,07 "Uite (watu) kwenye njia ya Mola wako kwa hekima 55 00:11:16,14 --> 00:11:29,12 kwa ajili ya kujua mansub, na mtu ambaye kesho amenasibishwa, 56 00:11:31,21 --> 00:11:38,03 vigezo vya sunna halisi. 57 00:11:42,08 --> 00:11:50,24 hadithi hii ambayo kwa sasa ni inaanza mada yetu, 58 00:11:51,03 --> 00:12:02,08 ni hadithi ambayo kama Bukhari atatoka kaburini, basi ataalimu amri. 59 00:12:02,14 --> 00:12:17,10 Muslim bin Hijaj Nishaburi na wafuasi wake wote watasalimu amri(watakubali kushindwa) 60 00:12:17,17 --> 00:12:36,08 katika wanahadithi wote wa tafsiri za Ahli sunna na za shia hawana nguvu za kupinga, 61 00:12:36,14 --> 00:12:58,10 vigogo vya watu wa hadithi kutoka Ahli sunna kwa mfano Bukhari, nayo pia katika milango mitatu[kutoka katika milango ya kitabu Sahihi], 62 00:12:58,23 --> 00:13:05,18 na kutoka shia mfano Sheikh Mufid, 63 00:13:09,01 --> 00:13:20,17 kutoka Ahl sunna mfano Fakhari Razi, Hakim Nishaburi, 64 00:13:26,24 --> 00:13:37,05 kutoka shia mfano Sheikh Tusi, Sheikh Saduq. 65 00:13:39,07 --> 00:13:46,01 hadithi kwa usahihi huu, na nguvu hii. 66 00:13:46,06 --> 00:13:53,00 hadithi hii ni lazima ifahamike 67 00:13:53,09 --> 00:14:01,02 ili iwe wazi kuwa mansub wa kesho ni nani. 68 00:14:01,06 --> 00:14:11,05 kisha neno fasli lithibitishwe katika dunia. 69 00:14:11,08 --> 00:14:15,05 hadithi ni hii … 70 00:14:19,12 --> 00:14:30,17 maandiko ambayo vigogo wa hadithi wa kisuni, 71 00:14:31,01 --> 00:14:38,07 wafasiri wakubwa wa kisunni, 72 00:14:40,11 --> 00:14:47,06 wantarehe maarufu wa kisunni, 73 00:14:47,11 --> 00:14:57,23 matabaka yote matatu wamekubalina juu ya hadithi hii kwamba 74 00:14:58,01 --> 00:15:09,16 Mjumbe wa Mwenyezi Mungu alimwambia Ali Murtadha: 75 00:15:10,13 --> 00:15:17,12 "Wewe unatokana na mimi, na mimi ninatokana na wewe", 76 00:15:17,19 --> 00:15:28,12 hizi ni sentensi mbili, lakini ni kama bahari. 77 00:15:28,18 --> 00:15:38,23 Wewe unatokana na mimi, na mimi ninatokana na wewe. 78 00:15:51,08 --> 00:15:53,20 mimi ni nani? 79 00:15:54,00 --> 00:16:01,23 kwanza ni lazima mimi ifahamike, na wewe ifahamike. 80 00:16:02,07 --> 00:16:09,08 mimi ina maana gani. (na) wewe ina maana gani. 81 00:16:10,03 --> 00:16:19,10 kisha ni lazima ifahamike kuwa mimi, ni mimi gani. Na wewe, ni wewe gani. 82 00:16:19,15 --> 00:16:27,23 Kwanza: mimi siye yule ambaye niliyemo ndani ya nguo yangu, 83 00:16:28,02 --> 00:16:33,15 mimi,si[akiashiria kichwani] hiki, 84 00:16:33,19 --> 00:16:36,19 mimi[akiashiria mkono] ni huu, 85 00:16:36,22 --> 00:16:40,22 kuanzia kichwani mpaka miguuni si mimi, 86 00:16:40,24 --> 00:16:48,05 hiki ni kichwa changu, si mimi, 87 00:16:48,09 --> 00:16:53,01 huu ni mkono wangu, si mimi, 88 00:16:53,03 --> 00:16:58,17 hili ni jicho langu, si mimi, 89 00:16:58,19 --> 00:17:03,21 huu ni moyo wangu, si mimi, 90 00:17:03,24 --> 00:17:08,23 huu ni ubongo wangu, si mimi, 91 00:17:09,01 --> 00:17:17,04 mimi mwenyewe ni nini? Huo umimi ni nini? 92 00:17:20,06 --> 00:17:23,05 na wewe ndio hivyo hivyo. 93 00:17:23,09 --> 00:17:29,11 huyu ambaye amekaa hapa si wewe, 94 00:17:29,14 --> 00:17:34,22 huu ni mwili wako, na si wewe. 95 00:17:35,01 --> 00:17:43,15 muzafeh si sawa na muzafeh ilaih. 96 00:17:46,11 --> 00:18:02,06 huo aaniyyat, huo ndio uhakika halisi ya kuubwa binadamu, 97 00:18:02,10 --> 00:18:09,12 na huo hauwezi kubadilika. 98 00:18:13,14 --> 00:18:16,13 mwili huu, 99 00:18:21,16 --> 00:18:29,04 siku unakuwa mdogo , na siku (nyengine) unakuwa mkubwa. 100 00:18:29,08 --> 00:18:34,06 viungo vinabadilika, 101 00:18:39,08 --> 00:18:44,15 vinabadilika kimoja baada ya chengine, 102 00:18:47,20 --> 00:18:56,07 lakini ule umimi unabakia kuanzia mwanzo mpaka mwisho. 103 00:18:56,11 --> 00:19:02,08 viungo vyote hivi ni vyenye kubadilika. 104 00:19:02,10 --> 00:19:09,18 mwili wetu unabadilika unakuwa na kuwa chakula, 105 00:19:09,22 --> 00:19:12,24 lakini ule umimi ambao 106 00:19:13,02 --> 00:19:21,14 miaka thelathini iliyopita nilikuwa mimi ambaye nikisema hivi, 107 00:19:21,16 --> 00:19:27,06 sasa pia mimi yule yule ninasema hivi, 108 00:19:27,10 --> 00:19:38,13 kesho pia mwili huu unaoza chini ya udongo, 109 00:19:38,17 --> 00:19:42,19 [lakini] ule umimi hautooza pamoja (na mwili). 110 00:19:42,23 --> 00:19:57,14 sasa, ule uhakika wangu mimi, uhakika wako wewe, basi unakuwa katika hatua tofauti. 111 00:19:57,19 --> 00:20:11,17 aaniyyat wa kila mtu umefungamana na aani ambao unajengwa nao. 112 00:20:11,20 --> 00:20:37,18 kisha baada ya hali hiyo ikiwa ni atakuwa na ukamilifu wa akili na elimu na tabia njema, 113 00:20:37,22 --> 00:20:51,09 hukuwa umimi huo kwa elimu na utukufu wa kinafsi. 114 00:20:51,13 --> 00:21:00,17 ukuuzi wake ni elimu na subira na uvumilivu. 115 00:21:03,23 --> 00:21:11,14 kuvu zake huwa ni hekima. 116 00:21:11,19 --> 00:21:27,06 basi huo uhakika wa aaniyyat, huwa na tofauti hii miongoni mwa watu. 117 00:21:27,20 --> 00:21:34,07 baada ya kufika katika ukamilifu wa kielimu, 118 00:21:36,01 --> 00:21:40,07 kinadharia (huwa) ametimilia, 119 00:21:40,23 --> 00:21:44,10 kimatendo (huwa) amefika mwisho, 120 00:21:44,17 --> 00:21:54,22 wakati zikiondoshwa hasira na dhambi za kinafsi, 121 00:21:55,05 --> 00:22:09,24 muda huo hupata nguvu na uwezo na kufikia kuwa kiongo na ulimwengu wa ghaibu, 122 00:22:10,05 --> 00:22:16,08 hivi sasa wote wako katika Mulk. 123 00:22:16,12 --> 00:22:23,20 daraja ambalo ni chaguo la viumbe, 124 00:22:24,02 --> 00:22:35,12 hufika kuwa ni mpaka wa mwisho baina ya yaliojificha na yaliyodhahiri, na baina ya Mulk na Malakut. 125 00:22:35,17 --> 00:22:41,18 wakati akifika (daraja) hii, hupata utume. 126 00:22:45,22 --> 00:23:04,00 baada ya huo umimi kukamilika kwa kamali ya elimu na vitendo, 127 00:23:04,05 --> 00:23:09,22 husafishwa na kila ouvu na dhambi, 128 00:23:10,00 --> 00:23:20,17 wakati huo hupata nguvu na uwezo wa kuwaunganishwa na nuru ya Mwenyezi Mungu, 129 00:23:20,24 --> 00:23:25,19 na huwa ni cheo cha Wahy na Unabii. 130 00:23:25,23 --> 00:23:37,09 kisha baada ya hatua hiyo ni kwa kiasi gani anapaswa kuwa juu zaidi 131 00:23:38,01 --> 00:23:48,07 na kwa kiasi gani aaniyyat hii inapaswa kukamilika 132 00:23:48,16 --> 00:23:52,19 ili afike katika daraja ambayo 133 00:23:53,02 --> 00:24:05,12 ya cheo cha kustahamili kupokea(wahy) na kufikia cheo cha kufikisha, 134 00:24:08,00 --> 00:24:17,04 kutoka hatua ya kupewa na kufikia hatua ya kutoa. 135 00:24:17,11 --> 00:24:23,24 baada ya kufikia katika hatua hii, anakuwa Mtume. 136 00:24:24,02 --> 00:24:34,01 kisha ni kwa kiasi gani hiyo aaniyyat, 137 00:24:34,22 --> 00:24:49,05 baada ya hatua hiyo na hatua nyengine- za ukamilifu wa elimu na vitendo na unabii na utume- 138 00:24:49,11 --> 00:25:00,14 inafikia cheo ambaco anaweza kupewa kitabu, 139 00:25:00,19 --> 00:25:05,14 wakati huo huwa Ulul_Kitab. 140 00:25:06,13 --> 00:25:18,05 kisha pia baada ya hatua hii nini kinaendelea mbele, 141 00:25:18,11 --> 00:25:29,09 kisha unafika katika cheo ambacho hakisemeki, 142 00:25:29,14 --> 00:25:40,11 natija yake inakuwa ni kufika katika mipaka ya Azm, ambapo 143 00:25:40,15 --> 00:25:46,07 huucha kila kitu isipokuwa Mwenyezi Mungu, 144 00:25:46,11 --> 00:25:51,04 wakati huo huwa Ulul-Azm. 145 00:25:51,08 --> 00:25:57,00 baada ya kuwa Ulul-Azm 146 00:25:59,19 --> 00:26:05,24 hapa sasa akili haziwezi kufahamu tena, 147 00:26:06,03 --> 00:26:13,15 [na] maelezo ya kila mwenye muelezaji hayawezi kusema. 148 00:26:13,18 --> 00:26:23,00 kutoka hatua hii nini kinapaswa kufanyika 149 00:26:23,05 --> 00:26:36,10 ili iwe ni natija ya ukamilifu wote wa elimu na vitendo ulimwenguni. 150 00:26:37,06 --> 00:26:42,12 wakati ikifika katika hatua hii, 151 00:26:42,15 --> 00:26:50,05 kile kinachowezekana kwa kile kilichotabiriwa ni hiki: 152 00:26:50,08 --> 00:26:58,03 watu wote, na kila mwanadamu, 153 00:26:58,05 --> 00:27:04,07 akili zote ,na kila akili, 154 00:27:04,10 --> 00:27:09,16 elimu zote, na kila elimu elimu, 155 00:27:09,20 --> 00:27:15,16 wakati ikifika katika hatua hii huwa Khatam. 156 00:27:15,18 --> 00:27:22,17 "Muhammad si baba wa yeyote katika wanaume wenu 157 00:27:22,21 --> 00:27:29,23 lakini ni Mtume wa Mwenyezi Mungu na mwisho wa Mitume 158 00:27:30,02 --> 00:27:35,19 kisha inakuwa Khatam. Ina maana gani? 159 00:27:35,22 --> 00:27:46,24 yaani kuubwa, kupewa utume, yote hufika mwisho wa natija. 160 00:27:47,08 --> 00:27:54,04 bila shaka Ilaih Wujud anakuwa ni nukta moja, 161 00:27:54,08 --> 00:27:56,24 na nukta hiyo inakuwa ni Khatam. 162 00:27:57,02 --> 00:28:02,22 Imam wa Maimau walioongoka, 163 00:28:03,01 --> 00:28:09,11 Nabii wa Manabii na Mursalina, 164 00:28:10,07 --> 00:28:19,10 ni Mtume, lakini Mitume ni 123 Elfu. 165 00:28:19,13 --> 00:28:27,18 ni Imam, lakini ni Imam wa mwanzo na mwisho. 166 00:28:27,22 --> 00:28:35,23 huu ndio uhakika wa umimi ambao umekuja katika riwaya hii: 167 00:28:35,24 --> 00:28:39,13 Ewe Ali wewe unatokana na mimi. 168 00:28:39,15 --> 00:28:47,23 hakusema wewe ni unatokana na mwili wangu, alisema wewe unatokana na mimi. 169 00:28:48,02 --> 00:28:56,24 Bukhari wewe hadithi hii umeiandika sehemu tatu, Je ulielewa? 170 00:28:59,04 --> 00:29:10,24 Fakhri Razi ameizungumzia sana katika somo la hikmat Mashriqiyeh, 171 00:29:11,03 --> 00:29:15,22 je wakati ulipoiandika hadithi hii 172 00:29:16,02 --> 00:29:23,18 ulifahamu, ina maana gani "Ewe Ali wewe unatokana na mimi"? 173 00:29:23,22 --> 00:29:28,07 nini maana ya neno hili? 174 00:29:28,11 --> 00:29:33,18 maana ya neno hili si zaidi ya kwamba 175 00:29:33,22 --> 00:29:44,22 aaniyyat yangu na wewe ni moja, lakini viwiliwili ni viwili. 176 00:29:45,02 --> 00:29:48,04 wewe unatokana na mimi. 177 00:29:54,09 --> 00:30:03,13 wale ambao wamefika katika daraja ya juu ya elimu ya nafsi 178 00:30:03,18 --> 00:30:15,14 huona uhakika wa umimi, bila (ya kushabihisha) na mkono na mguu, au kichwa na kiwiliwili, 179 00:30:15,16 --> 00:30:29,02 wao wanelewa mimi ni nini , na wewe unatokana na mimi ina maana gani. 180 00:30:29,04 --> 00:30:34,21 maana ya neno hilo ni hii. 181 00:30:35,17 --> 00:30:44,11 hiyo elimu ….. Zingatieni kwa makini, katika maneno haya mawili: 182 00:30:44,13 --> 00:30:56,12 ukamilifu wote unaisha kwa neno moja kwa fikra za mwenye kufikiria, 183 00:30:56,16 --> 00:31:13,03 na hiyo elimu ambayo inatabiriwa kwa lugha ya kiutaalamu kuwa ni nadharia ya hekima. 184 00:31:14,00 --> 00:31:28,21 ukamilifu wote wa vitendo unafika mwisho kwa kufika mwisho ukamilifu wa kuubwa, 185 00:31:28,24 --> 00:31:37,03 wakati huo iko wapi hiyo nukta ya mwisho ya ukamilifu wa elimu? 186 00:31:37,07 --> 00:31:44,19 "na amekufundisha yale uliyokuwa huyajui 187 00:31:44,22 --> 00:31:51,05 na hakika fadhila za Mwenyezi Mungu juu yako ni kubwa 188 00:31:51,09 --> 00:31:54,22 hii ni elimu gani? 189 00:31:55,03 --> 00:31:59,00 hii ni elimu gani ambayo 190 00:31:59,03 --> 00:32:07,01 Mwenyezi Mungu tukufu anamwambia Mtume wake: 191 00:32:07,03 --> 00:32:09,14 Elimu yako ni tukufu? 192 00:32:09,17 --> 00:32:13,17 Utukufu wa elimu hii …, 193 00:32:16,20 --> 00:32:25,23 elimu hii na utukufu huu, si elimu ya Mussa, wala si elimu ya Ibrahim, 194 00:32:26,02 --> 00:32:31,21 "na amekufundisha yale uliyokuwa huyajui 195 00:32:31,23 --> 00:32:35,11 haya ni maandiko ya maneno ya Mwenyezi Mungu, 196 00:32:35,12 --> 00:32:42,09 na hakika fadhila za Mwenyezi Mungu juu yako ni kubwa 197 00:32:42,12 --> 00:32:54,03 huu ni upande wa nadharia yake ya hekima, na ukamilfu wa akili yake. 198 00:32:54,05 --> 00:32:58,14 lakini upande wa hekima ya matendo: 199 00:32:58,17 --> 00:33:03,03 imefika wake? 200 00:33:03,06 --> 00:33:08,19 "Na bila shaka unatabia njema, tukufu 201 00:33:08,21 --> 00:33:13,18 hii pia ni kuhusiana na hekima yake ya kimatendo. 202 00:33:13,22 --> 00:33:23,00 wakati huu kwa kuegemea elimu hii ndio (ikapatikana) nadharia. 203 00:33:23,04 --> 00:33:26,15 kwa kuegemea tabia hii ndio (vikapatikana) vitendo. 204 00:33:26,18 --> 00:33:30,21 hii ni maana ya hadithi hii: 205 00:33:30,23 --> 00:33:37,13 hizo elimu zote, akili zote, na kila akili, 206 00:33:37,16 --> 00:33:42,10 hao viumbe wote, na kila kiumbe, 207 00:33:42,12 --> 00:33:49,13 hizo elimu bora, hizo matendo bora, ambayo 208 00:33:49,16 --> 00:33:59,02 Mussa, Issa, Ibrahim zote ziko chini ya himaya yake, 209 00:33:59,08 --> 00:34:02,19 yote hayo yamegawiwa sehemu mbili: 210 00:34:02,22 --> 00:34:07,09 moja ni sehemu ya Muhammad, na nyengine ni sehemu ya Ali. 211 00:34:07,10 --> 00:34:12,06 hii ndio maana ya neno hili. 212 00:34:12,24 --> 00:34:17,17 kisha inafika zamu ya kuwa mimi ninatokana na wewe, 213 00:34:18,06 --> 00:34:22,19 ufafanuzi wa jambo hili ni mpana. 214 00:34:22,23 --> 00:34:28,09 dunia kama inaweza basi itowe jawabu. 215 00:34:28,13 --> 00:34:40,11 wakati maandiko ya hadithi hii ni sahihi, kama unapinga, basi unapinga sunna. 216 00:34:40,15 --> 00:34:45,06 [na] anayepinga sunna, basi anapinga Qur`ani: 217 00:34:45,10 --> 00:34:49,23 "Na kile anachokupeni Mtume basi kipokeeni. 218 00:34:49,24 --> 00:34:52,21 hii ni amri ya Mwenyezi Mungu, 219 00:34:52,23 --> 00:35:00,06 hii pia ni sunna ambayo imekuja moja kwa moja kwake. 220 00:35:00,09 --> 00:35:05,13 wakati maandiko ya maneno yake ni haya, 221 00:35:05,15 --> 00:35:09,23 Wewe unatokana na mimi, na mimi ninatokana na wewe, 222 00:35:10,02 --> 00:35:18,08 muhula baina yake na Ali kwa mgeni ina maana gani? 223 00:35:18,13 --> 00:35:24,01 huu ni ushahidi wa kuwa Ukhalifa moja kwa moja ni kwa Ali. 224 00:35:24,03 --> 00:35:31,15 kama wanaweza basi (wanazuoni wa) Azhar yote ya Misri waleje jawabu. 225 00:35:31,19 --> 00:35:36,04 si suala la mchezo wa kitoto. 226 00:35:36,06 --> 00:35:38,21 mansub ni hii, 227 00:35:39,02 --> 00:35:47,06 mtu ambaye amenasibishwa, ni hazina ambayo kwamba 228 00:35:47,10 --> 00:35:52,09 hazina hiyo imegawiwa sehemu mbili: 229 00:35:52,12 --> 00:35:58,15 sehemu moja imetoka katika fomu ya Ahmad, 230 00:35:58,19 --> 00:36:04,11 na sehemu nyengine imetoka katika fomu ya Haidar, 231 00:36:04,15 --> 00:36:10,00 "wewe unatokana na mimi, na mimi ninatokana na wewe". 232 00:36:10,03 --> 00:36:18,06 Bukhari wewe umeandika hivi, unafahamu alichosema Mtume? 233 00:36:18,11 --> 00:36:30,06 muhula baina yake na wao na kutokujua (kwao) unakubaliana na mantiki ipi? 234 00:36:30,10 --> 00:36:38,09 hii ni akili, kitabu, na sunna. 235 00:36:39,12 --> 00:36:48,11 ikiwa yeye anatikana na Mtume, (na) ikiwa Nabii wa mwisho anatokana na yeye, 236 00:36:49,08 --> 00:36:57,18 ikiwa kuna mafungamano haya baina ya sehemu hizi mbili, 237 00:36:57,23 --> 00:37:05,04 je , hakuainisha nafasi baada ya Mtume 238 00:37:05,09 --> 00:37:14,12 na baina ya Mtume wa mwisho na yeye kulikuwa na mihula mitatu , 239 00:37:14,17 --> 00:37:26,16 je huku si , kukitanguliza kilichobora kuliko kilichobora zaidi? 240 00:37:26,21 --> 00:37:34,02 ikiwa ni hivyo,(je )haikubaliki hukumu ya akili na kitabu na sunna, 241 00:37:34,06 --> 00:37:45,10 kwa hivyo maandiko ya upotoshaji yameondolewa, kwa mtu ambaye anapinga ukhalifa wa Ali mara tu (baada ya kufa Mtume).