0 00:00:29,09 --> 00:00:43,16 Shahada ya Hazrat Zahraa(s.a) 1 00:00:45,24 --> 00:00:57,00 Jumanne 8/3/1386 = 1428/5/12 2 00:04:24,13 --> 00:04:29,11 Kwa Jina la Mwenyezi Mungu, Mwingi wa Rehema, Mwenye Kurehemu 3 00:04:30,12 --> 00:05:11,09 Kila sifa njema ni za Mwenyezi Mungu, Mola wa viumbe na Sala za Mwenyezi Mungu zimfikie Bwana Muhammad na jamaa zake waliotakasika hasa Imam Zamani na laana ziwashukie maadui zake hadi siku ya malipo. 4 00:05:12,04 --> 00:05:22,15 kwa kutokea Shahada ya Sqadiqatul Kubra(s.a) ….. 5 00:05:23,16 --> 00:05:42,13 jambo hili halikutokea, kama vile lilivyppaswa kutokea 6 00:05:44,18 --> 00:05:59,18 leo makusudio yetu ni haya kwamba si Mashia pekee, 7 00:06:00,14 --> 00:06:13,12 lakini kwa waislamu wa ulimwengu mzima , ni lazima kwamba 8 00:06:13,23 --> 00:06:37,09 waomboleze katika msiba wa Swadiqatul Kubra, kwa sababu ya cheo chake cha kikubwa ulimwenguni 9 00:06:38,11 --> 00:06:59,05 kwa hivyo kile ambacho tunakizungumza leo, kwa upande wangu kutoka kwa watu wa fikra, kama vile Fakhri Razi, na 10 00:06:59,12 --> 00:07:16,23 na kutoka kwa watu wa hadithi, kama vile Bukhari na Muslim , Hakim na Dhahabiy; 11 00:07:18,06 --> 00:07:35,09 yaani kwa kuzingatia kitabu na sunna ni wajibu kusimamisha maombolezo ya Fatimah Zahraa; 12 00:07:35,22 --> 00:07:54,21 iwe madhebebu ya Hanafiy au madhehebu ya Malik, au ya Shafii au ya Hambaliy. 13 00:07:55,13 --> 00:08:08,20 leo hatutozungumza kwa mujibu wa Kitabu na Itrati, lakini 14 00:08:08,21 --> 00:08:23,22 tutazungumza tu kwa mujibu wa Kitabu na Sunna, nayo pia ni ile sunna ambayo 15 00:08:24,07 --> 00:08:40,18 kwa kipindi cha miaka 1400, kama wanazuoni wakubwa wa Ahl_sunna watafufuka, 16 00:08:41,00 --> 00:08:49,04 watakwama katika kukabiliana na ukweli huu. 17 00:08:50,00 --> 00:08:57,00 kwa sababu ya misingi ya hekima, 18 00:08:57,11 --> 00:09:04,04 ((Waite (watu) kwenye njia ya Mola wako kwa hekima)), 19 00:09:04,15 --> 00:09:16,16 chaguo la hekima ni kitabu na sunna. 20 00:09:17,06 --> 00:09:28,07 ama kwa upande wa kitabu: Maneno ya Mwenyezi Mungu ni haya: 21 00:09:28,20 --> 00:09:37,04 ((Na anachokupeni Mtume basi kipokeeni)) 22 00:09:37,20 --> 00:10:04,08 kwa sababu mazungumzo yetu ni watu wa fikra na watafiti na maulama wamadhehebu tofauti ya kiislamu, kama vile Fakhri Razi, 23 00:10:04,22 --> 00:10:16,24 ni lazima kuzingatia kwa undani fiqhi-kitabu na fiqhi- sunna. 24 00:10:18,01 --> 00:10:37,12 ((Ma)) ni mafuhumu jumla ambayo haiwezi kupatikana katika mafuhumu hii. 25 00:10:37,14 --> 00:10:50,09 mafuhumu ya ((Shay-i)), mafuhumu ya ((Ma)), ni mafuhumu ya jumla na inakusanya mafahimu zote. 26 00:10:51,00 --> 00:11:13,15 maudhui ya aya ni haya: kile ambacho atawapa Mtume kichukuweni. 27 00:11:14,00 --> 00:11:20,02 haya ni maneno ya Mwenyezi Mungu (Rabil Arbaab). 28 00:11:21,09 --> 00:11:27,21 ((Akh-za)) ni nini? Na ((Fakh-zuu hu)) ni nini? 29 00:11:28,06 --> 00:11:54,04 maneno ya Mwenyezi Mungu ni bahari ambayo akili za watu wa hekma hughariki katika mawimbi yake ya kwanza. 30 00:11:54,08 --> 00:11:59,07 mpaka ufike katika kina cha habari hii (kubwa) yenye kina kirefu. 31 00:12:00,05 --> 00:12:27,03 (Akh-za)) imegawika sehemu mbili; na kuchukuwa kile atakachokupeni Mtume, inawezekana kwa mambo mawili: 32 00:12:27,14 --> 00:12:39,10 Kwanza, kufahamu nini hicho ambacho amekitoa? 33 00:12:39,24 --> 00:12:49,06 Pili, kukiingiza katika matendo na kukifanyia kazi. 34 00:12:49,14 --> 00:13:03,02 ikiwa (mambo) haya mawili yataowanishwa, basi itatimia ((Kuchukuwa kile alichokitoa Mtume)) na 35 00:13:03,05 --> 00:13:13,08 bila ya hivyo waislamu hawatofika katika malengo. 36 00:13:13,17 --> 00:13:26,04 hii Qur`ani ni Kubraa. Ama Sugh-raa : 37 00:13:28,11 --> 00:13:42,00 Qiyasi kipimo kilicho wazi (kisichohitaji dalili), leo ni lazima ithibitishwe kwamba 38 00:13:42,01 --> 00:13:53,11 ikiwa Fakhri Razi ataolewa kaburini, basi zaidi ya kusalimu amri hana njia nyengine. 39 00:13:53,20 --> 00:13:59,04 Qiyasi Kubraa, maneno ya Mwenyezi Mungu. 40 00:13:59,05 --> 00:14:06,09 Qiyasi Sugh-raa, maneno ya Mtume wa mwisho. 41 00:14:12,13 --> 00:14:17,01 ni kipi kile ambacho amempa yeye? Ni hiki: 42 00:14:17,05 --> 00:14:29,17 ((Innama)) inaanza kwa neno ((Innama)). 43 00:14:29,23 --> 00:14:39,24 ((hakika ya Fatimah ni sehemu yangu 44 00:14:44,05 --> 00:14:52,05 ninafurahi kwa yale yanayomfurahisha 45 00:14:52,12 --> 00:15:01,02 na ninaghadhibika kwa yale yanayomghadhibisha)) 46 00:15:02,15 --> 00:15:09,13 ufumbuzi wa ibara hii, ni ufumbuzi ambao 47 00:15:09,14 --> 00:15:36,23 hauwezi kumalizika kufafanua kwa Majlis moja, au Majlis mbili, au Majlis kumi (tena) kwa kutumia fiq-hi hadithi bayani za Kalamu za Mtume! 48 00:15:38,07 --> 00:15:43,14 iangalie ((Shajneh)) ni nini? 49 00:15:44,05 --> 00:16:03,19 na kwa nini akili zote, na elimu zote ,zikajishughulisha kwa ajili ya ufafanuzi wa makusudio haya? 50 00:16:04,07 --> 00:16:18,06 ((Shajneh)) ni lile tawi ambalo linaota kwenye mti, 51 00:16:18,17 --> 00:16:26,21 lakini tawi hili, si tawi la kawaida; 52 00:16:27,04 --> 00:16:48,24 ni tawi ambalo mishipa na mizizi yote ya mti huo, ndio mzizi mkuu; tawi linatotawanyika kwenye mti mzima. 53 00:16:49,23 --> 00:17:04,02 Mtume mwenyewe anakuwa ni mti. Hapa pia kuna siri. 54 00:17:04,17 --> 00:17:14,24 ((Mwenyezi Mungu amepiga mfano wa neno zuri 55 00:17:15,05 --> 00:17:27,11 Ni kama mfano wa mti mzuri (ambao) mzizi wake ni imara na tawi lake liko juu sana, 56 00:17:27,17 --> 00:17:37,05 Hutoa matunda yake kila wakati kwa idhini ya Mola wake)). 57 00:17:38,06 --> 00:17:56,06 huo mti mzuri (ambao) mzizi wake ni imara na tawi lake liko juu sana, unafika sehemu ambayo kwamba 58 00:17:56,10 --> 00:18:06,22 (( akakaribia na kisha akateremka, ndipo akawa umbali wa mbinde mbili au karibu zaidi)), 59 00:18:07,12 --> 00:18:19,15 ule mti ambao ((Hutoa matunda yake kila wakati kwa idhini ya Mola wake)), 60 00:18:19,19 --> 00:18:29,15 haukatiki matunda ya elimu na Irfani na Akhlaq, na 61 00:18:30,02 --> 00:18:39,20 hukumu zake, tunafaidika nazo kuanzia mwanzo mpaka mwisho 62 00:18:40,00 --> 00:18:44,03 mti huo, ni Mtume wa mwisho. 63 00:18:50,14 --> 00:19:05,09 sasa cha muhimu ni hiki kwamba lile tawi ambalo limeota katika mti huu, ni Fatimah Zahraa. 64 00:19:05,20 --> 00:19:16,14 hapa ni lazima; kwa sababu ule msingi na nguzo ambayo nimeizungumzia mwanzoni 65 00:19:16,22 --> 00:19:25,09 kwa ajili ya kusimamisha Shahada ya Hazrat Zahraa, ni kitabu na sunna. 66 00:19:25,14 --> 00:19:31,07 hiki ndio kitu ambacho hatuto toka ndani yake. 67 00:19:31,09 --> 00:19:40,21 hiyo pia ni sunna ambayo hakuna hata mmoja awezaye (kusingizia) kudanganya! 68 00:19:41,00 --> 00:20:04,09 mtu ambaye anasema maneno haya ((hakika ya Fatimah ni sehemu yangu)), msemaji wa maneno haya ni mtu ambaye 69 00:20:04,10 --> 00:20:12,12 Mwenyezi Mungu sehemu mbili katika Qur`ani, kuhusiana na yeye amesema sentensi mbili, na 70 00:20:12,14 --> 00:20:24,06 sentensi hizo mbili, akili ya mwanzo na ya mwisho inashindwa kufahamu! 71 00:20:27,13 --> 00:20:43,05 ulimwengu mzima, mpaka mbinguni, mpaka nje ya mbingu, 72 00:20:43,11 --> 00:20:50,11 viumbe wote kwa ajili ya binadamu aliyekamilika; 73 00:20:53,18 --> 00:21:03,15 kwa sababu mwisho wa ukamilifu, ni akili, na 74 00:21:03,16 --> 00:21:13,17 na akili zote, na zote akili huwa ndio mwisho wa lengo la kuumbwa. 75 00:21:16,22 --> 00:21:20,09 ni nani aliyefikia upeo huu? 76 00:21:20,23 --> 00:21:29,19 yule mtu ambaye kwa mambo mawili anafika sehemu ambayo 77 00:21:29,20 --> 00:21:41,09 Mwenyezi Mungu anamkubali kwa utukufu. Basi kazi imeisha. 78 00:21:41,21 --> 00:21:49,18 mambo hayo mawili ni yepi? Moja ni elimu na jengine ni tabia. 79 00:21:53,20 --> 00:22:05,01 Ama elimu: ((Na amekufundisha yale uliyokuwa huyajui, na 80 00:22:06,08 --> 00:22:12,06 hakika fadhila ya Mwenyezi Mungu juu yako ni kubwa)) 81 00:22:13,04 --> 00:22:21,08 haya ni maneno ya Mwenyezi Mungu juu ya elimu yake. 82 00:22:22,05 --> 00:22:34,15 Ama tabia yake: ((Na bila shaka una tabia njema, tukufu)) 83 00:22:37,01 --> 00:22:43,22 Fakhri Razi jambo hili litakalolizungumzia amenakili ……….. 84 00:22:44,00 --> 00:22:55,12 nyinyi ni wasomi, wenye mazingatio, na fikra, wakati nilipoisema hadithi hii 85 00:22:56,16 --> 00:23:14,20 oneni jinsi Fakhri Razi hadithi hii inaonesha kitu gani, na yeye anaficha ukweli gani; 86 00:23:19,03 --> 00:23:25,00 kile anachokinakili Fakhri Razi ni hiki 87 00:23:25,01 --> 00:23:44,09 katika zama za ukhalifa wa Omar bin Khatwabi, alikuja Myahudi mmoja mfasihi kwa khalifa. 88 00:23:53,08 --> 00:24:03,08 ni msomi, pia katika daraja hiyo, alikuja kwa khalifa, 89 00:24:03,18 --> 00:24:15,13 pia katika hadhara ya Muhajirina na Answari na vigogo wa umma wa kiislamu. 90 00:24:15,21 --> 00:24:29,00 akasema mimi nimekuja ili munisifie Akhlaq za Mtume 91 00:24:30,14 --> 00:24:35,13 ama yeye baada ya kusikia maneno haya, … 92 00:24:36,01 --> 00:24:44,23 na kile ambacho ni ajabu ni kwamba mtu kama Fakhari Razi- ambaye 93 00:24:44,24 --> 00:24:57,17 kama watakusanyika maulamaa wote wa Ahl sunna, anawasukuma kwa upepo, yeye-ananakili, 94 00:24:58,21 --> 00:25:04,07 sasa yeye mweyewe jambo hili analikubali vipi? 95 00:25:04,16 --> 00:25:18,18 baada ya kusema tu kuwa nisifiyeni akhlaq za Mtume, akasema: 96 00:25:18,20 --> 00:25:25,00 nenda kwa Bilali. Yeye ni bora zaidi kwa elimu kuliko mimi. 97 00:25:30,24 --> 00:25:46,21 Yahudi akenda kwa Bilali akasema: swali langu ni hili, na khalifa amekufanya bora zaidi kwa elimu. 98 00:25:49,04 --> 00:25:57,04 aliposikia tu, akasema: nenda kwa Fatimah Zahraa(s.a) 99 00:26:00,13 --> 00:26:16,15 Yahudi msomi aliyepikika, alikuja kwa Swadiqatul Kubraa baada ya kupita marhala mbili. 100 00:26:17,16 --> 00:26:26,13 pale alipoelezea mas-ala yake, akasema (Fatimah): Nenda kwa Alliy Murtadha. 101 00:26:26,19 --> 00:26:33,07 Msomi wa Kiyahudi akaja kwa Alliy(a.s). 102 00:26:33,09 --> 00:26:42,13 hapa ni wazi kuwa ni sehemu ambayo ni mwisho wa mazungumzo, 103 00:26:42,16 --> 00:26:47,20 ((mimi ni mji wa elimu na Alliy ni mlango wake)) 104 00:26:47,23 --> 00:26:56,14 akasema nisifie Akhlaq za Mtume. 105 00:26:56,18 --> 00:27:01,19 Amiril Muuminiina akasema: 106 00:27:01,20 --> 00:27:08,14 nisifie kile ambacho kipo katika dunia. 107 00:27:08,16 --> 00:27:15,10 sikilizeni kwa makini. Zingatieni kwa makini! 108 00:27:19,13 --> 00:27:27,24 nisifie kile ambacho kipo katika dunia. Dunia ni nini? 109 00:27:30,24 --> 00:27:37,04 (( kwa hakika tumeipamba mbingu ya dunia )) 110 00:27:38,07 --> 00:27:55,05 dunia ukubwa wake hausemeki, nyote zote na anga zilizopo mbinguni, yote ni dunia. 111 00:27:55,06 --> 00:27:59,23 huu ni ukubwa wa dunia ambao 112 00:27:59,24 --> 00:28:05,23 haujuilikani mwanzo wake wala mwisho wake. 113 00:28:06,03 --> 00:28:13,02 ilianzia lini? Mwisho wake ni lini? Ina ukubwa kiasi gani? 114 00:28:13,05 --> 00:28:17,20 akasema: fanya kazi hii. 115 00:28:17,21 --> 00:28:35,06 Yahudi akasema: Siwezi kufanya hivyo. Vipi nitaweza kutoa siri za dunia?! 116 00:28:35,09 --> 00:28:41,11 akasema: dunia hii na ukubwa wake, ambao 117 00:28:41,13 --> 00:28:50,01 Mwenyezi Mungu katika kitabu chake amesema: ((Starehe za dunia ni kidogo tu)) 118 00:28:50,03 --> 00:28:58,24 yote katika mahesabu yake yanashangaza 119 00:28:59,00 --> 00:29:07,10 ama kuhusiana na akhlaq yake amesema: ((Na bila shaka una tabia njema, tukufu)) 120 00:29:07,14 --> 00:29:12,04 huyu ndiye Mtume wa mwisho! 121 00:29:12,06 --> 00:29:31,13 wakati huo cha muhimu ni hiki, ukubwa wa akhlaq yake, kuanzia wasomi wote wa dunia na vilivyomo yeye ni bora zaidi, huyu ni nani? 122 00:29:31,16 --> 00:29:45,22 kisha elimu yake, kama vile alivyosema katika akhlaq yake: ((Adhiim)), na katika elimu pia amesema ((Adhiim)). 123 00:29:45,24 --> 00:29:48,09 natija inakuwa hii: 124 00:29:48,11 --> 00:29:58,10 ikiwa vile vyote vilivyomo duniani, vinaweza kuhesabika 125 00:29:58,12 --> 00:30:04,12 na haiwezekani kutohesabika, nayo pia na huo udogo wake, 126 00:30:04,14 --> 00:30:13,15 basi je kile kilichopo katika roho ya Mtume kuanzia elimu na maarifa 127 00:30:13,18 --> 00:30:24,15 na kwa kuzingatia kuwa Mwenyezi Mungu amesema: ((Na amekufundisha yale uliyokuwa huyajui 128 00:30:24,17 --> 00:30:30,14 Na hakika fadhila ya Mwenyezi Mungu juu yako ni kubwa)) 129 00:30:30,15 --> 00:30:34,20 kwa ajili ya mtu inaweza kuhesabika?! 130 00:30:35,00 --> 00:30:45,07 hii ni katika kukabiliana na sentensi hizi mbili, wa kwanza na wa mwisho ni wenye kutoweka. 131 00:30:45,11 --> 00:30:53,16 Jibrili na Mikaili na Israfil, wote watatoweka! 132 00:30:53,18 --> 00:31:01,11 ((Na hakika fadhila ya Mwenyezi Mungu juu yako ni kubwa)) 133 00:31:01,13 --> 00:31:05,16 ((Na bila shaka una tabia njema, tukufu)) 134 00:31:05,19 --> 00:31:08,16 natija itakuwa vipi? 135 00:31:08,18 --> 00:31:18,14 natija ni hii: elimu yote, na yote elimu, ni ya Mtume wa mwisho! 136 00:31:18,17 --> 00:31:27,22 natija ni hii: akili zote, na zote akili, ni ya Mtume wa mwisho! 137 00:31:27,24 --> 00:31:38,00 natija ni hii: tabia zote, na zote tabia, ni za Mtume wa mwisho! 138 00:31:38,03 --> 00:31:43,08 mwisho mazungumzo yatakuwa hivi kwamba 139 00:31:43,10 --> 00:31:51,08 haiba hii, roho ya ulimwengu wote, na 140 00:31:52,09 --> 00:31:57,08 moyo wa Malaika wote. 141 00:31:57,10 --> 00:32:13,21 (dhati) nafsi za ulimwengu mzima hazifahamu ukubwa na upana wake isipokuwa yeye, 142 00:32:13,23 --> 00:32:19,01 (dhati) nafsi hizi zote, zina roho moja, na 143 00:32:19,02 --> 00:32:23,20 roho hiyo ni ya Mtume wa mwisho. 144 00:32:23,21 --> 00:32:27,21 hii ndio natija ya mazungumzo (haya). 145 00:32:27,23 --> 00:32:36,14 wakati huo mas-ala itakuwa ni hivi: roho hii ambayo upana wake uko hivi kwamba 146 00:32:36,22 --> 00:32:44,17 umechukuwa (nafasi) ya Mulk na Malakuti, yeye maelezo yake ni haya: 147 00:32:45,05 --> 00:32:54,08 kile kinachomfurahisha Fatimah, na mimi hunifurahisha. Na 148 00:32:54,12 --> 00:33:02,11 na kile kinachomuudhi Fatimah, na mimi huniudhi. 149 00:33:04,00 --> 00:33:09,06 kuanzia hapa fikra za akili zinafika mwisho! 150 00:33:09,08 --> 00:33:19,09 Ibrahim lazima afahamu! Mussa bin Imran lazima asikie na afahamu! 151 00:33:21,03 --> 00:33:35,08 maarifa yako wapi! Ni nani anaweza kujigamba kuwa yeye anamfahamu Zahraa?! 152 00:33:35,09 --> 00:33:49,18 nani anaweza kujinata , na kusema: nimefikia nafasi na cheo cha Fatimah?! 153 00:33:51,21 --> 00:33:56,07 Innama …. Zingatieni kwa makini, 154 00:33:56,09 --> 00:34:13,00 ((Innama)). Ni hii na si zaidi ya hii, Fatimah ni tawi la msingi katika wujud wangu; 155 00:34:13,07 --> 00:34:22,18 kile ambacho kinamuudhi yeye, na mimi kinaniudhi; na 156 00:34:22,19 --> 00:34:31,10 na kile ambacho kinamfurahisha yeye, na mimi kinanifurahisha. 157 00:34:34,13 --> 00:34:47,04 natija inakuwa hii kwamba kunakuwa na muungano baina yake yeye na mwanamke huyu, ambaye 158 00:34:47,07 --> 00:34:54,05 Mwenyezi Mungu katika siku ya Mubahila alimchagua, na 159 00:34:54,09 --> 00:35:04,23 ni mwanamke pekee ambaye Mwenyezi Mungu alimuamrisha Mtume, amlete 160 00:35:05,02 --> 00:35:19,07 tukio hili liliweka wazi kuwa Fatimah amechanganyika pamoja na elimu yote na yote elimu! Na 161 00:35:19,14 --> 00:35:27,08 amechanganyika na akili zote, na zote akili! 162 00:35:27,11 --> 00:35:39,07 kumepatikana muungano, kumepatikana uhusiano baina ya mti mwema ambao 163 00:35:39,10 --> 00:35:44,23 ((mzizi wake ni imara na tawi lake liko juu sana)), 164 00:35:45,00 --> 00:35:47,19 na tawi hili ambalo 165 00:35:47,20 --> 00:35:55,21 baina yake na huu, hakuna utengano wa aina yeyote ile inayofikirika. 166 00:35:55,24 --> 00:36:02,05 huu ni mfano wa fiqhi-hadithi. 167 00:36:02,07 --> 00:36:08,14 Mtume amechagua furaha na maudhi, na 168 00:36:08,17 --> 00:36:13,22 muhimu ni neno Maudhi na furaha. 169 00:36:14,00 --> 00:36:32,08 natija inakuwa hii kwamba , kama Zahraa atasema Oh! Basi Oh hiyo itakasirisha roho ya ulimwengu! 170 00:36:32,09 --> 00:36:42,21 wakati yeye akikasirika, pia Mitume 124 Elfu inakasirika! 171 00:36:42,23 --> 00:36:53,14 wakati yeye akikasirika, Mawasii wote, na Mashahidi, na Maswidiqiina pia wanakasirika! 172 00:36:53,17 --> 00:37:03,05 Oh inayotoka katika moyo wa Fatimah, huhamia katika Malakuti 173 00:37:03,07 --> 00:37:10,06 huu ndio msiba wa Zahraa! Hii ndio siku ya maombolezo ya Fatimah 174 00:37:10,07 --> 00:37:14,00 haya mimi sikuyasema kwa kupitia mantiki ya Shia; 175 00:37:15,03 --> 00:37:28,06 kile nilichokisema ni miongoni kwa dalili za nguvu, na zinazotegemewa kutoka katika vyanzo vya wanazuoni wote wa madhehebu ya kiislamu. 176 00:37:28,14 --> 00:37:52,16 hadithi hii niliyoisoma, ni hadithi ambayo Shamsu Ddin Dhababiy, mkubwa wa wapingaji, amekubali katika kukabiliana na (jambo) hili! 177 00:37:52,19 --> 00:38:01,18 hadithi hii liliyoisoma Bukhari, Muslim, Hakam, 178 00:38:01,21 --> 00:38:12,15 wakubwa wote wa Sahihi sita, (kama wanaweza) basi waigeuze! 179 00:38:12,16 --> 00:38:19,12 ikiwa ni hivi, Ewe Fakhari Razi! Ewe Dhahabiy! 180 00:38:19,14 --> 00:38:29,21 Ewe Hakam! Enyi vigogo wa Ahl sunna! 181 00:38:29,24 --> 00:38:44,06 nyote kulingana na hukmu ya kitabu na sunna, mutapaswa kusimamisha maombolezo siku ya Shahada ya Fatimah Zahraa(s.a) 182 00:38:44,08 --> 00:38:52,05 maombolezo haya hayaambatani na kabila moja au jengine; 183 00:38:52,06 --> 00:38:57,22 hii ni hukmu ya kitabu! Haya ni maagizo ya sunna! 184 00:38:58,00 --> 00:39:10,18 ikiwa mpaka sasa bado hujafahamu, zingatia (haya); iangalieni hadithi; 185 00:39:10,19 --> 00:39:19,06 muifahamu fiqhi-hadithi, kwa kutabikisha hii, mutafahamu jukumu (lenu). 186 00:39:19,10 --> 00:39:32,06 kheri iwe juu yake mtu ambaye katika siku ya Shahda yake, hunyanyua kitambaa, na 187 00:39:32,08 --> 00:39:39,07 na kuzunguka barabarani, mitaani, na masokoni, na kusema: 188 00:39:39,08 --> 00:39:52,18 Ewe Mjumbe wa Mwenyezi Mungu! Sisi kwa uwezo huu tumetaka kudhihirisha mapenzi ili tumfurahishe yeye(Fatimah) 189 00:39:52,24 --> 00:39:58,16 kwa kufurahi yeye, moyo (pia) tunaufurahisha; na 190 00:39:58,18 --> 00:40:07,06 kwa kuufurahisha moyo wako, Mulk na Malakut Wujud (pia) tunawafurahisha. 191 00:40:07,09 --> 00:40:21,12 na hapa tena kwa waislamu wote, awe Hambali, au Shafiy, au Hanafiy, au Malikiy. … 192 00:40:21,14 --> 00:40:26,17 ama kuna maneno mawili matatu kwa ajili yako: 193 00:40:26,20 --> 00:40:30,18 katika Majlis hii kuna Masayyid wangapi?! 194 00:40:30,21 --> 00:40:43,11 Mimi nikiangalia, ninaona kila baina ya watu wachache, basi (kuna Sayyid). 195 00:40:43,16 --> 00:40:50,09 ikiwa katika Majlis hii kuna hali hii, je nchi mzima itakuwaje?! 196 00:40:50,10 --> 00:41:05,07 Nyinyi ambao munajijuwa kuwa ni Masayyid, kila aliye na yakini kuwa ni Sayyid, jukumu lake ni hili: 197 00:41:05,08 --> 00:41:09,22 yule mtu ambaye …. 198 00:41:10,01 --> 00:41:15,02 siwezi kumsema, lakini sina jinsi! 199 00:41:15,06 --> 00:41:25,15 yule mtu ambaye ametembea nchi themanini, ametembea sehemu zote za ulimwengu; na 200 00:41:25,19 --> 00:41:31,02 kila aliyekuja kumkabili, basi alianguka; 201 00:41:31,06 --> 00:41:41,15 alikuwa msikitini, wakati mmoja aliwaona watoto wawili wananaingia (msikitini). 202 00:41:49,03 --> 00:42:00,14 mpaka …. 203 00:42:01,16 --> 00:42:18,22 kuwangalia , ukizingatia wa kwamba alifikiwa na maneno masikio kwake, alinyanyuka alipokuwa, lakini alianguka! 204 00:42:36,20 --> 00:42:49,06 ikafikia mahala yakaletwa maji, na yakamwagwa kwenye uso wa Amiril Muuminiina. 205 00:42:50,22 --> 00:43:00,07 ukapita muda, akanyanyuka, akaenda ubavuni mwa Zahraa. 206 00:43:00,10 --> 00:43:17,08 alipokwenda akakuta karatasi moja, kuna maandishi juu yake. Akayachukuwa maandishi yale. 207 00:43:17,14 --> 00:43:21,22 siwezi kuyasoma! 208 00:43:22,05 --> 00:43:31,05 ((haya ndio aliyousia Fatimah …. 209 00:43:33,07 --> 00:43:41,16 na yeye anashuhudia kuwa hakuna Mola isipokuwa Allah)) 210 00:43:43,00 --> 00:43:49,06 kisha akafika sehemu hii: 211 00:43:49,23 --> 00:44:08,07 Ewe Alliy! Mwenyezi Mungu aliioza wewe, ili niwe pamoja nawe duniani na akhera. 212 00:44:08,19 --> 00:44:12,20 ukifuatilia maneno haya. Kuliandikwa hivi: 213 00:44:13,00 --> 00:44:17,20 nioshe muda wa usiku. 214 00:44:23,09 --> 00:44:26,19 nikafini usiku. 215 00:44:30,24 --> 00:44:34,09 nizike usiku 216 00:44:34,14 --> 00:44:45,23 asimjuilishe yeyote, usimjuilishe yeyote. 217 00:44:46,19 --> 00:45:05,12 baada ya sentensi hizi, enyi Masayyid! Ambao mutayasikia maneno haya, baada ya sentensi hizi, alisema: 218 00:45:05,16 --> 00:45:14,08 Ewe Alliy! Wafikishie watoto wangu salamu mpaka siku ya Kiyama. 219 00:45:21,13 --> 00:45:34,06 ina maana gani?! Baada ya maneno hayo, neno hili lina maana gani?! 220 00:45:34,19 --> 00:45:41,09 kwa upana wa elimu yake, aliiyona Majlis hii; 221 00:45:41,12 --> 00:45:46,06 aliona katika Majlis hii pia kuna Masayyid wengi; 222 00:45:46,09 --> 00:45:48,16 huyu ndiye Fatimah! 223 00:45:48,19 --> 00:45:56,11 mpaka siku ya Kiyama, aliona upanukaji wa nasli yake, alitaka kusema: 224 00:45:56,15 --> 00:46:03,12 Nyinyi ni wanangu, oneni mimi nimefanyiwa nini? 225 00:46:04,11 --> 00:46:12,00 jukumu la kila Maalawiy, na jukumu la kila Maalawiy wa kike ni huu kwamba 226 00:46:12,15 --> 00:46:29,02 siku ya tarehe tatu Jamad Thani, katika nchi hii, kwa vichwa na miguu chini, vijana wake watoke mitaani, na masokoni kwa kusema: 227 00:46:29,04 --> 00:46:34,08 Ewe mama yetu! Hili ni jibu la salamu yetu. 228 00:46:34,12 --> 00:46:42,05 niacheni niseme sentensi moja, nendeni mukaifikirie. 229 00:46:42,08 --> 00:46:53,20 wakati mwili (wake) alipoekwa, akasema: ((Hakika sisi ni wa Mwenyezi Mungu, na tunarejea kwake)). 230 00:46:53,24 --> 00:47:00,16 alisema sentensi (nyingi), sentensi yake ya mwisho ni hii: 231 00:47:00,18 --> 00:47:11,08 ((Akamficha jambo la akamwelezea hali itakavyokuwa)) 232 00:47:11,11 --> 00:47:19,08 neno ((Akh-faha)) lina maana gani? 233 00:47:19,12 --> 00:47:30,22 kutokana na neno hili inakuwa kuwa kile ambacho kilimtokea, hakumwambia Alliy; akabaki nalo mwenyewe! 234 00:47:30,24 --> 00:47:35,13 ulifanya nini ewe Zahraa?! 235 00:47:35,16 --> 00:47:42,21 iko wazi kuwa kwa baba yako pia hukutaka kusema; 236 00:47:42,23 --> 00:47:48,12 unataka iwe baina yako na Mwenyezi Mungu tu. 237 00:47:48,14 --> 00:47:57,15 ndio maana akasema: Ewe Mjumbe wa Mwenyezi Mungu! ((mfiche kuhusiana na jambo)), 238 00:47:57,17 --> 00:48:07,07 kila alichotaka kutoka kwake muulize, mpaka aseme kitapita nini kwake?! 239 00:48:07,09 --> 00:48:13,20 ((Na Mwenyezi Mungu atahukumu, na yeye ni mbora wa mahakimu)).