0 00:00:00,07 --> 00:00:06,05 Maelezo ya Ayatullah Al_udhma Wahid Khorasani kuhusiana na cheo cha majina ya Fatimah Zahraa(A.S) 1 00:00:07,05 --> 00:00:10,05 Jumatano 16/2/1388 Shamsi = 11/5/1430 Qamari = 6/5/2009 Miladi 2 00:00:11,17 --> 00:00:17,05 Kwa jina la Mwenyezi Mungu, Mwingi wa Rehema, Mwenye Kurehemu 3 00:00:17,14 --> 00:00:23,10 Kila sifa njema ni za Mwenyezi Mungu, Mola wa viumbe 4 00:00:24,15 --> 00:00:42,05 Na ziada -rehema na amani ziwe juu ya Mtume na kizazi chake kitakasifu 5 00:00:42,23 --> 00:00:49,21 hasa hasa mbaki wa Mwenyezi Mungu katika ulimwengu 6 00:00:51,21 --> 00:00:59,12 na laana ziwe juu ya maadui zake hadi siku ya mwisho 7 00:01:01,03 --> 00:01:29,05 Lsomo la tafsiri la leo tutalibadilisha ili tuzungumzie mnasaba wa masiku ya Fatimah katika kumjua Swidiqatul Kubra 8 00:01:30,11 --> 00:01:36,00 aliyesahaulika thamani yake 9 00:01:39,11 --> 00:01:51,19 Riwaya hii ambayo Sheikh wa wanahadithi, Sadduq 10 00:01:53,17 --> 00:02:13,04 ameinakili katika Khisal, katika A`amal, pia katika U`yun 11 00:02:14,10 --> 00:02:24,19 kwa ajili ya wana hadithi 12 00:02:25,01 --> 00:02:37,20 inatosha kuonesha utukufu (wa Fatimah) 13 00:02:43,05 --> 00:02:48,02 mazingatio ya hadithi hii ni haya 14 00:02:48,11 --> 00:03:03,07 Fatimah ana majina 9 mbele ya Mwenyezi Mungu 15 00:03:04,12 --> 00:03:10,19 sentensi hii pekee inatosha 16 00:03:15,24 --> 00:03:33,08 kuwa na ukaribu, ni cheo kisichofikiwa na chengine 17 00:03:34,03 --> 00:03:46,12 katika makao mazuri karibu na mfalme mwenye uwezo 18 00:03:47,02 --> 00:03:58,05 nafasi hii, ndio nafasi ya jina la Fatimah Zahraa 19 00:03:58,20 --> 00:04:11,21 kama majina yake yatakuwa (na cheo cha) ukaribu na Mwenyezi Mungu 20 00:04:13,22 --> 00:04:21,04 jina na pia elimu ya mpewa jina 21 00:04:21,15 --> 00:04:39,17 mafungamano ya jina na aliyepewa jina yatajuilikana 22 00:04:40,11 --> 00:04:47,14 kutoka kwa mwenye hekima na mjuzi 23 00:04:50,02 --> 00:04:53,08 majina hayo ni yepi? 24 00:04:53,17 --> 00:05:04,22 kwanza:Fatimah, pili:Swidiqat 25 00:05:06,23 --> 00:05:21,21 tatu: Mubarakat. Leo (tutalizungumzia) jina hili tu, na 26 00:05:23,03 --> 00:05:40,09 na pia tutazungumzia kwa ufupi kipengele kimoja tu, kati ya vipengele kumi vya jina hili 27 00:05:40,23 --> 00:05:54,04 jukumu lenu leo ni hili 28 00:05:54,06 --> 00:06:04,08 kiasi kidogo mtakachokielewa 29 00:06:05,12 --> 00:06:11,10 kieleweni kwa undani wake, 30 00:06:12,22 --> 00:06:23,03 na kisha muwafahamishe watu wote 31 00:06:23,19 --> 00:06:33,16 ili wafahamu kuwa katika tarehe 13 ya mwezi huu[Jamadil Awwal], 32 00:06:33,17 --> 00:06:49,14 (masiku) ya Fatimah yanaanza, na kuisha tarehe tatu Jamadil Athani 33 00:06:49,23 --> 00:07:10,06 kukumbuka na kusambaza sifa na fadhila zake, zifikishwe vipi 34 00:07:10,07 --> 00:07:33,03 ili watu katika siku ya tarehe tatu mwezi ujao[Jamadil Athani], waandamane nchi mzima 35 00:07:33,15 --> 00:07:48,02 angalau iwe ni kitulizo juu ya moyo wenye jeraha wa Mtume wa mwisho, 36 00:07:49,12 --> 00:07:58,01 mpaka (kwa) mwanawe wa mwisho katika Maasumiina, 37 00:07:59,02 --> 00:08:08,08 yaani mtu ambaye wadhifa huo ni wa kwake pekee … 38 00:08:09,19 --> 00:08:13,18 rejea katika [kitabu] Kaafi 39 00:08:14,11 --> 00:08:26,12 yeye ni mtu pekee ambaye atakuja kwenye kaburi (la Fatimah), na 40 00:08:26,14 --> 00:08:34,12 ataionesha dunia lile kaburi lililofichikana, na 41 00:08:35,09 --> 00:08:46,10 kisha pia ataweka wazi kilichopita ni kipi, na kilchokuwepo ni kipi 42 00:08:47,11 --> 00:09:03,04 Al-Mubarakat, ni jina ambalo limechaguliwa na Mwenyezi Mungu 43 00:09:04,10 --> 00:09:08,04 hili ni jina ambalo 44 00:09:08,08 --> 00:09:28,04 Mwenyezi Mungu mwenyewe mtakasifu, alilitambulisha jina la Fatimah Zahraa kwa Issa bin Maryam, 45 00:09:31,19 --> 00:09:38,12 kisa hichi, kinavutia 46 00:09:41,08 --> 00:09:46,10 wakati (Mwenyezi Mungu) alipomwambia Issa: 47 00:09:47,13 --> 00:09:59,02 wewe ni Mtume utakayetoa bishara ya kuja kwa Ahmad 48 00:10:05,08 --> 00:10:16,01 hapo alisema: kizazi chake kinatokana na Mubarakat 49 00:10:17,20 --> 00:10:35,20 kwa misingi hiyo, sasa hivi katika Injili hata baada ya kupotoshwa , athari yake ipo 50 00:10:36,10 --> 00:10:49,14 ni wazi kuwa kuanzia zama za kabla ya kuletwa manabii 51 00:10:49,16 --> 00:10:56,19 majina haya mbele ya Mwenyezi Mungu yalikuwa tayari yameshaainishwa 52 00:10:58,06 --> 00:11:14,15 mbele ya baraka hizi, ni baraka ile pia ambayo Mwenye Mungu ameliingiza katika jina Mubarakat 53 00:11:18,02 --> 00:11:23,23 hapa itafahamika kuwa 54 00:11:23,24 --> 00:11:34,15 ukweli wa sala,utafahamika kuwa ni upi 55 00:11:37,24 --> 00:11:45,09 kisha itafahamika kuwa, anayesali ni yupi 56 00:11:45,16 --> 00:11:56,20 baada ya hapo itafahamika sala na anayesali 57 00:11:57,03 --> 00:12:04,07 mafungamano ya mada, wakati huo yatafahamika 58 00:12:04,20 --> 00:12:14,18 hatumuhesabu yeyote kati yenu kuwa ni mwanazuoni 59 00:12:14,24 --> 00:12:22,20 mpaka ufike wakati afahamu migongano na 60 00:12:22,21 --> 00:12:34,16 undani wa hadithi zetu 61 00:12:36,18 --> 00:12:43,12 hadithi hii, ni (yenye usahihi) mkubwa 62 00:12:45,17 --> 00:12:59,17 na mashekhe watatu, pia wamenakili juu ya usahihi wa hadithi 63 00:13:00,19 --> 00:13:14,02 Muawiyyah bin Wahabi alimuuliza Imam wa sita, 64 00:13:14,19 --> 00:13:23,16 zingatieni swali hili kwani nalo pia (limo) ndani ya hadithi hiyo 65 00:13:25,09 --> 00:13:42,02 kuhusu jambo bora ambalo huwakurubisha waja kwa Mwenyezi Mungu 66 00:13:42,20 --> 00:13:50,20 swali lenyewe, lina sherehe ndefu 67 00:13:51,15 --> 00:13:56,10 aliyeuliza ni yupi? 68 00:13:56,20 --> 00:14:12,05 watu wa fiqhi, na watu wa elimu ya hadithi, muulizaji watamfahamu, 69 00:14:12,10 --> 00:14:20,13 muulizwaji ni nani, na swali ni lipi? 70 00:14:21,23 --> 00:14:31,16 swali juu ya ubora (wa amali) ambayo juu yake hakuna amali nyengine 71 00:14:32,16 --> 00:14:41,04 nalo ni kwa waja wote, bila ya kuchagua 72 00:14:41,23 --> 00:14:49,05 Al-ibad, ni wingi ulioarifishwa kwa (Alif na Laam) 73 00:14:49,13 --> 00:15:10,13 ni ipi amali bora mbele ya Mungu ambayo hujikurubisha kwayo kila mja katika waja wa Mungu, 74 00:15:11,18 --> 00:15:15,11 swali ni hili 75 00:15:17,16 --> 00:15:27,24 majibu yalivyokuwa kwa aliyeuliza yalileta mshangao 76 00:15:28,14 --> 00:15:40,07 katika jawabu (la mtu) kama Jaffar bin Muhammad alieleza hivi 77 00:15:41,05 --> 00:15:55,16 sijui amali bora zaidi kuliko zote 78 00:15:56,15 --> 00:16:20,15 kutojua kwa mtu kama yule ambaye kabeba misingi yote ya elimu ya wa mwanzo na wa mwisho 79 00:16:21,15 --> 00:16:33,01 yaani aliyejibu(swali hilo) ni mtu ambaye, waislamu wote 80 00:16:33,22 --> 00:16:44,01 wanakiri kuwa Jafar ana elimu ya yatakayotokea mpaka siku ya kiama 81 00:16:44,02 --> 00:16:47,06 elimu hiyo anayo 82 00:16:51,07 --> 00:17:03,07 huyo ni mtu ambaye amezingirwa na ufalme wa Mwenyezi Mungu 83 00:17:03,14 --> 00:17:21,18 jibu lake ni hili kwamba, baada ya kumjua Mungu, sioni wala sifahamu kingine zaidi ya sala 84 00:17:22,19 --> 00:17:29,00 katika hadithi hii kuna maneno mawili 85 00:17:31,00 --> 00:17:37,21 swali la muulizaji kuhusu kilicho bora na pekee 86 00:17:38,24 --> 00:17:46,00 kilicho bora ni kipi na cha pekee mbele ya Mwenyezi Mungu ni kipi? 87 00:17:47,02 --> 00:18:05,02 baada ya kutoa jawabu kuwa , kile kilicho bora anachojikurubisha nacho mja kwa Mungu, ni hiki: 88 00:18:05,05 --> 00:18:15,24 kutokana na sala mja hufikia daraja ya juu 89 00:18:16,04 --> 00:18:31,09 sala hiyo ambayo ni hii, na ni njia ya waumini, 90 00:18:31,14 --> 00:18:37,15 na ni kikurubisho cha kila mcha Mungu 91 00:18:37,18 --> 00:18:42,07 na ni ngazi ya muumini 92 00:18:42,09 --> 00:18:52,02 kama sala hii, anayeisali ni Imam wa sita mwenyewe 93 00:18:52,07 --> 00:18:55,23 sala hiyo itakuwa hiyo itakuwa ni sala ipi? 94 00:18:57,01 --> 00:19:03,22 sala ambayo aliisema: 95 00:19:04,01 --> 00:19:23,23 ni jinsi gani nilirejea kusoma surat Hamdu(Iyyaka Naabudu Waiyyaka Nastaiin) 96 00:19:24,00 --> 00:19:33,00 mpaka nikaisikia aya hii kwa Mwenyezi Mungu mwenyewe 97 00:19:35,02 --> 00:19:41,10 hii ndio sala na huyu ndie anaesali 98 00:19:48,10 --> 00:19:53,10 baada ya kufahamika kwa utangulizi huu 99 00:19:58,17 --> 00:20:10,11 na riwaya hii vile vile imepokelewa na mashekhe watatu, yaani 100 00:20:10,14 --> 00:20:29,13 Kulayni, katika Kaafi, Sheikh Twaifa katika Tahdhiib, na Sadduq 101 00:20:29,16 --> 00:20:41,04 wote wamepokea kutoka kwa Abi Khalid Qumat 102 00:20:41,07 --> 00:20:49,09 maneno ya asili ya riwaya lazima yasomwe 103 00:20:59,12 --> 00:21:13,00 alisema, nilimsikia Aba Abdillah(A.S) akisema: 104 00:21:13,03 --> 00:21:32,08 Tasbihi ya Fatimah kila siku 105 00:21:32,21 --> 00:21:38,12 mwishoni mwa kila sala 106 00:21:38,17 --> 00:21:55,19 ni bora kwangu kuliko sala yenye rakaa elfu moja kila siku 107 00:21:55,22 --> 00:22:17,18 katika mkusanyiko wenu , wengi wenu ni waheshimiwa wa Qom, na 108 00:22:17,23 --> 00:22:24,00 wengi wenu ni wakufunzi wa masomo ya nje, na 109 00:22:24,02 --> 00:22:31,17 wengi wenu ni walimu wa ngazi za juu, na 110 00:22:31,20 --> 00:22:38,07 wengine kati yenu ni wapya katika masomo haya 111 00:22:38,09 --> 00:22:55,07 kwa kiwango cha uvumilivu manatarajio ya Sheikh na msomi wa dini 112 00:22:55,09 --> 00:23:06,06 ile nguvu ya elimu ambayo mumeipata, ifanyieni kazi 113 00:23:06,09 --> 00:23:15,19 ifahamuni hadithi hii, na kisha wafahamisheni watu 114 00:23:15,20 --> 00:23:27,21 mpaka wafahamu kwamba siku ya Shahada ya Fatimah Zahraa, inakabiliana na ule usiku ambao 115 00:23:28,00 --> 00:23:37,12 ule mwili(maiti) uliozikwa, walitakiwa kufanya jukumu gani 116 00:23:37,14 --> 00:23:48,24 sala, ni sala ya Imam wa sita, zingatieni kwa makini 117 00:23:49,02 --> 00:24:00,03 rakaa elfu, (zitakuwa) na surat Hamdu elfu moja 118 00:24:04,07 --> 00:24:08,13 surat Hamdu ni nini? 119 00:24:08,16 --> 00:24:15,05 kufahamu hadithi hii, kuna ugumu mno 120 00:24:15,07 --> 00:24:24,13 surat Hamdu ni ile ile sura ambayo kwamba 121 00:24:24,14 --> 00:24:36,13 Mtume wa mwisho alisema: Mungu amenifanyia hisani kwamba 122 00:24:36,15 --> 00:24:42,08 amenishushia hazina ya arshi, na 123 00:24:42,11 --> 00:24:54,14 hazina hiyo ya arshi, ni Fatihatul Kitab. Alinipa hii 124 00:24:54,15 --> 00:25:03,05 upande mmoja alinipa hii, na mwengine akanipa Qur`ani 125 00:25:03,06 --> 00:25:23,02 akasema: hakika tumekupa, Sab-ul Mathani, na Qur`ani tukufu 126 00:25:23,04 --> 00:25:26,06 surat Hamdu ndio hii 127 00:25:26,07 --> 00:25:32,03 hiyo ndio surat Hamdu ambayo Imam wa sita alikuwa akiisoma 128 00:25:32,05 --> 00:25:44,12 kisha sala hii ina rakaa elfu moja 129 00:25:47,12 --> 00:25:54,02 fikiria ndani ya kila rakaa 130 00:25:54,04 --> 00:26:02,12 zaidi ya Hamdu kuna sura nyengine pia aliokuwa akisoma 131 00:26:02,13 --> 00:26:09,12 na sura hiyo, kama ni surat Tauhid ambayo 132 00:26:09,13 --> 00:26:15,10 ni sura bora, kwa mtukufu huyo, na 133 00:26:15,20 --> 00:26:22,24 na kutokana na hadithi sahihi, ni thuluthi ya Qur`ani 134 00:26:23,24 --> 00:26:29,03 kisha, kwa kujumlisha rakaa elfu moja 135 00:26:29,06 --> 00:26:41,13 itakuwa ni kuhitimu Qur`ani mara 333 na zaidi 136 00:26:43,05 --> 00:26:50,17 sala ambayo baada ya kumalizika kwa rukuu 137 00:26:51,14 --> 00:26:56,05 basi litukuze jina la Mola wako mwenye utukufu 138 00:26:56,10 --> 00:27:02,04 kisha huisha kwa sijida 139 00:27:02,16 --> 00:27:07,05 Litakase jina la Mola wako aliye mtukufu 140 00:27:07,08 --> 00:27:17,11 kisha wakati wa kusujudu ambao, kutokana na hadithi sahihi vile vile 141 00:27:17,14 --> 00:27:27,00 amali bora ya mja ambayo humkurubisha mbele ya Mungu 142 00:27:27,05 --> 00:27:31,19 ni ule wakati ambao anasujudu 143 00:27:32,06 --> 00:27:39,01 sala ya Jafar bin Muhammad, ilikuwa ni sala ya namna hii 144 00:27:39,04 --> 00:27:47,14 wakati huo sala na surat Hamdu elfu moja, na 145 00:27:47,16 --> 00:27:59,10 sala inayohitimu Qur`ani mara 333 na zaidi, na 146 00:27:59,13 --> 00:28:09,24 sala na sijida ya namna hiyo na kule kujikurubisha kwa Mola 147 00:28:10,03 --> 00:28:16,20 rakaa zote hizi elfu moja aliziweka pembeni 148 00:28:16,23 --> 00:28:19,15 kisha akasema: 149 00:28:19,18 --> 00:28:30,02 Tasbihi ya Fatimah Zahraa, kwangu mimi ni bora kuliko rakaa hizi elfu moja 150 00:28:30,06 --> 00:28:35,05 hii ndio maana ya jina Mubarakat 151 00:28:35,08 --> 00:28:43,19 Tasbihi hizi zimepata wapi baraka hii? 152 00:28:43,21 --> 00:28:53,10 cha kusikitisha ni kwamba, akili haijui 153 00:28:55,13 --> 00:29:03,19 ni ukaribu gani huu, na ni cheo gani ambapo kwamba 154 00:29:03,23 --> 00:29:15,12 Mwenyezi Mungu humtumia zawadi, kwa anuawani ya tasbihi ya Fatimah 155 00:29:15,15 --> 00:29:25,17 kisha zawahi hii ambayo Mungu humtumia 156 00:29:25,19 --> 00:29:35,02 katika jambo hili,humpa kiasi hicho cha baraka 157 00:29:35,03 --> 00:29:51,22 kiongozi wa madhehebu, tasbihi hizi mia moja anaziboresha kuliko rakaa elfu moja za sala yake 158 00:29:55,11 --> 00:30:00,09 daraja hii, ni daraja kubwa kiasi gani? 159 00:30:04,10 --> 00:30:10,18 imepita, hakuna aliyemjua 160 00:30:12,20 --> 00:30:23,23 mwenyewe ameondoka ulimwenguni, lakini akiwa na sifa hii: 161 00:30:24,00 --> 00:30:28,01 aliyesahaulika thamani yake 162 00:30:30,18 --> 00:30:37,16 hii inatosha katika siku ambayo 163 00:30:37,17 --> 00:30:44,00 siku hiyo kipimo(mzani) utakuwa sawa (wa haki) 164 00:30:44,04 --> 00:30:54,14 katika siku hiyo ambayo siri hii itakuwa wazi 165 00:30:54,17 --> 00:31:10,15 kila kilichojificha, lazima katika siku hiyo kitajulikana (na kutolewa) hukumu: 166 00:31:10,22 --> 00:31:18,01 nao (pia) watahudhuria mbele ya Mwenyezi Mungu, mmoja mwenye nguvu 167 00:31:18,03 --> 00:31:27,04 wakati huo katika siku hiyo, mada itakuwa ni hiyo kwamba 168 00:31:27,07 --> 00:31:40,13 wakati watakapofufuliwa na kufika kwenye uwanja wa hesabu 169 00:31:40,16 --> 00:31:46,16 watakuja kwa namna hii 170 00:31:49,19 --> 00:32:01,09 ile baraka ambayo mfano wake uliotajwa ndani ya tasbihi ya Fatimah 171 00:32:01,12 --> 00:32:10,05 utukufu wake utaonekana katika siku hiyo 172 00:32:10,07 --> 00:32:23,24 atakuwa juu ya ngamia , ni ngamia gani? Sherehe ya ngamia huyo ni ndefu 173 00:32:24,18 --> 00:32:31,18 juu ya ngamia huyo, kutakuwa na kuba 174 00:32:37,19 --> 00:32:44,02 kamba ya ngamia huyo itakuwa mikoni mwa nani? 175 00:32:45,00 --> 00:32:49,10 kuliani mwa ngamia huyo, kutakuwa na nini? 176 00:32:49,13 --> 00:32:55,07 kushoto mwa ngamia, kutakuwa na nini? 177 00:32:55,10 --> 00:33:00,08 mbele ya ngamia kutakuwa na nini? 178 00:33:03,20 --> 00:33:15,10 ama upande wa kulia kwake, kutakuwa na malaika mukaribina 70 elfu 179 00:33:15,24 --> 00:33:27,01 ama upande wa kushoto kwake, kutakuwa na malaika mukaribina 70 elfu 180 00:33:27,08 --> 00:33:33,21 mbele yake, kutakuwa na malaika 70 elfu, ambao 181 00:33:33,23 --> 00:33:40,09 mikononi mwao kuna zana za Tasbihi 182 00:33:40,11 --> 00:33:46,03 hatamu ya ngamia iko mikononi mwa nani? 183 00:33:46,06 --> 00:33:52,14 hatamu ya ngamia iko mikononi mwa mtu ambaye 184 00:33:52,20 --> 00:34:05,01 mikono ya Mitume 124 elfu, ilikuwa ikisubiri mkono huo 185 00:34:05,12 --> 00:34:12,07 huo ndio mkono utakaoshika hatamu ya ngamia wake 186 00:34:12,11 --> 00:34:24,02 mkono ambao Nabii Ibrahim alikuwa akiusubiri, mpaka Suhufi zikamfikia mikono mwake 187 00:34:24,06 --> 00:34:37,00 mkono ambao Kalima Allah alikuwa akingojewa mpaka akapa Taurat 188 00:34:37,01 --> 00:34:45,20 mkono ambao Roho Allah, aliusubiri mpaka akapa Injili 189 00:34:45,21 --> 00:34:56,10 mkono ambao Mtume wa mwisho aliusubiri, mpaka akapata Qu`ani 190 00:34:56,12 --> 00:35:03,10 mkono huu ndio utakaoshika hatamu ya ngamia wa Zahraa 191 00:35:03,12 --> 00:35:11,12 akasema: hatamu ya ngamia iko mikononi mwa Jibrili 192 00:35:13,00 --> 00:35:16,08 lakini itakuwaje hali ya kuba? 193 00:35:16,10 --> 00:35:24,22 kunaonekana dhahiri yake kutokana na batini 194 00:35:25,00 --> 00:35:29,10 na batini yake kutokana na dhahiri yake 195 00:35:29,14 --> 00:35:33,21 (batini)ndani yake kuna msamaha wa Mwenyezi Mungu 196 00:35:33,23 --> 00:35:39,10 (dhahiri)nje yake kuna rehema za Mwenyezi Mungu 197 00:35:39,12 --> 00:35:47,06 wapi sisi tulipomfahamu Zahraa? 198 00:35:47,08 --> 00:35:58,15 wapi sisi tumejua ni mwili gani uliotangulia ardhini? Kwamba 199 00:35:58,17 --> 00:36:05,04 wakati mwili huo alipoukabidhi kwa Mtume, alisema: 200 00:36:05,09 --> 00:36:10,19 moyo wangu kwa hili ni mahabusu na unashindwa kupumua 201 00:36:10,22 --> 00:36:16,19 Natamani kama ungerudi, ili moyo wangu upate kupumua 202 00:36:18,20 --> 00:36:24,00 batwini yake ni msamaha wa Mwenyezi Mungu 203 00:36:24,10 --> 00:36:29,10 dhahiri yake ni rehema za Mwenyezi Mungu 204 00:36:33,16 --> 00:36:42,23 kiini chote cha mada kimo katika neno hili 205 00:36:44,02 --> 00:36:54,16 madhambi yote ya ulimwengu yatakuwa katika msamaha wa Mwenyezi Mungu 206 00:36:55,01 --> 00:37:04,24 kheri zote za ulimwengu zitafikiwa na rehema za Mwenyezi Mungu 207 00:37:06,24 --> 00:37:16,11 Zahraa atakuwa ndani ya kuba ambayo, ndani ya kuba hiyo, ni msamaha wa Mwenyezi Mungu 208 00:37:16,16 --> 00:37:27,13 yaani kalamu ya kufuta madhambi yote itakuwa katika mikono ya Zahraa 209 00:37:27,18 --> 00:37:34,03 nje ya kuba hiyo, ni rehema za Mwenyezi Mungu 210 00:37:34,08 --> 00:37:46,00 yaani rehema zote, zitamfikia kila (mja mwema) mwenye kutaka rehema 211 00:37:46,05 --> 00:37:54,14 kiunganishi wa rehema hizo, ni Zahraa 212 00:37:55,16 --> 00:38:00,18 aliyesahaulika thamani yake 213 00:38:00,20 --> 00:38:04,14 hapa ni mwisho wa maneno: 214 00:38:04,16 --> 00:38:13,10 Jibrili mwenyewe atanadi , atasema: 215 00:38:13,12 --> 00:38:19,24 enyi watu mliokusanyika, fumbeni macho yenu 216 00:38:20,00 --> 00:38:24,17 inamisheni vichwa vyenu chini 217 00:38:24,20 --> 00:38:29,15 kile ninachotaka kukisema, ni neno hili 218 00:38:31,17 --> 00:38:39,16 riwaya hii ya Mtume, kutoka kwa Baqiril Ulum 219 00:38:39,18 --> 00:38:45,19 kutoka kwa Jabir bin Abdillah, kutoka kwa Mtume 220 00:38:45,22 --> 00:38:50,02 katika hadithi , mada ni hii: 221 00:38:50,04 --> 00:39:06,04 hakutokuwa na Nabii yoyote wala Mjumbe 222 00:39:06,07 --> 00:39:17,23 wala mkweli wala Shahidi 223 00:39:18,01 --> 00:39:23,20 hakutokuwa zaidi ya matabaka haya manne 224 00:39:23,21 --> 00:39:33,05 hatobaki Nabii, wala Mjumbe, wala Mkweli, wala Shahidi 225 00:39:33,07 --> 00:39:39,04 isipokuwa watafumba macho yao 226 00:39:39,07 --> 00:39:44,17 hii ni daraja gani, na hichi ni cheo gani 227 00:39:44,20 --> 00:39:53,10 nani anajua yeye alikuwa ni nani, na kilipita nini juu yake? 228 00:39:55,15 --> 00:40:07,13 sawa, yale yaliyofichikana siku moja yatakuwa wazi 229 00:40:07,15 --> 00:40:12,20 ninasema neo moja tu, neno wenyewe ni hili 230 00:40:12,22 --> 00:40:22,17 nyote munajua Amiri Muuminiina alikuwa na moyo wa kiasi gani 231 00:40:25,19 --> 00:40:33,06 nyote munafahamu, alikuwa na mkono(uwezo) wa aina 232 00:40:33,08 --> 00:40:43,20 nyote munajua , alikuwa na nguvu za kiasi gani, na alikuwa na subira kiasi gani 233 00:40:43,23 --> 00:40:51,08 fikiria juu ya usiku aliolala katika kitanda cha Mtume 234 00:40:51,11 --> 00:41:04,08 vuta hisia juu ya vita ya Khaibar, na Ahzab 235 00:41:04,10 --> 00:41:08,19 kisha fikiria katika neno hili 236 00:41:08,23 --> 00:41:23,06 wakati taarifa za kukabidhi roho yake zilipomfikia Amiri Muuminiina 237 00:41:23,14 --> 00:41:30,08 alianguka kiuso uso