0 00:00:01,503 --> 00:00:04,331 lile ambalo linawezekana soma Qur`ani na uitoe zawadi kwa Imam Zamani(a.s), 1 00:00:04,693 --> 00:00:08,219 huyu ndiye Imam Zamani(a.s) 2 00:00:08,620 --> 00:00:13,270 someni surat Shams: 3 00:00:13,642 --> 00:00:16,510 Naapa kwa jua na mwanga wake 4 00:00:16,866 --> 00:00:20,724 Na kwa mwezi unapoliandama 5 00:00:21,144 --> 00:00:26,207 Na kwa mchana unapolidhihirisha. 6 00:00:26,645 --> 00:00:30,206 maneno matatu yamefuatana: 7 00:00:30,664 --> 00:00:37,904 hilo jua, taawili yake ni Mtume wa mwisho, 8 00:00:37,957 --> 00:00:42,642 na huo mwezi, taawili yake ni Amiril Muuminiina, 9 00:00:42,912 --> 00:00:51,868 na mchana huo, taawili yake ni Hujat bin Al_Hassan. Na kwa mchana unapolidhihirisha. 10 00:00:52,122 --> 00:01:01,826 nyote tiyeni nia, na kazi hii ipeni kipaumbele: 11 00:01:02,134 --> 00:01:12,152 anzeni kila mwezi kukamilisha kisomo kizima cha Qur`ani 12 00:01:12,544 --> 00:01:18,910 na hitimisho hilo la Qur`ani ifanye zawadi kwa Imam Zamani (a.s). 13 00:01:19,003 --> 00:01:27,001 kazi hii, baadae itakuwa wazi athari yake ni nini? 14 00:01:27,412 --> 00:01:38,212 hii ni Xsiri nyeupe lakini sisi tumeamka wakati kazi imeshapita. 15 00:01:38,313 --> 00:01:44,514 mimi miaka mingi iliyopita nimekutana na riawaya hii 16 00:01:44,623 --> 00:01:55,181 ambayo sanadi ya riwaya hii imefikia daraja ya kukubalika na faqihi ambaye, 17 00:01:55,595 --> 00:02:01,530 si faqihi yeyote tu kama tunavyosema . 18 00:02:01,775 --> 00:02:14,609 sisi faqihi tunayemjua ni Sheikh Answariy, Mirzai Shiraziy, Shahid Awwal, Shahid Thaniy. 19 00:02:15,087 --> 00:02:26,690 hadithi ambayo tumekutana nayo akili zetu zinashindwa kufahamu, na natika yake ni: 20 00:02:27,170 --> 00:02:29,974 mtu ambaye elimu yake ni kama hii 21 00:02:30,306 --> 00:02:40,459 yaani kwa kadri utakavyoweza kusoma Qur`ani, na itowe zawadi kwake, 22 00:02:40,609 --> 00:02:48,508 malipo yake ya kweli- hayana mfano- ambayo ni: Atakuwa pamoja nasi; 23 00:02:48,604 --> 00:02:54,467 kwa kweli malipo yake yanakuwa ni ushirika (upamoja) 24 00:02:54,903 --> 00:03:00,951 hapa tena hapana habari ya pepo, pepo (hapa) haina thamani. 25 00:03:01,116 --> 00:03:05,228 mtu ambaye kazi yake itakuwa hii: 26 00:03:05,390 --> 00:03:13,943 lile ambalo linawezekana soma Qur`ani na uitoe zawadi kwa Imam Zamani(a.s), 27 00:03:14,339 --> 00:03:22,809 kile ambacho unampa ni hiki kwamba utakuwa pamoja naye katika dunia na akhera. 28 00:03:24,371 --> 00:03:35,136 ina maana gani kuwa pamoja naye? Ule upamoja na Imam Zamani …… 29 00:03:35,630 --> 00:03:38,806 huyu ndiye Imam Zamani(a.s): 30 00:03:38,900 --> 00:03:47,806 anayetaka kumuona Adam na Sheath wake, basi mimi ni Adam na (mimi ni ) Sheath 31 00:03:47,963 --> 00:03:52,653 wakati atakapodihiri atasema: 32 00:03:52,759 --> 00:03:58,747 kila anayetaka kumuoda Adam na Sheath wake 33 00:03:59,032 --> 00:04:02,704 mimi ni Adam na mimi ni Sheath, 34 00:04:03,536 --> 00:04:06,603 mimi ni Nuhu na mimi ni Sam, 35 00:04:08,244 --> 00:04:13,135 mimi ni Ibrahim na mimi ni Ismael, 36 00:04:14,156 --> 00:04:18,484 mimi ni Mussa na mimi ni Harun, 37 00:04:18,830 --> 00:04:22,461 mimi ni Issa na mimi ni Sham-ghun, 38 00:04:22,852 --> 00:04:25,453 mpaka ifike sehemu hii: 39 00:04:26,170 --> 00:04:35,388 mwenye kutaka kumuangalia Muhammad na Alliy, basi mimi ni Muhammad na (mimi ni ) Alliy. 40 00:04:36,000 --> 00:04:47,758 Imam Zamani ni kiziduo na krimu ya Manabii wote na Mawasii wote. 41 00:04:48,654 --> 00:04:57,783 kumuhudumia yeye, na kufanya kazi kwa ajili yake, 42 00:04:57,916 --> 00:05:04,635 kueneza sifa na utukufu wake, kusambaza fadhila zake, 43 00:05:05,039 --> 00:05:11,507 kuhuisha jambo lake, jambo lenyewe katika kipindi cha kughibu kwake, 44 00:05:13,325 --> 00:05:19,833 hii ndio johari ambayo siku ya Kiyama utakula khasara kwamba 45 00:05:20,383 --> 00:05:28,087 tuliweza zaidi ya hatua moja nyengine kwa ajili yake lakini hatukuchuwa, 46 00:05:28,185 --> 00:05:40,867 kwa vyovyote vile! Tunatarajia ya kuwa jina lako limeandikwa katika daftari hilo, 47 00:05:41,255 --> 00:05:44,226 lakini si kunadikwa tu bure bure 48 00:05:45,027 --> 00:05:54,467 ni kwa sababu ya athari ya tonge ya halali ya baba yenu, au mazima ya mama yenu, 49 00:05:55,224 --> 00:06:03,259 au mulikuwa na amali mzuri Mwenyezi Mungu akakuchaguweni 50 00:06:03,371 --> 00:06:14,813 lakini si kila mtu anaweza kuandikwa jina lake katika daftari la Swadiqatul Kubraa.