0 00:00:01,20 --> 00:00:04,11 Hotuba ya Ayatullah al_Udhmaa Wahiid Khorasani katika kuutukuza mwezi wa Ramadhani na umuhimu wa safari ya Tabliigh 1 00:00:06,17 --> 00:00:13,07 Tarehe 16 - 05- 1389 Hijria Shamsiy = 26 - 08 - 1431 Hijria Qamariy 2 00:00:16,14 --> 00:00:21,18 Kwa Jina la Mwenyezi Mungu, Mwingi wa Rehema, Mwenye Kurehemu 3 00:00:23,12 --> 00:00:28,03 "Hakika umekufikieni mwezi wa Mwenyezi Mungu". 4 00:00:29,10 --> 00:00:39,05 Hotuba hii ni bahari (elimu) kutoka kwa Hekam. 5 00:00:41,08 --> 00:00:51,13 katika sentensi yake ya mwanzo kama itaandikiwa kitabu 6 00:00:51,22 --> 00:00:57,09 basi haiwezi kutosha kwa wingi wa mat-labu yake. 7 00:00:57,17 --> 00:01:18,19 uhakika wa fiqhi, ni kuelewa kwa undani maneno matoharifu ya Ahlul_Bayt . 8 00:01:20,11 --> 00:01:32,08 "Hakika umekufikieni kwenu": Umekufikieni kwenu mwezi wa Mwenyezi Mungu. 9 00:01:32,15 --> 00:01:37,09 Tarjuma hii si sahihi. 10 00:01:38,01 --> 00:01:43,20 Mwenyezi Mungu si sawa na Allah 11 00:01:44,09 --> 00:02:00,12 Allah ni jina ambalo kwamba limekusanya majina yote ya Mola Muumba, 12 00:02:00,19 --> 00:02:12,00 Lakini kwa kufupisha taabiri husemwa: Mwezi wa Mwenyezi Mungu. 13 00:02:12,12 --> 00:02:27,11 (mwezi) umeongezwa (idhaaf) Allah, (neno) Allah ufahamu wake uko nje ya akili. 14 00:02:28,15 --> 00:02:40,06 katika aya za Qur`ani kila aya ambayo masdari yake ni Allah 15 00:02:40,10 --> 00:02:47,21 aya hiyo ni muhimu sana. 16 00:02:48,00 --> 00:03:03,14 sura bora katika Qur`ani kutokana na riwaya, basi ni surat Baqarah. 17 00:03:04,14 --> 00:03:14,15 (na) aya bora katika surat Baqarah ni ayat Kursiyyu. 18 00:03:14,22 --> 00:03:21,21 ayat Kursiyyu imeanza kwa (neno) Allah: 19 00:03:22,04 --> 00:03:38,11 Mwenyezi Mungu, hakuna aabudiwaye isipokuwa yeye tu, Mzima wa milele Mwenye kusimamia mambo ..mpaka na yeye ndiye mtukufu Mkubwa. 20 00:03:38,19 --> 00:03:49,10 ayat Kursiyyu imekuwa na utukufu huu. Kwa kuanza kwake na (neno) Allah. 21 00:03:49,20 --> 00:03:55,05 mwezi umeongezewa (neno) Allah: 22 00:03:55,10 --> 00:04:01,10 "Hakika umekufikieni mwezi wa Mwenyezi Mungu". 23 00:04:01,21 --> 00:04:07,14 bora kusimama hapa hapa. 24 00:04:08,05 --> 00:04:14,16 Mwezi, mwezi wa Uluhiyat, 25 00:04:15,02 --> 00:04:26,22 mwezi ambao umeongezewa dhati tukufu ya Allah. 26 00:04:27,01 --> 00:04:35,17 sasa (tuone) katika mwezi huu kuna habari gani? 27 00:04:35,23 --> 00:04:48,11 Ni mwezi wa Ramadhani iliyoteremshiwa Qur`ani 28 00:04:48,16 --> 00:04:52,04 (kuwa) muongozo kwa watu 29 00:04:52,07 --> 00:05:00,09 na dalili zilizo wazi za muongozo na upambanuzi. 30 00:05:00,15 --> 00:05:08,13 usemi huu wa hekima wa Qur`ani bado haujafahamika. 31 00:05:08,19 --> 00:05:16,08 aya hii inaelezea mwezi wa Ramadhani. 32 00:05:16,11 --> 00:05:23,16 wakati huo, hapo hapo kwa Mafaqihi …, 33 00:05:23,20 --> 00:05:39,05 Mafaqihi ambao tunawakusudia, (ni kama) Sheikh Anwariy, Shahid Awwal, Shahid Thaniy, 34 00:05:39,23 --> 00:05:44,23 hawa wanafahamu nini maana yake? 35 00:05:45,01 --> 00:05:54,15 katika aya hii, imekusanya zote Qur`ani na Furqani, 36 00:05:55,00 --> 00:06:02,18 Mwezi wa Ramadhani …. Fahamuni kwa makini, 37 00:06:02,23 --> 00:06:12,18 Ni mwezi wa Ramadhani iliyoteremshiwa Qur`ani 38 00:06:12,20 --> 00:06:23,18 (kuwa ni ) muongozo kwa watu na dalili zilizo wazi za muongozo na upambanuzi (Furqani). 39 00:06:23,23 --> 00:06:32,16 Katika aya moja imeletwa Qur`ani na pia Furqani, 40 00:06:32,21 --> 00:06:42,03 utukufu na ukubwa wa mwezi wa Ramadhani unabainisha maneno haya mawili 41 00:06:42,07 --> 00:06:49,00 Furqani yenyewe ina maelezo mengi: 42 00:06:49,03 --> 00:07:07,01 Mwenye baraka ni yule aliyeteremsha Furqani kwa mja wake ili awe muonyaji kwa walimwengu. 43 00:07:07,04 --> 00:07:15,10 neno Qur`ani lenyewe lina maelezo marefu: 44 00:07:15,14 --> 00:07:23,23 Hakika ya Qur`ani hii inaongoza kwenye yale yaliyonyooka. 45 00:07:24,02 --> 00:07:31,16 wakati huo, mwezi wa Ramadhani unaweza kufahamika kuanzia hapa kwamba 46 00:07:31,19 --> 00:07:39,06 mwezi huu ni mashukio ya Qur`ani na Furqani. 47 00:07:39,10 --> 00:07:49,12 sisi hatukufahamu uhakika wa dini, 48 00:07:49,15 --> 00:07:59,15 tafsiri ziko wapi mpaka zikafikia hapa? 49 00:07:59,19 --> 00:08:12,05 aya moja tu inatosha, watu wenye kupambanua kufanyia kazi kwa miezi. 50 00:08:12,09 --> 00:08:22,10 Ni mwezi wa Ramadhani iliyoteremshiwa Qur`ani 51 00:08:22,14 --> 00:08:38,06 mwezi wakati ukielezewa: Ni mwezi ambao umetajwa baada ya Mausul na Swilat: 52 00:08:38,08 --> 00:08:45,06 (mwezi) ambao iliyoteremshiwa Qur`ani 53 00:08:45,11 --> 00:08:54,13 (kuwa ni ) muongozo kwa watu na dalili zilizo wazi za muongozo na upambanuzi (Furqani). 54 00:08:54,17 --> 00:09:05,15 kisha anasema: Basi mwenye (kuushuhudia) kuwamo katika mwezi huu na aufunge, 55 00:09:06,06 --> 00:09:24,10 hii ni hekima kwa ajili ya mwenye kushukuru kushuka Qur`ani, katika mwezi huu basi wafunge : 56 00:09:25,10 --> 00:09:28,00 basi na aufunge. 57 00:09:28,11 --> 00:09:42,16 kisha kunasibishwa funga na mwezi: Basi na aufunge, hii pia ina maelezo marefu. 58 00:09:42,19 --> 00:09:46,11 mwezi, mwezi kama huu, 59 00:09:46,16 --> 00:09:55,13 kazi hii (safari ya Tabliigh) pia imejitokeza kwenu, haya ni mafanikio, 60 00:09:55,17 --> 00:10:06,05 sasa bahati imeletwa kwenu, bahati kama hii imegawiwa kwenu, 61 00:10:06,08 --> 00:10:14,22 lakini endapo mutatekeleza haki ya jambo hili. 62 00:10:15,00 --> 00:10:19,14 safari hii ni safari gani? 63 00:10:19,17 --> 00:10:28,22 safari ambayo munaifanya ni safari ya Allah, 64 00:10:29,00 --> 00:10:34,08 nayo pia ni katika mwezi wa Allah, 65 00:10:34,12 --> 00:10:42,17 safari ya Mwenyezi Mungu, kwa ajili ya kuwaita watu kwenye njia ya Allah 66 00:10:42,18 --> 00:10:49,05 ikiwa mutaifahamu ukubwa wa neema hii 67 00:10:49,06 --> 00:10:58,10 na haki ya neema hii mukaitekeleza kwa kushukuru neema hii. 68 00:10:58,13 --> 00:11:08,07 wale ambao munawaendea, wao ni nani? 69 00:11:08,10 --> 00:11:22,11 kwanza ni lazima muwafahamu wao, itazameni Qur`ani kwa makini, mutaona: 70 00:11:22,18 --> 00:11:32,14 wakati (Qur`ani) ikiwafikia mayatima, ubainifu wa utaratibu wa Mwenyezi Mungu ni upi? 71 00:11:32,18 --> 00:11:42,10 Mtume wa Mwenyezi Mungu (Khatam Anbiyaa) anahutubiwa hivi: 72 00:11:42,11 --> 00:11:48,12 Basi usimkemee yatima. 73 00:11:49,03 --> 00:11:58,22 katika aya hii imemaliza kila kitu. 74 00:11:59,00 --> 00:12:07,00 Mtume anafahamu ni nini, ambapo amesema: 75 00:12:07,03 --> 00:12:14,03 "Mimi na mwenye kulisha yatima ni kama hivi viwili" 76 00:12:14,05 --> 00:12:27,00 ikiwa mtu atamlisha yatima , mimi na yeye ni sawa na hivi (akiashiria kidole chake shahada na cha kati). 77 00:12:27,03 --> 00:12:36,14 kumlisha yatima mmoja inapelekea kuwa pamoja na Mtume. 78 00:12:36,16 --> 00:12:54,05 sasa kama utamlisha yatima mmoja muumini utakuwa pamoja na Mtume, 79 00:12:54,08 --> 00:13:01,06 ukimlisha yatima wa Alliy bin Abi Twalib itakuwa vipi? 80 00:13:01,07 --> 00:13:08,19 ukimlisha yatima wa Imam Jafar Swadiq itakuwa vipi? 81 00:13:08,21 --> 00:13:14,22 ukimlisha yatima wa Imam Ridha itakuwa vipi? 82 00:13:14,24 --> 00:13:21,19 ukimlisha yatima wa Sayyid Shuhadaa itakuwa vipi? 83 00:13:21,24 --> 00:13:35,14 watu wa mahala ambao unawaendea katika safari, hao ni yatima wa Alliy bin Abi Twalib, 84 00:13:35,22 --> 00:13:45,11 hawa ni yatima wa Imam Hussein, hawa ni yatima wa Maasum kumi na nne, 85 00:13:45,17 --> 00:13:53,24 hawa ndio mayatima wa A`al Muhammad, 86 00:13:56,20 --> 00:13:59,11 wakati huo kazi yako itakuwa ni ipi? 87 00:14:00,14 --> 00:14:10,00 kazi yako itakuwa ni kuwalisha (chakula cha ) roho mayatima wa A`al Muhammad. 88 00:14:10,07 --> 00:14:14,15 huu ndio utukufu na ukubwa wa kazi hii. 89 00:14:15,24 --> 00:14:27,10 hii ndio sababu sisi hatuwezi kusherehesha umuhimu wa kazi hii katika majlis moja. 90 00:14:27,12 --> 00:14:37,03 lakini kwanza ni lazima mubadilishe nia, 91 00:14:37,06 --> 00:14:44,06 nyinyi mumesoma, nyinyi ni watu watukufu na bora 92 00:14:44,09 --> 00:14:49,01 hadithi, sahihi 93 00:14:49,03 --> 00:14:59,16 hadithi ambayo sanadi yake katika kusihi kwake imefikia hadi ambapo 94 00:14:59,19 --> 00:15:13,05 Faqihi kama Sheikh Answari ametowa fatwa kwa sanadi ya hadithi hii katika mas-aili dama`u. 95 00:15:13,07 --> 00:15:19,12 hadithi hii sahihi muhtasari wake ni huu: 96 00:15:19,15 --> 00:15:31,17 amali yoyote ile haina thamani isipokuwa kwa nia ya mtendaji wake. 97 00:15:31,21 --> 00:15:39,15 nia ndio ambayo inaigeuza amali. 98 00:15:39,16 --> 00:15:45,00 nia wenyewe ni somo lenye maelezo marefu. 99 00:15:45,02 --> 00:15:52,13 sala ni nguzo ya dini, ni nguzo ya dini, 100 00:15:52,14 --> 00:16:11,14 hakuna sala itakayokubaliwa isipokuwa iwe imetiliwa nia, ina maana gani? 101 00:16:11,17 --> 00:16:19,03 yaani nia ambayo sala ya adhuhuri huifanya kuwa ni sala ya adhuhuri, 102 00:16:20,02 --> 00:16:25,02 sala ya alasiri huifanya kuwa sala ya alasiri. 103 00:16:25,15 --> 00:16:31,04 nia ni sehemu inayotukuzwa, 104 00:16:31,08 --> 00:16:42,13 hivyo ikiwa sala itasaliwa bila ya nia, haitokuwa na thamani yoyote ile. 105 00:16:42,15 --> 00:16:49,21 sala hiyo ni lazima iwe na anuwani, ni sala gani? 106 00:16:50,01 --> 00:16:58,16 adhuhuri? Alasiri? Magharibi? Isha? Asubuhi? 107 00:16:58,18 --> 00:17:06,02 ni sala ya Adaa? Au ni Qadhaa? Au ni sala ya sunna? Au ni sala ya faradhi? 108 00:17:06,03 --> 00:17:12,05 hiyo ndio inayoweka mipaka ya nia. 109 00:17:12,09 --> 00:17:22,04 nia ndio inayoipeleka sala kutoka aina (fulani) kwenda kundi (makhsusi) 110 00:17:22,05 --> 00:17:25,08 ikiwa faqihi … 111 00:17:25,12 --> 00:17:36,15 naye nilisha sema, Shahid anayafahamu maneno haya, Sheikh Answari anafahamu kwamba 112 00:17:36,20 --> 00:17:46,06 wakati Imam anaposema: "Kila mtu atalipwa kwa nia yake" 113 00:17:46,07 --> 00:17:58,16 yeye somo la nia ndani ya sala, ameelewa uhakika wa hadithi hii. 114 00:17:58,19 --> 00:18:05,23 kazi ya kwanza ya kufanya ni nia. 115 00:18:06,01 --> 00:18:16,23 unaweza ukenda safari hii kwa nia ya kuondoa machofu, na ujira wako utakuwa ni huo huo. 116 00:18:17,02 --> 00:18:28,23 unaweza ukenda safari hii na ukaifanya kwa sura ya muhtasari na udanganyifu, malipo yako yatakuwa hayo hayo. 117 00:18:29,02 --> 00:18:36,06 ama ikiwa utakwenda safari hii kwa nia ambayo 118 00:18:36,09 --> 00:18:48,14 kuwalisha mayatima wa A`al Muhammad kwa upande wa itikadi, 119 00:18:48,19 --> 00:18:59,05 kwa upande wa akhlaq, kwa upande wa ahkam, ujira wako utakuwa ni upi? 120 00:18:59,07 --> 00:19:02,20 ujira wenu utakuwa ni huu: 121 00:19:02,22 --> 00:19:22,14 miaka mia ya sala ya Hazrat Mussa, nayo pia ni kuanzia usiku mpaka asubuhi, 122 00:19:23,06 --> 00:19:27,04 funga ya Hazrat Mussa. 123 00:19:27,14 --> 00:19:33,13 sala na funga yake kwa mia mia kwa pamoja, 124 00:19:33,18 --> 00:19:46,12 katika sehemu hiyo ukiongoza watu ni bora kuliko yote (hayo). 125 00:19:46,16 --> 00:19:56,24 ikiwa utakwenda na nia hii, utapata ujira wa kushangaza. 126 00:19:57,00 --> 00:20:09,08 ninasikitika umri umepita, na sisi hatukuutumia katika maisha haya, 127 00:20:09,11 --> 00:20:15,07 "Ma aktharul ibra wa akalul ightibaar" 128 00:20:15,10 --> 00:20:19,13 ibra hii inatosha: 129 00:20:19,16 --> 00:20:33,08 mwaka uliopita usiku kama huu Majlis hii ilikuwa hapa, na usiku wa leo pia, 130 00:20:33,14 --> 00:20:46,12 mwaka mmoja umepita yaani kurasa moja ya kitabu cha umri wangu na wako umepita, 131 00:20:46,16 --> 00:20:55,08 ikiwa mwisho wa kitabu hiki ni kurasa mia moja, 132 00:20:55,13 --> 00:21:07,09 ukurasa mmoja umepita hivi, na zilizobakia zinapita katika njia hii. 133 00:21:07,14 --> 00:21:15,15 ikiwa maisha yatapitishwa kama hivi: 134 00:21:15,18 --> 00:21:24,10 Na hayakuwa maisha ya dunia isipokuwa ni starehe yenye kupita. 135 00:21:24,13 --> 00:21:33,17 kwa kweli Qur`ani ni muujiza, lakini ni nani anafahamu? 136 00:21:33,20 --> 00:21:41,16 Na hayakuwa maisha ya dunia isipokuwa ni starehe yenye kupita. 137 00:21:42,01 --> 00:21:54,11 Sayyid Shuhadaa siku ya Ashura aliandika barua moja, 138 00:21:54,16 --> 00:22:04,19 na barua hiyo aliiandika kwa Muhammad Hanifiyah, 139 00:22:05,10 --> 00:22:08,19 katika barua hiyo kulikuwa na maneno mawili 140 00:22:08,23 --> 00:22:18,07 Mwenyezi Mungu akipenda nitakuwa na mada kuhusiana na maneno hayo mawili. 141 00:22:18,12 --> 00:22:25,08 moja katika maneno hayo ni: Kama vile dunia haikuwepo, 142 00:22:26,16 --> 00:22:33,16 umri wangu na wako ungekuwa vipi? 143 00:22:34,24 --> 00:22:44,10 dunia wenyewe kuanzia mwanzo wake mpaka mwisho, kama isingekuwepo. 144 00:22:44,14 --> 00:22:54,07 huu ni mtazamo wa Sayyid Shuhadaa, ni nani anamjuwa Imam Hussein, 145 00:22:54,11 --> 00:22:59,17 "Kama dunia haikuwepo" 146 00:22:59,22 --> 00:23:09,14 ikiwa mtu atafahamu umri huu na kuchwa huku, 147 00:23:09,16 --> 00:23:18,14 kila kukichwa mizizi ya kamba ya maisha yangu na yako inakatika, 148 00:23:18,16 --> 00:23:22,15 mpaka ifikie mzizi wa mwisho, 149 00:23:22,19 --> 00:23:30,18 usiku wa leo tengeneza nia yako, 150 00:23:30,19 --> 00:23:34,13 nenda na nia hii ambayo 151 00:23:34,16 --> 00:23:57,09 ni kulisha mayatima wa A`al Muhammad kwa kuwatowa wasiwasi na Shubuhati katika kipindi cha ghibat ya Imam Zamani 152 00:23:57,19 --> 00:24:05,01 kila fusra katika sehemu hiyo ihesabu kama ni neema. 153 00:24:05,04 --> 00:24:15,18 mwenye kumhuisha ni sawa na hakuisha watu wote. 154 00:24:15,20 --> 00:24:22,12 Imam katika tafsiri ya aya hii anasema: 155 00:24:22,15 --> 00:24:27,24 "kumtoa katika kiza cha upotevu na (kumleta ) katika uongofu" 156 00:24:28,04 --> 00:24:34,01 wakati huo natija ya kazi yeni itakuwa ni hii: 157 00:24:34,05 --> 00:24:49,00 kumfanya kwenye kuacha sala kuwa mswalihina, ni kumuhuisha yeye, 158 00:24:49,05 --> 00:24:56,12 mwenye kumhuisha ni sawa na hakuisha watu wote. 159 00:24:56,18 --> 00:25:06,22 mtu aliyekuwa hamjuwi Imam Zamani (a.s) 160 00:25:07,00 --> 00:25:13,12 ukamfahamisha Imam Zamani basi umemuhuisha yeye, 161 00:25:13,16 --> 00:25:18,02 ni sawa na kuhuisha watu wote. 162 00:25:18,05 --> 00:25:26,13 kila uchao zihesabuni neema za tawfiki zenu kuwa ni neema, 163 00:25:26,15 --> 00:25:35,14 usiutumie wakati wote wa maisha yako juu ya mimbari, 164 00:25:35,18 --> 00:25:45,23 siku nyengine uzunguke, utafute ni nani mgonjwa, umpe tiba. 165 00:25:46,01 --> 00:26:01,19 hapa muhimu ni kwamba kila mmoja wenu wakati atakaporudi atakuwa ni misdaq wa riwaya hii: 166 00:26:01,21 --> 00:26:09,24 "Mwenye kufanya sunna njema, basi atapata ujira wa atakayeifanya" 167 00:26:10,03 --> 00:26:20,03 wakusanyeni watu wenye sifa, watafuteni walimu, 168 00:26:20,05 --> 00:26:25,12 wapeni wao wafunzo, 169 00:26:25,16 --> 00:26:34,10 na wao pia wanayageuza hayo kwa watoto wa mashuleni. 170 00:26:34,14 --> 00:26:43,03 hii ndio kazi, shughuli na utendaji uwe wa namna hii. 171 00:26:43,06 --> 00:26:56,19 ikiwa hukufanywa khasara ya kupita kwa bahati hii inamfanya binadamu asiweze kusameheka: 172 00:26:56,22 --> 00:27:06,14 Na uwaonye siku ya majuto shauri litakapokatwa, uhakika wake ni huu 173 00:27:06,16 --> 00:27:20,24 ikawa ninaweza kumuelimisha mwanamke kuhusiana na mas-ala za kina mama katika sehemu hiyo, lakini sikufanya 174 00:27:21,03 --> 00:27:34,06 ikiwa ninaweza kumuelimisha mtu kuweza kusali sala sahihi kwa umri wake wote, lakini sikumuelimisha 175 00:27:34,09 --> 00:27:43,21 akawa anasali sala zilizo sahihi, khasara ya jambo hili linakufanya usisameheke 176 00:27:44,07 --> 00:27:49,12 mpaka ufikie katika mambo mengine. 177 00:27:49,16 --> 00:27:58,00 itakuwa mimi katika sehemu hiyo nimembadilisha mwalimu mmoja 178 00:27:58,03 --> 00:28:03,24 na yeye kabadilisha shule mzima, 179 00:28:04,01 --> 00:28:14,11 na mtoto ambaye umemfunza sala na kuwa na mapenzi na Ahlul_Bayt (a.s), 180 00:28:14,16 --> 00:28:21,12 khasara ya kupitiwa na fursa hii inafanya binadamu kuwa dhalili. 181 00:28:21,15 --> 00:28:29,17 jitahidi katika safari hii usirudi ukiwa umekula khasara 182 00:28:29,21 --> 00:28:37,11 usiku na mchana kile ambacho unaweza kukifanya basi kifanye. 183 00:28:37,15 --> 00:28:42,11 uwe na uhakika wa sehemu tatu: 184 00:28:42,15 --> 00:29:06,15 sehemu moja kufunza ahkam, Mas-ala kuhusu sala, funga, haki za watu, ni lazima zibainishwe. 185 00:29:06,16 --> 00:29:21,00 sehemu moja ni kujenga misingi imara ya akida, itikadi 186 00:29:21,01 --> 00:29:30,17 kila usiku zungumza kuhusiana na Imam mmoja, 187 00:29:30,18 --> 00:29:43,00 ambapo watu hao kama ukirudi basi waweze kuwafahamu Maasum kumi na nne. 188 00:29:43,23 --> 00:30:02,07 chukuweni kitabu Minhaj, humo kuna muhtasari wamaisha ya Maasum kumi na nne. 189 00:30:02,10 --> 00:30:10,07 kila usiku yazungumzeni mat-lab hayo kwa watu, 190 00:30:10,10 --> 00:30:27,19 Kiramat cha Imam Hassan, tabia za Imam Hassan, Sulhu ya Imam Hassan, maneno ya Imam Hassan, 191 00:30:28,00 --> 00:30:33,23 na hivyo hivyo kwa kila Imam. 192 00:30:34,00 --> 00:30:41,19 ratiba hii ni lazima ifanyiwe kazi katika sehemu hiyo (unayokwenda.) 193 00:30:41,22 --> 00:30:50,02 fremu ya mazungumzo, iwe ni kujibu na kutatua moja ya shubuhati, 194 00:30:50,06 --> 00:31:00,21 magonjwa ni lazima yatibiwe, angalieni jee kuna mgonjwa yeyote, 195 00:31:01,00 --> 00:31:13,14 bakteria ambao wamepenya ndani ya nyoyo, wasiwasi wa shetani, yote ni lazima yaondolewe. 196 00:31:13,20 --> 00:31:26,04 kisha wapeni saladi ya roho na fikra kwa mambo matatu: 197 00:31:26,08 --> 00:31:39,02 kuwa imara na akida, kujinoa katika tabia, na kujua ahkam. 198 00:31:39,05 --> 00:31:43,10 krimu ya dini iko katika mambo haya matatu. 199 00:31:43,15 --> 00:31:59,00 wakati ratiba ikimalizika kama hivi, basi itakuwa umeyatumia maisha ipasavyo, 200 00:31:59,03 --> 00:32:06,18 kisha unakuja hapa, unakwenda kufata kadi, kuna habari yoyote. 201 00:32:06,21 --> 00:32:12,09 riwaya ni hii: siku ya kiyama itakapofika, 202 00:32:12,11 --> 00:32:20,16 utakapopewa daftari la amali na kuangalia, utaona kuna habari gani, 203 00:32:20,17 --> 00:32:28,19 zimeandikwa amali kwa ajili yako ambazo bado huwezi kuzifanya, 204 00:32:28,21 --> 00:32:36,00 atasema: ewe Mola wangu amali hizi mimi sijawahi kuzifanya, 205 00:32:36,03 --> 00:32:47,23 jawabu litakuja: wewe ulimuongoza fulani, yeye amefanya amali hizi, 206 00:32:47,24 --> 00:32:52,20 sisi tumemuandikia yeye, na pia wewe. 207 00:32:52,22 --> 00:33:04,05 kila sala anayoisali, inaandikwa katika daftari la amali yako, 208 00:33:04,06 --> 00:33:08,21 aliyekuwa akila (mchana) ambaye (sasa) anafunga, 209 00:33:09,19 --> 00:33:16,12 [thawabu za amali yake] zinaandikwa katika daftari la amali yake, na pia katika daftari lako. 210 00:33:17,18 --> 00:33:26,03 mumepewa bahati kama mutaijua ukubwa wake, 211 00:33:26,09 --> 00:33:31,15 riwaya ni hii: siku ya kiyama itakapofika, 212 00:33:31,17 --> 00:33:39,21 kuna kundi litaingia katika uwanja wa mahshari wakiwa wamepanda juu ya mbawa za Malaika, 213 00:33:39,24 --> 00:33:52,21 watu wa mahshari watashangaa, hawa ni kina nani walioingia mahshari wakiwa wamepanda juu ya mbawa za Malika. 214 00:33:52,24 --> 00:33:55,17 atanadi mwenye kunadi: 215 00:33:55,20 --> 00:34:07,17 hawa ni wale ambao waliwahifadhi mayatima wa A`al Muhammad na shari ya ujinga, 216 00:34:08,16 --> 00:34:17,12 yaani wale ambao waliotaka kuzichukuwa akida zao 217 00:34:17,14 --> 00:34:27,13 na kuharibu nafsi zao, uliwahifadhi kutokana na watu hao. 218 00:34:27,16 --> 00:34:36,12 wakati huo hayo ndiyo malipo yake: Mwalimu wa kheri … 219 00:34:36,15 --> 00:34:43,08 Issa bin Maryam anaitwa: Mwalimu wa kheri … 220 00:34:43,13 --> 00:34:48,16 mtu ambaye anafunza kheri. 221 00:34:49,02 --> 00:34:58,12 kheri ni nini? Ahkam za dini, Akida ya kweli. 222 00:34:58,15 --> 00:35:10,09 mwalimu wa kheri anaombewa maghfira na vitu vyote vilivyomo duniani na mbinguni, 223 00:35:10,12 --> 00:35:17,04 basi baada ya maghfira haya, dhambi haibakii. 224 00:35:17,07 --> 00:35:22,04 safari, safari kama hii 225 00:35:23,02 --> 00:35:29,14 jitahidini kuifanyia kazi ratiba hii pia kwenu wenyewe, 226 00:35:29,18 --> 00:35:33,15 kisha pia muiingize kwa wengine, 227 00:35:33,16 --> 00:35:43,24 kwa wale wenye kuweza kusoma, basi jitahidini wamalize kuisoma Qur`ani yote, 228 00:35:44,02 --> 00:36:02,20 kwani kila Khatm moja ya Qur`ani ina dua moja inayokubaliwa (Mustajab), ama cash au mkopo, 229 00:36:02,24 --> 00:36:09,21 katika kila Khatm Qur`ani kuna dua Mustahab kwa uhakika, 230 00:36:10,01 --> 00:36:17,13 na Khatm hiyo ya Qur`ani itowe zawadi kwa Imam Zamani (a.s), 231 00:36:17,17 --> 00:36:25,05 na wafunzeni kazi hii kila mwaka. 232 00:36:25,06 --> 00:36:40,06 na wale wasiojua kusoma (Qur`ani) kila baada ya sala ya Asubuhi wasome surat Tawhid mara kumi na moja, 233 00:36:40,07 --> 00:36:43,15 wakati wa kulala pia mara kumi na moja, 234 00:36:43,18 --> 00:36:48,12 baina ya machana na jioni pia soma surat hii, 235 00:36:48,13 --> 00:36:57,16 kutokana na nassu sahihi sura hii wenyewe ni theluthi ya Qur`ani, 236 00:36:57,19 --> 00:37:03,00 yote itoweni zawadi kwa Imam Zamani(a.s). 237 00:37:03,02 --> 00:37:07,17 hii ndio njia ya kuzilea nafsi na nyoyo, 238 00:37:07,20 --> 00:37:16,03 wakati yeye anaposoma Qur`ani, aliitoa zawadi kwa ajili ya Imam Zamani (a.s), 239 00:37:16,06 --> 00:37:25,00 roho hiyo huwa yenye kumpenda yeye, na mawaidha yako yatakuwa na athari. 240 00:37:25,02 --> 00:37:34,00 sisi mpaka sasa hatujuwi njia za kuelimisha watu, 241 00:37:34,03 --> 00:37:38,11 umahiri wa kuzungumza pekee hautoshi, 242 00:37:38,13 --> 00:37:48,00 riwaya hii inashangaza sana: Qur`ani inahuisha nyoyo, 243 00:37:48,03 --> 00:37:56,06 Qur`ani ni kama (majira ya ) vuli, inahuisha nyoyo 244 00:37:56,09 --> 00:38:03,01 kisha yaache mawaidha yapige kijani (yanawiri) kwenye (nyoyo zao), 245 00:38:03,04 --> 00:38:08,02 ratiba yenu ya Ramadhani iwe hivi. 246 00:38:08,06 --> 00:38:17,07 Insha Allah jitahidini huko (mwendako) muwatafute waalimu, 247 00:38:18,06 --> 00:38:26,17 wapeni mafunzo vizuri, wale ambao wanafanya kazi katika Madrasa, 248 00:38:26,21 --> 00:38:36,06 wasomeeni aya, wasomeeni habari, 249 00:38:36,11 --> 00:38:40,22 wafunzeni kuwajuwa Maimamu wa dini, 250 00:38:41,00 --> 00:38:52,16 Mas-ala za kisheria pamoja na ahkam ni lazima muwafunze watu wenye uwezo 251 00:38:52,18 --> 00:39:02,12 ambapo baada ya kuja kwenu ikiwa watu watahitajia (kujua mas-ala fulani), 252 00:39:02,15 --> 00:39:10,08 basi kuwa na mtu wa kumfikia. 253 00:39:10,13 --> 00:39:14,01 hii ni njia ya mafanikio. 254 00:39:15,02 --> 00:39:18,06 mwezi wa Ramadhani, ni mwezi mtukufu, 255 00:39:18,10 --> 00:39:26,17 mwezi ambao wakati ule Mtume aliposoma ile hotuba: 256 00:39:26,20 --> 00:39:51,01 "Hakika umekufikieni mwezi wa Mwenyezi Mungu wenye baraka, rehma na maghfira". 257 00:39:51,04 --> 00:40:02,24 mwezi unaisha kwa rehma na maghfira, hizo ni rehma gani? 258 00:40:03,01 --> 00:40:09,14 Na rehema za Mola wako ni bora kuliko wanayoyakusanya. 259 00:40:09,17 --> 00:40:19,21 lakini sisi hatujafahamu katika mwezi huu kuna nini? 260 00:40:19,24 --> 00:40:27,16 Qur`ani imeteremshwa, Qur`ani imesimikishwa (kwa Imam Alliy): 261 00:40:27,20 --> 00:40:32,23 ama kuteremshwa Qur`ani ni hivi: 262 00:40:33,01 --> 00:40:39,21 Ni mwezi wa Ramadhani iliyoteremshiwa Qur`ani, 263 00:40:40,01 --> 00:40:53,06 ama Qur`ani imesimikishwa , ni yule mtu ambaye wakati Mtume alipomuangalia yeye basi alilia. 264 00:40:54,08 --> 00:41:07,14 kilio cha Mtume wa mwisho kinabadilisha Mulk na Malakut , [Alliy(a.s)] akasema: 265 00:41:08,13 --> 00:41:14,12 Ewe Mjumbe wa Mwenyezi Mungu kwa nini unalia hivi? Akasema Mtume: 266 00:41:14,14 --> 00:41:19,17 ninalia kwa yale makundi yako yatakayogawanyika. 267 00:41:19,20 --> 00:41:38,19 kwa bahati mzuri, Mtume akitokwa na machozi kama vile mawingu wa vuli, katika jawabu akasema: 268 00:41:38,22 --> 00:41:53,10 Ewe Mjumbe wa Mwenyezi Mungu ikitokea hivi litakuwa salama na amani (kundi) la dini yangu 269 00:41:53,15 --> 00:41:57,23 yeye yupo katika ulimwengu upi? 270 00:41:58,02 --> 00:42:07,12 akasema: ewe Alliy mtu ambaye atakuuwa wewe, basi kaniuwa mimi. 271 00:42:07,16 --> 00:42:12,15 alitaka kutufahamisha mimi na wewe kwamba 272 00:42:12,22 --> 00:42:19,00 siku ya mwezi ishirini na moja, ni siku ya shahada ya Khatam Anbiyaa (Mtume wa mwisho), 273 00:42:19,04 --> 00:42:27,15 wafafanulieni watu utukufu na ukubwa wa siku hiyo, 274 00:42:28,13 --> 00:42:33,11 na muwafanye watu wawe ni wenye kumjua Alliy(a.s) 275 00:42:33,15 --> 00:43:14,12 Ewe Mwenyezi Mungu mfanye kiongozi wako Mahdy Rehema zako ziwe juu yake na kwa baba yake katika zama hizi na katika kila zama kuwa ni walii na mlinzi kuwa kiongozi na mwenye kunusuru kuwa ni hoja na muokozi mpaka hapo atakapodhihiri na umjaalie awepo